MTUME NA NABII JOACHIM KIMANZA AELEZEA ALIVYOPOOZA MWAKA 2023 KUINGIA MWAKA 2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 63

  • @simonbanks6315
    @simonbanks6315 2 місяці тому

    Mungu azidi kukupigania na kukulinda daima Damu ya Yesu inenayo mema inene mema kwako siku zote

  • @SamwelChumu
    @SamwelChumu 26 днів тому

    Amina mtuuu Mungu nimwema

  • @Rodamathayo
    @Rodamathayo 2 місяці тому +2

    Pole majarbu Ni mengi,huruma ya Mungu ikutoshe

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 2 місяці тому

    Ubalikiwe sana kwa ushauli mzuri

  • @TheresiaNdyamukama-iu8cn
    @TheresiaNdyamukama-iu8cn 4 місяці тому +1

    A truly living miracle,maisha yako ni ushuhuda tosha.

  • @uwimanadady6563
    @uwimanadady6563 2 місяці тому +1

    Uyu simuoni vizuri

  • @SATZ-news
    @SATZ-news 2 місяці тому +1

    Naomba number yako angalau nikusalimie miaka mingi sana tangu kakola aiseee.
    🇹🇿South Africa 🇿🇦

  • @tedygodwin5431
    @tedygodwin5431 2 місяці тому

    Mungu ni mwema

  • @RaphaelHelanya
    @RaphaelHelanya 2 місяці тому

    Pole sana Mtumishi wa Bwana ushuhuda huu umenigusa sana.

  • @mkobwa
    @mkobwa 2 місяці тому

    Pole sana papaa, Hope unamkumbuka Juliet since Mwanza, aliye kuwa mwimbaji, ,,,Mungu wa mbinguni akuponye

  • @tedygodwin5431
    @tedygodwin5431 2 місяці тому

    Amina

  • @Prophete_lutumba
    @Prophete_lutumba 2 місяці тому

    God is in total control

  • @Rockcitytz
    @Rockcitytz 4 місяці тому +1

    God is Great… Alwayz…

  • @Elecovid
    @Elecovid 2 місяці тому

    Macheni hayoo

  • @babahilimollel5254
    @babahilimollel5254 2 місяці тому

    Amina Hongera Sana Mtume na Rais wa Mitume na Manabii

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 місяці тому

      Nabii mkuu naye Geodavie anaongoza akina nani??

  • @giftmed1a332
    @giftmed1a332 2 місяці тому

    Hawa mitume wakiumwa wanakimbilia hospitali,waumini wao wakiumwa wanaambiwa njoo tukuombee mungu wetu anaponya,wanatufanya sie mazezeta au misukule

  • @anthonyezekiel930
    @anthonyezekiel930 2 місяці тому +1

    Ubarikiwe mtimishi yote yakweli

  • @TheresiaNdyamukama-iu8cn
    @TheresiaNdyamukama-iu8cn 4 місяці тому +1

    Amen baba

  • @TheresiaNdyamukama-iu8cn
    @TheresiaNdyamukama-iu8cn 4 місяці тому +1

    Nimejifunza Sana leo ,inasikitisha Sana Ila mungu nimkuu kuliko yote tunayopitia.

  • @martinjonathan4595
    @martinjonathan4595 2 місяці тому +2

    Hee kwamala yakwanza ndio nasikia nabii amepooza mm hii kali

  • @gilliansiara3324
    @gilliansiara3324 2 місяці тому

    Amina mtumishi,sana

  • @AzizihFarijala
    @AzizihFarijala 2 місяці тому

    Pole Sana nakupa pole SI kwa sababu ni mfuasi wako la ila Mimi ilinikuta. Chooni lakini sikuanguka ila kiuno kililia kama kimevunjika najua maumivu yake

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 2 місяці тому +4

    Mimi hawa wavaa mapete mmmmh!!!+

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 місяці тому

      na mikufu nawaogopa saana,Nafikiri Majini yao yanawapa Adhabu

  • @jumahusein8690
    @jumahusein8690 2 місяці тому

    Mwalimu wetu wa kun fu kakola enzi ubarikiwe mtumishi

    • @SATZ-news
      @SATZ-news 2 місяці тому

      Alikuwa bounsa wangu rafiki kaka yangu pole sana nilikuwa sionewi na mtu kakola moja hiyo😊

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 2 місяці тому

    Hiyo ya Afya kwa watumishi umeongea sawa hundred percent.

  • @PrinceLarryJoachim
    @PrinceLarryJoachim 3 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤1

  • @MonicaMisigaro-oi4wu
    @MonicaMisigaro-oi4wu 4 місяці тому +1

    Mungu ni Mwema sana hata sasa ni Ebenezer

  • @princenelsonsinko5237
    @princenelsonsinko5237 2 місяці тому

    Pole sana mtumish

  • @faithwambui407
    @faithwambui407 2 місяці тому

    Very polite and kind person, ameanza mbali kufika hapo .shetani ni mharibifu.lkn mungu ni mkuu umeshida baba.

  • @johnbundala7596
    @johnbundala7596 2 місяці тому

    Dah Sina hata Cha kukoment ila dah Mungu atusaidie apa nilikua nahurumia bando langu ila Tanzania matapeli na mazuzu ni wengi mnoooo.

  • @chandarotv7649
    @chandarotv7649 2 місяці тому

    Huu ushuda unatujenga wengi sana nakumbuka siku napewa kuhubili ibada mwaka jana siku jua kama kama Dr wangu baba yangu Rais wangu amepata shida huu ushuhuda niwa kwali

  • @Marjeby
    @Marjeby 2 місяці тому +4

    Kwa macho tuu tena macho na akili za darasa la saba huyu jamaa sio kabisa na ni mpigaji tu kama yule mchungaji kiboko ya wachawi😮

    • @davidsimbeye1548
      @davidsimbeye1548 2 місяці тому

      Kwani tatizo ni nini hapo kitu gani kinachokufanya umfananishe na kiboko ya wachawi, unahisi ni kwenye eneo gani anafanya ujanja ujanja hapo

  • @LucyBacresa
    @LucyBacresa 2 місяці тому

    asikofu cheni pete za nini ..ndio mapigo ya Mungu wakweli hayo

  • @HusseinAbdul-is9xq
    @HusseinAbdul-is9xq 2 місяці тому

    Njaa hizo

  • @mussamuna900
    @mussamuna900 2 місяці тому

    Hahaa huyu mutime msimseme vibaya , huyu ni baunsa anaweza akakujia mtaani lalukana ukakata roho

  • @RashidiHassani-b6z
    @RashidiHassani-b6z 2 місяці тому

    Eti mtume anaparalaiz mmmh ,mtume au muagize huyuu,,,mnajipa majina yaupigaji wa hela kwa wasio elewa ,,,

  • @yudachelango6824
    @yudachelango6824 2 місяці тому

    Duh haya MAISHA ni safari ndefu sana, yaani jamaa alianza KUPIGANA NGUMI mpaka kuwa Nabii

  • @neemakamgisha2951
    @neemakamgisha2951 2 місяці тому

    Stakufa Bali nitaishi niyasimulie matendo ya Mungu

  • @BYAMUNGUGERLASMASHAURI
    @BYAMUNGUGERLASMASHAURI 2 місяці тому

    Ushuuda huu umenifunza kweli. Ni pasta GERLAS niko DRcongo

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 2 місяці тому

    Njoo tukutibu wengi walio pooza wanatibiwa na kupona

  • @subiralema
    @subiralema 2 місяці тому

    Matapeli

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 місяці тому

    duh huyo amejaa Mapepo tuu

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 2 місяці тому

    Maandiko yanasema mamlaka ya kuzimu haitalipiga kanisa.

  • @SimbaJumanne
    @SimbaJumanne 2 місяці тому

    Ulipooza wapi wewe sasakesho utapooza na htopona kabisaaaaa

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 2 місяці тому

    Mitume original maana yake nini ndg mitihani ipo nadhani bado mnajidanganya an wahubiri hamjali afya zenu kwakua mnatibu na mnauwezo wakukemea mapepo nakuondoa ulemavu now nyei mnauwezo sawa ss mjue kuwa hamna uwezo wakuponya bali ni uwongo na utapeli.
    Nimuda mnatakiwa kubadilika mnakula dhulma kubwa

  • @babahilimollel5254
    @babahilimollel5254 2 місяці тому

    Umenipa Raha nitandelea Kuwa Karibu na wewe

  • @ShekiyaoHussein-ki4ty
    @ShekiyaoHussein-ki4ty 2 місяці тому

    Makafiri wana tabu kweli

  • @MusaLuvanda
    @MusaLuvanda 2 місяці тому

    Mpigaji

  • @drmahwa8166
    @drmahwa8166 2 місяці тому

    Nabii muhuni huyo

  • @UCHAMBUZIWASHERIAMBALIMB-ue1lv
    @UCHAMBUZIWASHERIAMBALIMB-ue1lv 3 місяці тому

    ASANTE MTUMISHI WA MUNGU KWA USHUHUDA HUU UMENITIA MOYO

  • @innocentbitana
    @innocentbitana 2 місяці тому

    Mtume Katumwa na nani?

  • @isaackmlayy6228
    @isaackmlayy6228 2 місяці тому

    pungunza uongo ww staili ya kutafuta sadaka

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂 Sasa jamani nyie sindio huwa mnaondoa mapepe nakuwaombea waliozaliwa na ulemavu now siuombe au uombewe upone ..
    Nadhani ndio muda muafaka manabii wakunyanyue ety. ..
    Nakushangaa unalalama wakati uwezo unao ss hatuna msaada mbona

  • @rashidhassan8156
    @rashidhassan8156 2 місяці тому

    Ameeen