CHADEMA SERENGETI WACHUKUA FOMU KWA NAMNA YAKE KUJITOSA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Вставка
- Опубліковано 12 гру 2024
- #Mpya #SerengetiMediaCentre #Subscribe #antomatv #chadema #uchaguziserikalizamitaa2024 #uchaguzimkuu
Kuwa wa kwanza kupata matukio ndani ya channel hii
Washa Arifa (Notification) yako sasa ili uwe wa kwanza
CHADEMA SERENGETI WACHUKUA FOMU KWA NAMNA YAKE KUJITOSA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Pia tembelea Kurasa zetu ndani ya mitandao ya kijamii
@Antomatv @SerengetiMediacentre
Safi
Hongera sana makamanda
Nakubali sana Chadema bonge la chama big up sana
Asantesana
Mara tuko vizuri
Kabisa pambaneni
Wenyeviti wa Upinzani wako Fasaha mno.
Sijui hata kwa nini!!!💪👏
Sana wasomi pia
Wewe umekwisha pita pia mjiandae kulinda kura zenu
Kabisa kazi kulinda maana wanapenda kuwaweka watu wasiojitambua
❤
Mme poa sana mbona hakuna watu
Chuki tu hiyo tatizo wewe umemuoa adesina
Hapa hakuna mkutano. Hata kama mgombea kaenda pekee. Wewe ni chawa tu
Pambana kamanda tumeteseka myka mingi mpeleka kieleweke
MmmmmmmmmmmMoshi na Arusha kibokoo tunachoomba Amani tu Tanzania
Asante kwa maoni mdau
Kumechangamka
Mbona hata kujieleza hujui
Yupi
Bwege wewe kweli
Ogereni.makamada.pambaneni.linus.mpitawote.natokea.mkoa.wa.lukwa.kata.ya.senga.kijiji.cha.wipanga?
Tatizo lenu ndio hilo mbona unapenda kuhamasisha mapambano badilikeni hata hayo maendeleo mnayosema bos wanu ni CCM
@@EtiminSadallah ko ulitaka wote tuwe chadema
Hongeren ndugu watetez wa watu mungu awasaidie sana.
Darasani ulikuwa unasinzia wewe. Hujui chochote