Eeh Mungu nakushukuru kwa kila jambo.Ninaomba ukapokee kila ombi nililetalo mbele yako likapate kibali na kujibiwa katika Jina La Yesu nakutegemea na kupokea🙏
Amen may God continue use you Malisa may you can continue praying for us to because nimerundi yuma sifungi kama jinsi likuwanga nakiwi ya maombi may God forgive me for all I have done because I don't have kiwi tena Yesu naomba kiwi ya maombi
Faida za Kutoa Fungu la Kumi. 1: Unafunguliwa Madirisha ya Mbinguni. *Malaki3:10 2:Unamwagiwa Baraka Hata pasitoshe Mahali pakuweka. 3:Bwana atamkemea Yule alaye. 4: Mzabibu hauta pukutisha... Matunda yake kabla ya Wakati. 5:Mataifa yoteee yatatuita Heri. 6:Huleta Ulinzi katika chanzo cha Kipato Chako. MUHIMU... Omba Toba kwa sababu ya kwenda kinyume na Neno la kuhuusu swala ya Utoaji... *Mithali 28:13
Amina Baba najiungamanisha Baba nakabidhi familia yangu kanisa la ukombozi nikanisa lenye nguvu kweli kweli
MUNGU Akupe maisha malefu na asikuache katika hudumia yako ya kiroho.
Barikiwa sana mtumishi somo zuri kweli kweli
Amen mtumishi Mungu akubariki sana
Amen nimebarikia mungu akubariki .
Exactly mtumishi wa Mungu hua na tamani huduma yako lakini nko Kenya
Amen asante kwa mahubirii nimekuelewa
Asante sana mtumish
Eeh Mungu nakushukuru kwa kila jambo.Ninaomba ukapokee kila ombi nililetalo mbele yako likapate kibali na kujibiwa katika Jina La Yesu nakutegemea na kupokea🙏
We mungu wangu kweli huyu ninabii wakweli naomba mungu wangu unipe macho yarohoni
Hongera pasitaa
Mungu anitie nguvu katika kufunga na kuomba kuna muda nazimia moyo
Amen mtumish wa mungu
Neno limepenya ndani ya roho yangu
Napokea kwa jina la Yesu
I receive annointing of fasting in Jesus name
God bless you Nabii.... I always love your preachings.....
Naomba baba maombi yako yanifungue moyo wangu unakuwa unauma sana
AMEN JESUS IS LORD forever blessed always thanks
Amen may God continue use you Malisa may you can continue praying for us to because nimerundi yuma sifungi kama jinsi likuwanga nakiwi ya maombi may God forgive me for all I have done because I don't have kiwi tena Yesu naomba kiwi ya maombi
Napokea
damu ya YESU 🙏🔥
Amina baba
Najiungamanisha na maombi aya hakuna lisilowezekana juu ya mlimawa bwana
Baba navunja kila maagano na ssheria zote ziliyzowekwa na mababu zetu km a jina LA Yesu
Ameni
Ameni nabarikiwa Nikiwakenya
Ubalikiwe
Ameeeeeen
Amina nimebarikiwa na somo zuri
Ameeen Mtumishi
Kanisa linapatikana wapi
God bless nabii together sana
amina mtumishi was mungu
amen nimepokea
Amen mtumish
amennnnnnnnnnnnnn may God bless uuuuuuuuuu bcoz now i know what i did not know
Ameeeen
nimebarikiwa sana ..ameeen
Richard philipo bro please tell me address this prophet I need to meet him please tell me where he stay church
michungwani mwanza
Ivi wanao Dislike neno la Mungu kichwani wako vizur kwel. Tuwaombee jamn
Ameen
nineema kubwa tunayo sanaa sikama enzi za musaa
Asante nabii kutupa maarifa
Amen amen
blessed
ameeeen
celina josephati * Amen
amina
Amen
Amina
Amina
Asante
Faida za Kutoa Fungu la Kumi.
1: Unafunguliwa Madirisha ya Mbinguni.
*Malaki3:10
2:Unamwagiwa Baraka Hata pasitoshe Mahali pakuweka.
3:Bwana atamkemea Yule alaye.
4: Mzabibu hauta pukutisha... Matunda yake kabla ya Wakati.
5:Mataifa yoteee yatatuita Heri.
6:Huleta Ulinzi katika chanzo cha Kipato Chako.
MUHIMU...
Omba Toba kwa sababu ya kwenda kinyume na Neno la kuhuusu swala ya Utoaji...
*Mithali 28:13
amen
amen
mwanza ukifika muchungwan unauliza ukomboz
Khakika video hii imenikomboa
Hiii kanisa liko wapi mwanza jaman
@@richardgirgis4302 Michungwani ukifik Mwanza mjini panda haice za nyashana ukifika uliza kanisa la Ukombozi
AMEN
Amna baba
Amina baba mungu akuinue zaid mafundisho haya yanatufungua sana
kanisa hili linapatikana wapi jaman anae jua anisaidie
Seif Zongo uko wapi?Dar es salaam lipo bagamoyo road kituo cha skanska utaona bodaboda utauliza watakupeleka
Seif Zongo we uko wap maana hyo ni nabii hatuli sehemu moja
@@suzyjohnas4259 mwanza sehm gan
yuko mwanza saivi
Seif Zongo kanisa lipo mwz
Ameen
Amina eee mungu naomba ukanifungue
Amina
AMEN
Amen
amen
Amen
amina
Amina
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Bwana yesu naomba Roho mtakatifu wako anifunze kuomba katika Jina la yesu