#live

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 58

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x 6 годин тому +1

    Hatumtaki Mmakonde Hy Yanga Wala Hatuna Haja Nae Wewe Unampenda Kwa Kuwa Alisema Ana Bana Pua Janadume Zima Linaongea Kama Shoga Kama Wewe Unampenda Mshukue Awe Msemaji Nyumbani Kwako

  • @frankmasasi5112
    @frankmasasi5112 4 години тому

    ❤❤❤❤❤❤❤ wanazimbaaaaaa
    Ahmed ally mwamba kabisaaa wengine acheni makasiriko😅😅😅😅

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 9 годин тому +1

    Ahmed ally ni next level anajua kuizungumzia timu kwenye mazingira yoyote yale,ila huyo Komwe hana uwezo kabisa yeye anachokijua ni kusemea ushindi tu😢

    • @AllyMasangaluka-bm5ib
      @AllyMasangaluka-bm5ib 9 годин тому

      Ambokile ayoni mawazo Yako kamwe anatutosha atutamiyemuko

    • @Asia-p5r
      @Asia-p5r 8 годин тому

      @@emmanuelmayunga1518 na kwa magumu mnayoyapitia mlimuhitaji Ahmed ally la sivyo mngekufa kwa stress

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 Годину тому

    Okwi humjui

  • @shadrackhelemani346
    @shadrackhelemani346 9 годин тому +2

    Ali kamwe yupovizur ww mdomo mdomo tafuta timu ya kuisemea ww siunajua

  • @AminaMsimbe
    @AminaMsimbe 10 годин тому +1

    Ahmedi Ally wa kazi gani? Yeye anafaa huko Kwa madunduka anafana ia huko sisi na watu wa ajabuajabi atuhitaji

  • @HajiAbdalla-vm2jr
    @HajiAbdalla-vm2jr 10 годин тому +1

    Aaaa choyo na wewe kamwage maji kwaniwewe msemaji was serekali

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 4 години тому

    😂😂 pole ampokile maana umeumia sana yanga kufanya vibaya maana wachambuzi wa bongo wanajulikana timu zao

  • @NyangilaMwessanyangila
    @NyangilaMwessanyangila 5 годин тому

    Kumamaye Ahamed Ally labda awe msemaji wa tumbo lako.

  • @HajiAbdalla-vm2jr
    @HajiAbdalla-vm2jr 10 годин тому +1

    Wewe unao uwanja

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 4 години тому

    😂😂😂Ali kamwe kama msemaji watarubu tu.

  • @Sophyia99
    @Sophyia99 11 годин тому +1

    Kwel kabis bod haifany majukum ipaswavy

  • @AbelKombe-j5v
    @AbelKombe-j5v 11 годин тому +1

    Tatizo viongozi wetu wanaongozwa na hivi vilabu viwili

  • @seifmohammed9167
    @seifmohammed9167 9 годин тому

    Hawajifichi kwa kipigo Ila uwanja wamiliki wanashida wanajivuna na ndioaana hata ceo wa Azam amemtaka menejar wa uwanja

  • @AliMpenda
    @AliMpenda 9 годин тому +1

    Ambokile bonge la chambuzi hana mipindi

  • @damianichayo895
    @damianichayo895 6 годин тому

    Kweli Kila mtu ana mawazo yake. Ambukile mengine uko sahihi lakini ki mpira kaka umechemka hasa Kwa Kibu kutofunga goli. Angalia anacho fanya uwanjani kaka. Ushambuliaji Bora si scoring peke yake Bali ni uwezeshaji wa mchezaji kuingia kwenye eneo la mpinzani bro!! Kibu another level

  • @RashidShedaffa-v9x
    @RashidShedaffa-v9x 9 годин тому

    Yanga klabu kubwa,msemaji ana dili na ushirikina tu. Afadhali apewe kitengo cha uchawi tu,asiwe msemaji

  • @MsokaBolamu
    @MsokaBolamu 6 годин тому

    Na muna jama atahende porini

  • @matuzyashadrack6485
    @matuzyashadrack6485 4 години тому

    Wewe nibinge la mnafiki chuki binafsi na huo sii uwaja wa nyumbani kwako mbona unaumiaaa

  • @RehemaAbas-v8m
    @RehemaAbas-v8m 9 годин тому

    Bado naona Ally kamwe elimu yake na maongezi yake kama mtoto wa chekechea mm yanga lakin msemaji gani analopoka tu anaponda uwanja EET viti vidoge sijui kanavuga bange

  • @rashidsalehe5994
    @rashidsalehe5994 5 годин тому

    Huyu kumbe n chiz ila kwa 7bu ni shabik wa yanga sishangai

  • @SilemaniAli
    @SilemaniAli 7 годин тому

    Ww unabahatisha lakusema huujuwi umuhim wakibu basiarejeshwe timuyataifa

  • @hassanchiwambo687
    @hassanchiwambo687 10 годин тому

    Kwani timu inavyoachana na kocha huwa hawatangazi mpaka bodi iruhusu. Yapo mambo ambayo yanaamuliwa na timu na kutoa maamuzi moja kwa moja kama timu halafu baadae wanapeleka kwenye bodi. Na yako mambo ambayo timu haiwezi kutoa maamuzi moja kwa moja mpaka bodi ya ligi iamuwe.
    Wachezaji, benchi la ufundi, viongozi wa timu na viwanja hivi vitu ni maamuzi ya club kufanya mabadiliko baada ya hapo ndio bodi inapewa taarifa na kufanyia kazi kulingana na timu ilivyoamu.

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 4 години тому

    Ambukile usifananishe mpira ya Ulaya na Afrika tofauti kwa sababu huku ulaya kwanza hakuna wanahabari chonganishi kama Afrika.Kwa mfano wewe mwana habari leo unatoka kwenye chumba chako cha habari mnakwenda chini ya miti kuzungumzia mambo ya ajabu sasa hizo ni habari au uwendawazimu wa kuongea mambo ya ajabu ajabu. Kisha unamlaumu Ali Kamwe na wewe ni sawasawa sababu mwana mchochezi akikufata mitaani ni utaongea kama mshabiki kama wewe hapo unaongea kama mshabiki baada ya huyo mchochezi kukufata ujuwe hivyo. Ninyi hapo ni wachochezi sio wana habari.

  • @HajiAbdalla-vm2jr
    @HajiAbdalla-vm2jr 10 годин тому

    Kibu jee

  • @HawaMkomwele
    @HawaMkomwele 9 годин тому

    Nakutaja jina Ambokile unajua kweli uchambuzi na Sheria hebu waambie hao wajue

    • @fredylucas2484
      @fredylucas2484 8 годин тому

      Tatizo lako unaweka ushabiki mbele hapo hakuna mtu. Juzi tu alisema Yanga ya moto. Tanzania hakuna wachambuzi. Huyu alisema Tabora itafungwa na Yanga magoli mengi

  • @AlcherausMalinzi
    @AlcherausMalinzi 8 годин тому

    Na akifunga kuliko matarajio mkataba uelezee uongezekaji wa posho pia.Sio uangalie upande mmoja tu.

  • @monicadickson1965
    @monicadickson1965 10 годин тому

    Ali kamwe siyo msemaji wa tm, ilani kilopolopo!

  • @faustinesiyengo5588
    @faustinesiyengo5588 10 годин тому +2

    Weee jamaa unajua sna halaf umenyooka sana huna chenga chenga

  • @Asia-p5r
    @Asia-p5r 10 годин тому

    Ahmed ally ni mropokaji sy msemaji.....wala hatuna shida naye....kamwe tunaye ana vitu vingi bora kuliko hp alipoteleza....

    • @SadamSarita-t7z
      @SadamSarita-t7z 10 годин тому

      Ally kamwe mke wainjinia

    • @Asia-p5r
      @Asia-p5r 8 годин тому

      @SadamSarita-t7z what about you....mo anakulamba au sy.....

  • @maclaudismail6606
    @maclaudismail6606 9 годин тому

    We huna akili utamlinganishaje asiye funga mwaka mzima na aliyekosa kufunga mechi kumi ? Huna akili

  • @AliJussa
    @AliJussa 10 годин тому

    Acha ujinga,, Kuhusu kiwango wale ni watu,, kuisaidia timu sio kufunga tu

  • @HajiAbdalla-vm2jr
    @HajiAbdalla-vm2jr 10 годин тому +1

    Kuanzia Leo wewe ni msemajiwawacochezi

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 10 годин тому

      Unaandika meseji nyingi nyingi ila unashida, jifunze kuskiliza na kuelewa

  • @makamesaid9137
    @makamesaid9137 10 годин тому

    Kwani shida iko wapi?
    Zaka za kazi amekasirika kwasababu hakusanyi mapato. NENDA KAPIGWE BODI WEWE
    Sasa mbona hutaji Mechi ya Simba na Azam
    Mechi ya Simba na Dodoma
    Mechi ya Simba na Mashujaa
    Hizi point zote Simba hakustahiki kuzipata ambukile wewe ni KOLO WAHEID

  • @OLOTUMOSHIBRANCH
    @OLOTUMOSHIBRANCH 6 годин тому

    Jamni huyu mnamwelewa kweli mbona km hajielewi

  • @HajiAbdalla-vm2jr
    @HajiAbdalla-vm2jr 10 годин тому

    Mambo ya ovyo ni hayo yako

  • @HajiAbdalla-vm2jr
    @HajiAbdalla-vm2jr 10 годин тому

    Mpeleke polisi wewe Ta
    Bia zako za uchocezi zakijina

  • @twalbuhaji
    @twalbuhaji 10 годин тому +1

    Wana yanga tungekua na msemaji kama ah medi ally tungevimba kinoma maana simba ikipitia matatizo anajua kuongea na mashabiki

  • @HajiAbdalla-vm2jr
    @HajiAbdalla-vm2jr 10 годин тому

    Kama make mwenza wewe tabia zako

  • @HajiAbdalla-vm2jr
    @HajiAbdalla-vm2jr 10 годин тому +1

    Unawashwa na nini

  • @AliJussa
    @AliJussa 10 годин тому

    Nimekufatilia sana ila inaonesha wewe una wivu binafsi na Ali Kamwe

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 10 годин тому +1

      Kivip kwani alivyoongea sio vya kweli.

    • @twalbuhaji
      @twalbuhaji 10 годин тому

      N@@MgazaMhina yanga tungu wafungwe wanaasira khaa ndio wajifunze matokeo mfukoni sio matokeo matokeo niuwanjani

  • @HawaMkomwele
    @HawaMkomwele 9 годин тому

    Waambie hao wavamizi FC aka sindano FC

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 6 годин тому

    Yanga niwapumbavu wanapenda matusi na vitu vya kijinga

  • @AkramIbrahim-m6x
    @AkramIbrahim-m6x 6 годин тому

    Kama Wewe Una Mpenda Hy Ahmed Alli Mshukue Awe Msemaji Nyumbani Kwako