KIPESILE | 19 |

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 826

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 2 місяці тому +151

    Madam wa Kipesile hakk Mungu ndo kla ktu hongera kwa kuchangua njia sahh,

  • @MonicaRenatus-g6m
    @MonicaRenatus-g6m 2 місяці тому +60

    Jamani mm napenda sana baba buda gonga like anaemuelewa mwalimu

  • @DelvinChepkorir-t1d
    @DelvinChepkorir-t1d 2 місяці тому +85

    Kua na mungu maishani mwako ni jambo la muhimu sana,,,, Jina lake lipewe sifa na utukufu❤❤🎉

  • @AhmadAlaee-x1r
    @AhmadAlaee-x1r 2 місяці тому +33

    Yaaaani ilikuw nishaanza kulia mimi halima anarud kuwa msukule hakuna kama baba halima me namkubali sana baba halima 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉na madam hongera iyo dawa ya wachawi hakuna mweny nguv zaid ya allah pekeee

  • @MahupaMwajuma
    @MahupaMwajuma 2 місяці тому +63

    😂😂😂😂nmefurah kipesile kimemramba baada ya kwenda Kwa madam mariam😂😂😂

    • @jacklineteresia2629
      @jacklineteresia2629 2 місяці тому

      😂😂😂😂 yaani shetani ana nguvu mbele za mungu

    • @MahupaMwajuma
      @MahupaMwajuma 2 місяці тому +1

      @jacklineteresia2629 kabisaa😂😂😂maan sio Kwa maumivu Yale aliyoyapata

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 Місяць тому

      ​@@MahupaMwajuma😂😂😂

  • @Chebaibaiever
    @Chebaibaiever 2 місяці тому +161

    Mungu ni kila kitu kweli madam❤❤❤ kama pia unaamini Mungu ni mkuu gonga like tukisonga

  • @BreezyBailando
    @BreezyBailando 2 місяці тому +47

    Movie hii imetufunza san kwamba hakun kinacho mshind mungu 🙌🙌🙌

  • @Lovelysha2024
    @Lovelysha2024 2 місяці тому +46

    Yeyote atakaye fuatilia hii movie ady mwisho mungu ampe maisha marefu

  • @finegatwiri2597
    @finegatwiri2597 2 місяці тому +30

    Kwakweli kabisa baba alima mungu akulinde na akuogeze gufu za kupigania wanao siku zote 🥰 maana vila wewe iii movie iwezi kua Suri kabisa 😊😊😊

  • @DavidIssa-hj2oz
    @DavidIssa-hj2oz 2 місяці тому +71

    Nipeni liké zangu kutoka Congo Drc 🇨🇩🇨🇩 acheni ubaguzi ndugu zangu🙏

    • @HusseinMwatende-ws1nt
      @HusseinMwatende-ws1nt 2 місяці тому

      Vp hakuna kiboko ya waganga huko?Naona makanisa huku Tanzania hawana pakupeleka pesa,tafazali mleteni kiboko ya waganga pesa za wenda wazimu zipo dado,MWISHO NISALIMIE KIBOKO YA WACHAWI MWAMBIE PESA AZITUMIE VZR

    • @yusufumshahala
      @yusufumshahala 2 місяці тому

      Nyie wacongo ndoo muna loho mbaya nyie ni wakutufunga sisi mayele ndoo mwenye loho nzur tu

    • @MariamMustafa-w8e
      @MariamMustafa-w8e 2 місяці тому

      ❤❤❤❤❤❤❤Kipesil kimemramba

    • @loicemukoma
      @loicemukoma 2 місяці тому

      Tumekupa

    • @fabiolaPetromgeni
      @fabiolaPetromgeni 2 місяці тому

      Unalalamika khaa

  • @SheilaAkoth-kz7pi
    @SheilaAkoth-kz7pi 2 місяці тому +7

    Mama kipesile atalambwa kama koni🎉.......uum....uum😂😂😂😂😂

  • @AnjelineOkoth
    @AnjelineOkoth 2 місяці тому +18

    Nampenda sana huyo baba halima❤❤❤❤ yako

  • @HidayaHamisi-w5k
    @HidayaHamisi-w5k 2 місяці тому +270

    Tulofurahi baba Buda hajafariki gonga like

    • @neemadickson9526
      @neemadickson9526 2 місяці тому +2

      Niko hapa dear 💕

    • @HidayaHamisi-w5k
      @HidayaHamisi-w5k 2 місяці тому +1

      Ahsante mahan niliwaza sijui itakuje Kam ange kufa

    • @ايتيتووينويو
      @ايتيتووينويو 2 місяці тому +1

      Hahahahahaaaaa kipesileee eti kudaadeki nyoooo ungebaki2 hapoo

    • @merymahu4500
      @merymahu4500 2 місяці тому +1

      Niko haoa

    • @HidayaHamisi-w5k
      @HidayaHamisi-w5k 2 місяці тому +1

      @@merymahu4500 yani mwaya nilifuraha kudadeki nimetupwa mapolini hata sijielewi saiv ndonasikia maumivu uwiwi uwiwi

  • @LightnessUrio-fo7mq
    @LightnessUrio-fo7mq 2 місяці тому +59

    Wa mwisho kabisaaa naombeni like ata kumi tuuu

    • @RakmaRakma-o9b
      @RakmaRakma-o9b 2 місяці тому

      🙏🙏❤️❤️🇧🇮🇧🇮

  • @BintiOmar-y9c
    @BintiOmar-y9c 2 місяці тому +36

    Napenda San kicheko Cha Dorry

    • @adamdemarch5565
      @adamdemarch5565 2 місяці тому +3

      Mama mkuu😂😂😂😂 utalambwa kama koni na yule mzee haaam haaam😂😂

    • @HappinessFaza
      @HappinessFaza 2 місяці тому

      aaaaaaam, aaaàaam😂​@@adamdemarch5565

    • @khadijahalfan1408
      @khadijahalfan1408 2 місяці тому

      Mipia yuwanipunga huyo wakucheka hana baya mwenyewe

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 Місяць тому

      😂😂😂

  • @RuthNyongesa-me9cx
    @RuthNyongesa-me9cx 2 місяці тому +12

    Baba halima nakupenda sana aki uishi miaka mingi nafurai kukuona hai

    • @Gifttebe-e6w
      @Gifttebe-e6w 2 місяці тому +2

      Miaka mia bukuuu

    • @KambaleMakimbikiyo
      @KambaleMakimbikiyo 2 місяці тому

      Theatre ya bien Sana Sana.baba alima.angekuwa karibu?kumbe ninamupa prime!!!

  • @CollinsMenza
    @CollinsMenza 2 місяці тому +19

    Hii movie imeweza hasa baba ana moyo wa ujasiri hasa kwa mwanawe halima😍😍😄

  • @biommy6700
    @biommy6700 2 місяці тому +7

    Oooyooo yani ili jimovie Bila baba halima mi siangalii,,, patamu mpe anachokitaka 😅

  • @MariamMchomvu-q3s
    @MariamMchomvu-q3s 2 місяці тому +8

    Mwalimu omba sana dua mungu ndio kila kitu kipesile hakuwez tena

  • @thumasassi
    @thumasassi 2 місяці тому +49

    Aki wcha MUNGU aitwe MUNGU 😊,,madam umeweza kweli nani amefurahi kuona baba halima ajafariki🎉 tunaendelea tulipoachia gonga likes zko tuendelee na movie yetu nzuri😂❤

    • @AmenaMm-r5t
      @AmenaMm-r5t 2 місяці тому +1

      Mimi ap mung ambarik san bb halima

    • @Sauda-s6s
      @Sauda-s6s Місяць тому

      Wallah allah ni mkubwa

    • @HanifahHamadi-su6yp
      @HanifahHamadi-su6yp Місяць тому

      Acha Mungu aitwe Mungu🙏🙏🙏

    • @thumasassi
      @thumasassi Місяць тому

      @HanifahHamadi-su6yp wallah Tena Allah ndio kimbilio letu🙏☝️

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 Місяць тому

      Mungu ni mkubwa

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 2 місяці тому +216

    Yoyote utakayesoma hii coment mungu akupe hitaji la moyo wako 🤲🙏🤲🙏🤲🙏🙏🤲🙏🤲🙏🤲🙏

    • @HappinessSolomon-t5z
      @HappinessSolomon-t5z 2 місяці тому +1

      Nawe pia

    • @GetrudaAyola
      @GetrudaAyola 2 місяці тому +1

      Amina

    • @FrankGozbert-h2y
      @FrankGozbert-h2y 2 місяці тому +1

      🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @IngabireDiane-ls7so
      @IngabireDiane-ls7so 2 місяці тому +1

      Apa muko afindidisha nini kweri?wacawi hawana nguvu kwa cina la Yesu

    • @ZABIBOY61
      @ZABIBOY61 2 місяці тому +4

      Yoyote utakayesoma Hii coment mungu akupe hitaji la moyo wako 🤲🤲🙏🙏🤲🤲🙏🤲🤲🙏🤳✍️

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 2 місяці тому +12

    😅😅wakwanza batoto ba kisansa kongo kipere ba pereke moto🎉🎉🎉

  • @erisisha9394
    @erisisha9394 Місяць тому +5

    Truly madam mariam, Mungu wetu ni muweza yote.When he says yes,no one can say No. ❤❤ I'm enjoying this film alot.... lots of love from Kenya 😍😍❤️❤️❤️❤️

  • @anastanciavwamula1292
    @anastanciavwamula1292 2 місяці тому +8

    Baba halima alikua amenipa wasiwasi kumbe hajafa😂😂😂nasubiria part 20

  • @dhahabukalama2635
    @dhahabukalama2635 2 місяці тому +22

    😂😂😂😂kula chuma cha MUNGU hicho kipesile. Short nimeipenda hiyo

  • @FaithNgowa
    @FaithNgowa 2 місяці тому +11

    Kazu nzur sana kakangu Adery mungu akupandishe viwango vya juu kwa kazi zako pokea maua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @bettyfuraha4796
    @bettyfuraha4796 2 місяці тому +11

    nacheka kwa jina la Allah kitakuramba kama coni aaam aaam😂😂😂😂😂 glory wewe 😂😂😂😂

  • @MarKarim-km2yh
    @MarKarim-km2yh 2 місяці тому +6

    😂😂😂😂😂baba halima mpelekee moto hyo asituzoee vbya😂😂😂😂😂😂😂😂limemshuka

  • @elosygatwiri-r4l
    @elosygatwiri-r4l 2 місяці тому +4

    Mwalimu wa kipesile mungu n mwema umeepuka kifo n maandiko matakatifu❤❤❤❤❤

  • @Mjenirose
    @Mjenirose 2 місяці тому +22

    Huyuu wa marasta hua ywanimalizaa 😂😂😂

    • @Gifttebe-e6w
      @Gifttebe-e6w 2 місяці тому

      Kbs yani anafuraisha kweli

    • @AminaSalim-u6c
      @AminaSalim-u6c 2 місяці тому

      Nakwambia. Uwa nadhan nko pkeangu ..Ukiona manyoya jua kashaliwa uyo mama mkuu 😅😅

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 Місяць тому

      Yn hujanshinda mm😂

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 Місяць тому

      ​@@AminaSalim-u6c😂😂😂

  • @FurahaChristine-g8w
    @FurahaChristine-g8w 2 місяці тому +21

    Mwalimu wewe uwombe mwenyezi Mungu tu uta shinda huyo ni shetani hana nguvu

  • @BestaKondowe
    @BestaKondowe Місяць тому +1

    Nimefurahishwa sana sehem 2 nipale Kipesile alipobuluzwa kwamwalimu safi sana mnaonyesha kwamba MUNGU ananguvu kuliko mchawi na huyo Baba Halima amutie adabu huyo mama Kipesile ❤❤❤❤❤

  • @biommy6700
    @biommy6700 2 місяці тому +7

    😂😂😂 Yani wee dada rasta toka na kuchukia kujichekea chekea hadi naenda kukupenda

  • @MAdh-q5x
    @MAdh-q5x 2 місяці тому +6

    Kazi nzuri sana baba alimah

  • @nasrahassan2260
    @nasrahassan2260 2 місяці тому +5

    Namkubali sana huyu mzee baba halima

  • @NicholausMziray
    @NicholausMziray 2 місяці тому +2

    Kipesile umekutanana nguvu ya Mungu bora ungekufa nawew unavyotesa watu umeharibu maisha ya watu mpaka imefika kipindi huyu madam akala kinyesi yote hayo nikwaajili yako sasa madam yule uliekuwa unamjua mwazo sio madam wasasa nilichojufunza hapa kwenye hii episode ya 19 nikwamba tuwe karibu na Mungu hata kama madui zako niwengi kiasi gani lakin ukiwa na Mungu kwa that kabisa bila michanganyo Utainjoy sana popote ulipo Mungu anatuma malaika zake wa ulinzi wakulinde adui akija anakutana na moto kauli ingine wanasema anakutanana kitu kizito Love you Jesus ❤❤❤❤❤❤❤

  • @MtemiMahenge
    @MtemiMahenge 2 місяці тому +4

    Mko vzr sana Kila mtu anaweza

  • @deejay__best
    @deejay__best 2 місяці тому +7

    Hii Tamthilia Kali Sana Walahi Mnafanya Kazi Nzuri.

  • @pudensianaosward
    @pudensianaosward 2 місяці тому +9

    Kipesile mungu hataniwi Wala hachezewi na usisahau yeye ndio mmiliki wa Kila kitu 😂😂 umerushwa ka mbu kwenye feni😂😂😂😂😂😂

  • @HappinessSolomon-t5z
    @HappinessSolomon-t5z 2 місяці тому +6

    Hakika mungu ndo kila kitu ❤🎉🎉

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv 2 місяці тому +1

    Nice madame pia baba halma kipesile na na mamake wamekua too much

  • @nicodemmwanginde554
    @nicodemmwanginde554 2 місяці тому +4

    Nakubali mwanetu sana adery master

  • @RamadhaniMgululi
    @RamadhaniMgululi Місяць тому +1

    Kipenseli atafika mbali sana mana Yuko vizuri sana huyo kijana apewe maua yake

  • @zawadilom7490
    @zawadilom7490 Місяць тому +1

    Safi sana mpeee anachokitaka huyo baba halima safiiii

  • @RAJUBAIBAHUBARI
    @RAJUBAIBAHUBARI 2 місяці тому +46

    Wako wap wale wanaomukubali Baba halima???🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AtuSamoto
    @AtuSamoto 2 місяці тому +1

    Mmalize kabisa huyo mama kipesile ameyataka mwenyewe chukua mauwa yako baba halima❤❤❤❤❤❤ nakupenda sana mmzee wang uko good

  • @SamwelSamike
    @SamwelSamike 2 місяці тому +91

    Kama na wewe umenguswa na hii move weka like

  • @ElizabethThomas-og1es
    @ElizabethThomas-og1es 2 місяці тому +11

    namtafuta kipesile nina zawadi yake kaigiza vizuri sana

  • @Adanm-h9z
    @Adanm-h9z 2 місяці тому +4

    ila jamani msikawie sana movie noma sana MUNGU awabariki

  • @MrsMariam-x2s
    @MrsMariam-x2s 2 місяці тому +3

    Daa tunaitaka tuone mama kipesile atapewa nni na baba alima daa hhhhhhh jamani mnatukatikiza kwenye Raha jamani

  • @IreneMatekwa-p4m
    @IreneMatekwa-p4m 2 місяці тому +4

    Madam wa kipesile hakika Mungu anajibu maombi yako endelea kuomba ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @SaidiNgomwa-f4l
    @SaidiNgomwa-f4l 2 місяці тому +3

    mm wa kimemramba unatisha sn duh mungu akubariki ww pamoja na kipaji chako 🙏🙏

  • @SenyonjoEliya
    @SenyonjoEliya 2 місяці тому +4

    Mzee na mpiira Shabiki Yako kutoka KAMPALA Uganda

  • @Safinamfinanga
    @Safinamfinanga 2 місяці тому +7

    Nimewahi jamani hd raha ❤❤❤❤ nawapenda wote Mungu awabariki

  • @SalomeMideva
    @SalomeMideva 2 місяці тому +1

    Shani umesema vizuri Mungu n mkuu Ila mnajizima data ss Mwalimu Wa kipesile n muombezi sana

  • @EsterMlawa-b5s
    @EsterMlawa-b5s Місяць тому +2

    Ila me natamani kujua masta wa hii movie alafu tupeni jina LA movie nyingine mlizo toa❤❤

    • @aderymasta
      @aderymasta  Місяць тому

      Habari movie ZETU nyingine ni WIKI BAADA YA KIFO, SHANI MWANAFUNZI MCHAWI, NA SIKU YA KIFO CHANGU.... Zipo hapahapa kwenye UA-cam channel ya Adery Masta

  • @ArianaTwinah
    @ArianaTwinah Місяць тому +2

    Ahaha kumbe wanajzimaga data wachaw,ila wanajua mungu anawaona, movie nzur bhn

  • @BeatriceNoah-t4z
    @BeatriceNoah-t4z 2 місяці тому +10

    Kipesile ohoo kipesile wew leo umeyatimba kwa madam😅😅

  • @SaumuLuvuno-s6w
    @SaumuLuvuno-s6w 2 місяці тому +1

    Safi sana Mzee baba huna baya. Mama mkuu utakoma kwenda kwenye ngoma ukamuacha mume na homa

  • @FatumaTari-k3o
    @FatumaTari-k3o 2 місяці тому +5

    Allahmdhulilay baba etu yupo mzima

  • @MillicentMoraashMongeri-s8p
    @MillicentMoraashMongeri-s8p 2 місяці тому +6

    Madam nimeipenda hiyo sana ❤❤❤

  • @sayunimnguruta98
    @sayunimnguruta98 2 місяці тому +5

    Kipesile kimekuramba leo bado mama ako😂😂😂😂

  • @MaimunaLugua-tf7vh
    @MaimunaLugua-tf7vh 2 місяці тому +1

    Jamani nimefurai sana babake buda kuona halima anachofanywa maana nilikua nimemaka halima wetu nakupenda sana mamaaaa

  • @rogauskiria4543
    @rogauskiria4543 2 місяці тому +4

    penda sana baba Halima nafasi yako unaitumia ipasavyo

  • @ZainabuMathias-x6p
    @ZainabuMathias-x6p 2 місяці тому +1

    🎉leomme nifulaisha kuliinuajina la Allah 🎉🎉🎉🎉🎉madam hongera jina lake lihimidiwe🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SarahkangereRachel
    @SarahkangereRachel 2 місяці тому +1

    Baba Alima kwakweli âme nifuraisha Sana t'en san mupe maman kipesile anacho itaji kupata ❤❤❤❤❤❤

  • @charitydickson5195
    @charitydickson5195 2 місяці тому +1

    Hebu mupe😂😂😂😂😂Tuone baba halima🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @NagibKhamis
    @NagibKhamis 2 місяці тому +1

    Hahahahaha,,,nazidiiiii kufurahiaaaaa na kwanzaaa kabisaaaa asanteee Mr adery masta,kaziiii nzuriiiiiiiiii sanaaaa,mashabikiiii wote leo wamefurahiaaaaa,,,,sanaaaa hiii ep,,,,,yukooo pamojaaaa Mr adery,atleast now I can breath well,,,,,na badooo tukoooo twasubiria utamuuuuu mwingine kwa muendelezooo ujaaaaaoooooo...tafadhaliii usikawie kuachilia muedelezoooooo,,,,,utamu ,utamu ,utamuuuuuu,ndio huo wazidi kutufurahisha,,,halimaaaaa kajitahidi na kutiiii amriii ya babaake,,

  • @Hadijawashuma
    @Hadijawashuma Місяць тому +2

    Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DidaTuesday
    @DidaTuesday 2 місяці тому +1

    Love u baba budah una wanyoosha yaan mpk wanyokee

  • @DamasJulius-w1x
    @DamasJulius-w1x 2 місяці тому +5

    kaz nzur vijanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @nelvinikumilu1245
    @nelvinikumilu1245 2 місяці тому +4

    Right on time baba halima kakwingiliaaa makoooo makosaaaaaa,mama kipesile atafanya niniii wala atendee niniii

    • @isaberaisaka7259
      @isaberaisaka7259 2 місяці тому +1

      Hahaha dj afro 😂😂

    • @nelvinikumilu1245
      @nelvinikumilu1245 2 місяці тому +1

      @isaberaisaka7259 eeeh Joo hapa sasa roho mkononi babalima atafaulu au kipesile atakuja kumasaidia mamake

  • @FaithIsaboke
    @FaithIsaboke 2 місяці тому +1

    Wenye tupo upande Wa baba halima mikono juu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤much love from team strong team hamam mikono juu❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Місяць тому

    Hakuna shetani yoyote anayeweza kushindana na nguvu za mungu nimependa sana❤🎉

  • @NanaAlice-lo3lo
    @NanaAlice-lo3lo 2 місяці тому +5

    Leo nimewahiiii🎉🎉🎉

  • @MathewNnko-e8v
    @MathewNnko-e8v 2 місяці тому +3

    Mumgu ni muweza wa yote angalia madam baada ya kumpokea mungu ateseki tena mungu awabariki ndg Zang 🙏🙏

  • @GrandePiquiGrande
    @GrandePiquiGrande 2 місяці тому +2

    Kwake kipesile napata rahaa tupu mana ajawai kuniangusha hila kwa madam Mariam umegonga kwamba🤣🤣😂😭😭🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🌹🥀🌺

  • @BeatriceNgeleza
    @BeatriceNgeleza 2 місяці тому +15

    Nipeni like na mimi reo nimewahi sijawahi pewa toka muanze

  • @evansahmed-gu8dh
    @evansahmed-gu8dh 2 місяці тому +6

    wap kwa baba halima kam unamkubali gonga like hap🎉🎉

  • @Osoro-xw1hp
    @Osoro-xw1hp 2 місяці тому +20

    Hivi huyu Shani katika maisha halisi sio mchawi kweli 😂😂

    • @glorysimon4021
      @glorysimon4021 2 місяці тому +1

      😂😂😂😂 duuuuh

    • @Celina-t4j
      @Celina-t4j 2 місяці тому +1

      😂😂😂😂atuambie tu maana daa

    • @LizzyBeb-m6s
      @LizzyBeb-m6s 2 місяці тому +2

      Aki Shani hadi vile naona,,,anakaa mchawi kihalisia😅😅

    • @Mohabmts
      @Mohabmts 2 місяці тому +1

      Ni mkiristo alishaongea kwenye intaviw moja ni uigizaji tu japo anaendana na hio character

    • @VeronicahOtwori
      @VeronicahOtwori 2 місяці тому +1

      😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @Charlene-ij3br
    @Charlene-ij3br 2 місяці тому

    Baba alima uyoooo kweli wewe ni baba pokeya mauwa kutoka Congo 💐🌷❤️❤️❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @niyonkinzodenis
    @niyonkinzodenis 2 місяці тому +5

    Huyu mzee amebifulahisha sna kbsa😅😅😅. Mpe anacho taka

  • @AgnessMirisho
    @AgnessMirisho 2 місяці тому +3

    Daah namuonea halima uruma San asipo kuwa makini atakuwa msukule🤐🤐

  • @Frola-ym2nq
    @Frola-ym2nq 2 місяці тому +3

    Safi mmetuwaishia movie na maombi ndo maisha yangu ❤❤❤❤Adery master

  • @HawaHawarajab
    @HawaHawarajab 2 місяці тому +6

    Nampenda uyo mama mchawii mwenye dredi anavyoigiza kama chiz chiz😂😂

  • @Mjenirose
    @Mjenirose 2 місяці тому +11

    Hakuna linaloo shindikana kwa Mungu

  • @OengaMildred
    @OengaMildred 2 місяці тому +1

    Imani ni kitu ya maana sana, keep it kaka be whit Jesus Christ always 🙏

  • @winfreygodfrey4339
    @winfreygodfrey4339 2 місяці тому +2

    Kipesile kapumzishwa yeee🎉😂😂😂😂😂😂

  • @peterbahati
    @peterbahati 2 місяці тому +3

    ❤❤❤❤kipesile Leo kakutana

  • @Farida-uz3vr
    @Farida-uz3vr 2 місяці тому +2

    Mama kibesile oooye nakukubali wewenamwanao kibesile🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @FaustineJanes-x3p
    @FaustineJanes-x3p 2 місяці тому

    Naikubali xan hii movi hakika mtafika mbali mungu awape neema ya ujuzi mpya

  • @SalomeHamisi
    @SalomeHamisi 2 місяці тому +1

    Mimi bababhalima namwelewa sana mama kp simpend anaroh mbya yy na mwanae

  • @lucysampa3325
    @lucysampa3325 2 місяці тому +5

    😂😂😂😂😂😂kaz itakuuwa kwel

  • @Ezekielngar
    @Ezekielngar 2 місяці тому +7

    Haiishi mpaka iishe ❤❤

  • @HailathHassan
    @HailathHassan 2 місяці тому +1

    Jamn penda San madam mariamu kamrudia mungu imekuwa unyam san

  • @mohameddaud1728
    @mohameddaud1728 2 місяці тому +1

    Watching from kenya madam kipasle awache uoga na kwa darasa aulize kipesile nn kilicho leta kwake na baba halima aliamka lini huko na ona tu akitoka nyumba

  • @ZenahZeynah
    @ZenahZeynah 2 місяці тому +3

    Kajichanganya sehemu 😂😂

  • @RuthReuben-h2h
    @RuthReuben-h2h 2 місяці тому +4

    Leo nimewah sanaaa jmn na mimi like zang

  • @neemadickson9526
    @neemadickson9526 2 місяці тому +3

    Kipesile weeee kipesele 😂😂😂weeeeeewe naleta mabalaaa manina

  • @Viviankemmy-p4k
    @Viviankemmy-p4k Місяць тому +1

    😂😂😂😂😂😂nmecheka hdi mbavu zinauma hpo mahali kipesile amerushwa hdi kasema kudadeki😂😂😂😂😂😂