Barnaba feat Jux - Sijiwezi {Track No.2}
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Let me start by saying “LOVE SOUNDS DIFFERENT” is the 5th album ever made by Barnaba and it All reflects on the understanding and experience All together with the whole knowledge of love life from Barnaba himself and the people who surround him in his everyday life. He dedicated his time and money to search for so much inspiration from different angles by Associating with fans, Close people, and Artists so as to come up with Something that will touch everyone’s life and make an impact. Barnaba and his team from High table Sound invest as much time to find affection from all sides as possible to make good music for the fans and make sure not a single one is disappointed so as to make what people are expecting from him and this is proven by the fans themselves, in short, never disappoints.
Stream/Download:smartklix.com/...
Barnaba Profile Link URL: linktr.ee/barn...
Listen to Barnaba on Digital Streaming:
Audiomack:audiomack.com/...
Apple Music: / barnaba
Boomplay:www.boomplay.c...
Spotify:open.spotify.c...
Deezer:www.deezer.com...
Connect Barnaba on Social Media:
Instagram: / barnabaclassic
Facebook: / barnabaofficial
Twitter: / barnabaclassic
+For More Information Booking Barnaba:
Contact:Barnabamanagement@gmail.com
Digital Distribution by Ziiki Media (PTY)
©2022 Ziiki Media (PTY) & Barnaba.All rights reserved.
#Barnaba #LoveSoundsDifferent #LSD
Sijaskia vizuri Ati wewe ndio T.I.D yeye ndio Zeze Guys you killed it🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hili ndo chupa langu kali zaidi kwenye album ya fundi
nakubali sana mafundi wamekuta ngoma imekaa pw sana together from🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mambo 😂🎉
Daaahh uyu jamaa anajua kuandika mziki mzuri kwel yaani Album kama yote ameua kwel
Huyu music wake Sijui nisemej unajua San ten sana Barnaba classic 💯💯💯💯💯💯
My jux unatisha brother ♥️❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Hii ngoma classic 🔥🔥🔥wote mafundiiiii mmekuatanaaa
Daaaaah hii ngoma kali sana afu nlikuw naitafuta en eventually meipata leo.... mekuw nkiickia fu nlikuw cjui inaitwaje. Ina hisia sana hii ngoma, nyimbo km hizi hudumu sana maana haziishi hamu. Kongole sana kwa Muzuki mzuri 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
🔥💯👊🏾
kuanzia Laizer kanyonga dundo🔥🔥Bboy nae kapita mulemule🙌🏾uyo bad boy vutto jux ndo kapinga kabisa msumari wa mwanaukome🔥🔥🔥🔥💯💯🙌🏾
💪💪💪💪👏🥰
Vocals zmeenda shule,song imetulia kabisa,my favorite song,much love🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Imetulia kinyaaamaaa hiii🔥🔥🔥
Fav kbx love from kigali rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🔥💞💞
Rwandan but I'm living in south Africa big up
Now this album sounds like original bongo music.
Some Tanzanians sounds like Nigerians or s.Africa
Hii ngoma kama dawa tastahili kuuzwa kwa pharmacy ⚕ bana🔥🔥🔥🔥
Bongo la ngoma mzee ii ndo ngoma kali kuliko zote katitka play list yako
Mm ndio naijua Leo iko sawa ❤😂
Juma Kali sana 🔥
Braza uishi miaka mingi unajua kutuburudisha
🔥🔥🔥🔥🔥🔥mpaka basi Yani Ngoma Kali imetulia sanaaa
Naipenda sna hii nyimbo kuliko nyimbo zine zote
Mnajua hadi mnakera🥰🥰❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿
umenijazia mwaka mkuu🔥🔥🔥🔥
nimetamani kupenda tena
Kaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Kaka
Noma sana❤️❤️❤️
Woow naomba like😌😌🌹🌹🇰🇪🇰🇪
When I hear jux sing I feel like am falling love 💕😘
Jux umeua saf sana good job men
Finally ma all fav❤️kings, lots of love from Kenya🇰🇪🔥
drop a video najua itakuwa kali sana big up🎉🎉🥳🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Fire ❤
This is the best melody of the album
My favourite.. can't wait 4 dat video
fayaaaaaa
Thank you for taking us back to what bongo used to be flawless and lovely..jux murrrrrdered this too
Banger
Fan from Kenya, this man Is magician of music
Barnaba and jux aisee wametisha Sana respect kwao🔥🔥
We t I d mie zeze.....nalipiga tucheze...❤Mstari
Track no 2 eeeeiiishhh🔥🔥🔥🔥🔥
Good job fanya collable na mjeshiiiiii kondeee ikuweee fire zaidi
Hongera sana bro album ipo moto 🔥🔥🔥
Owh my I have almost all of this man's songs it's like am going to download the whole of this album💗💗💗💕❤️
Bonge la nyimbo dah
Jux is the king of RNB🙌🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤❤
My fav track no.2❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
LSD "Love Sound Different" Mopao Salute Niga, This Album ni Konyoooooo
I can repeat this song ten times, without getting tired. what a heat song...
Mopao umeua kip it up bro
Good job my brothers
Noma sana barnaba ft juma jux hii ni moja kati ya ngoma nilizozikubali ndani ya hii Album alf Ehee bana ehee Barnaba umeamua collaboration na the most top Artists big ups kwa sana mazee show love to barnaba New album You made it Gee
Hii ndo ngoma Kali zaid kwangu🔥
Mafundi wamekutana🔥🔥🔥🇹🇿
Hii ngoma jux umefanya kweli
😂😂kafunikwa na melodies za Barnabas,
ni kali bro🔥🔥🔥
Jux umeua sana
Daaaah ihhhi ngomaaaaa
Barnaba writings makes me feel in love every second I here his song big up my hero 🔥👊🏽❤️
FAVORITE ONE FROM ALL OF THEM
unbeatable😄😄😄
Mwubahwe🇧🇮
Album mpya, inatamba !
Roho zangu hawa watu nawapenda sana🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥
Barnabas umefanya kazi kubwa sana Mungu akufungulie milango zaid
ipo vizur mwamba jux
Baba baba BARNABA Respect Baba, Jux naKubAlI Saaaan wow🤑🤑🤑🤑
Ohh wow 😍 jus lit music 🎧
When king's of vocals meet💥❤️🇹🇿
🔥🔥🔥🔥🔥🔥💕🥰🇹🇿
Daah hii ngoma ndo itakuwa my favorite songs kali saana hata uandish
Toeni nyengine mkiwa hivohivo
Hongea sans endelea mapambano s mashabiki tupo pamoja naww tunaojua mziki tunakuelewa
Kama unakuli hi ngoma kali Gonga like
Jamani naona zote kali hii ni moja ya ngoma kali sana kwenye album
*Barnabas ft Jux-Sijiwezi lyrics by **#WazambuliTv** 😃👇*
Naapa Aah ooh baby
Nataka nikwambie vile moyo
Wangu what I feel, Aah
Are you ready uiskie nafsi yangu
Upande wa pili
Acha nijimalize kwako
Mimi zaidi ya bwege
Mie T.I.D we ndo zeze
Nalipiga njoo tucheze
Oh mapenzi yako mapenzi
Unanichanganya laazizi
Sawa mahaba ila umezidisha dozi
Utanipa uchizi
Walahi sijiweze
Wee Buti la mpwezi
Maganda bila ndizi
Sawa mahaba ila umezidisha dozi
Utanipa uchizi
Aah
I got you, you got me baby
Uko sambamba na mimi my lady
Iwe Kwa shida na raha ooh baby
Ooh my baby ooh my Lady
Umenipa dozi daktari mummy
Umenificha Mimi sitoki ndani
Nitakupa dogh vitu vya thamani
Sijiwezi nipo taabani
Kwa uwepo naamini
Aah maradhi yangu yatapona
And I have been waiting for this yeah
Final I found love
And this song baby your dedication
Paki vitu twendage vacation
Twende far away No location, eah
Au Zanzibar Indian Ocean
Acha nijimalize kwako
Mimi zaidi ya bwege
Mie T.I.D nawe ndo zeze
Nalipiga njoo tucheze
Oh mapenzi yako mapenzi (ooh)
Unanichanganya laazizi (I am going crazy)
Sawa mahaba ila umezidisha dozi
Utanipa uchizi
Walahi sijiweze
Wee Buti la mpwezi
Maganda bila ndizi
Sawa mahaba ila umezidisha dozi
Utanipa uchizi (eeh)
Love baby will you marry me Baby
Oh nice more details
Good work🔥
Ohoooo fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿
👍 good 👍
Kaaaaliii 🇰🇪🇰🇪🇰🇪💖💖💖
jux napenda sana afu wewe naona upo mutu saiyi sana mana ujawayi kosea ukiamuwa kumupa mutu kolabu unafanya na moyo moja
Album ni fireee
Bonge la ngoma
Amazing vibe 🔥🔥🔥🔥🔥
Sina la kusema zaidi ya kutisha nyie watu
Noma saaaana
Aah, if don't fall in love after listening to this then you are emotionless
Wow🥺🥺 jux,but why a nice thing this short
Hii ndio song nimeipenda kwa album hii yako barnab.....😍....nimependa chorus.....
Best vocalists.. jux... barnaba... i do bow down...
🔥 fire
Motooo
representing kenya Two of my favorite african artists in one song. My prayers areanswered, Bless.
vraiment j'adore la chanson courage mingi sanaaa braza
Thanks 👑🎶
BARNABA NAKUPENDAA SANA 😍😍😍💘💯💯
Jux and barnaba sijiwezi 🔥 this is a bang for real
Awwee🔥🔥🔥
Wow ❤️😭
Classic by the Aces ! Here before 1million views!
❤️❤️❤️love tuu from 🇰🇪
nyimbo tamu sana karibu zote
All the from 254 Juma Jux Killed it🔥🔥
Wooow❤️
Nakubali
Tupo hukuuuu
Wow! This is Fabolous 🔥🔥 🔥