Ss hao watu kosa lao nin kwan wao wametaka iyo ghorofa iyanguke mbona waswahili tupo kinyume nyume sie . Serikali hamuna ata haya bas nyie wenyenu majengo mangap ya serikali yanaanguka mbona hamjishtaki na nyie mkahukumiwa mauwaji yakutokukusudia . Dhulma hakuna jengine . Ccm= Chama Cha Mafirauni
Kwa si kuna wakandarasi....... wao wamelipa pesa mafundi 😢😢😢
Kwan wao wana kosa gan kwan wao walitaka watu wafe wao wenyewe wana machungu ata wao awakutaka iwe ivyo
Mmmm
Washitakiwe wakandarasi na mainginia ndo wenyewe makosa na kupenda hongwa kama mngekataa kujenge yasingetokea wakamatwe mkandarasi kwanza
Hawafikishwi popote money talk 😂
Me sioni kosa lao
Maskini we ndo mambo wawe pole
Ss hao watu kosa lao nin kwan wao wametaka iyo ghorofa iyanguke mbona waswahili tupo kinyume nyume sie . Serikali hamuna ata haya bas nyie wenyenu majengo mangap ya serikali yanaanguka mbona hamjishtaki na nyie mkahukumiwa mauwaji yakutokukusudia .
Dhulma hakuna jengine .
Ccm= Chama Cha Mafirauni
Walikuwa waichimba chini ouweka under ground,
Serikali ya tanzania ni yakisenge sana wao hawakusudia kuwauwa ila mungu ndio kapanga basi kama nini nendeni kamuhukumuni mungu
😂