UFUNGUO || Umuhimu wa PPP katika kukuza sekta ya afya kupitia vyuo vya kati

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • Sekta ya afya nchini imekuwa ikisaidiwa mzigo mkubwa wa kupata madaktari na wahudumu wengine wa ngazi mbalimbali za huduma za afya kupitia vyuo vya kati.
    Je, ushirikiano wa serikali na sekta binafsi kupitia mpango maalum unaofahamika kwa ufupisho wa jina la kimombo kama PPP unaweza kuwa na mchango kiasi gani?
    Ungana na Faraja Sendegeya kufahamu mengi kuhusu kada hiyo na changamoto zake.

КОМЕНТАРІ •