RAMA | MADEGA | TULIANZA KUPOTEA TOKA TUNASHINDA GOLI 1 NA TUNA STRIKER 4 | GAMOND HAFIKI XMASS😐

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 11

  • @bkkomesho9272
    @bkkomesho9272 20 днів тому

    Yaan yanga akijifanya kuweka nguvu zake kwa ajili ya simba sisi tutawaomba tabora na Azam watusaidie kazi, maisha nikusaidiana.

  • @JumaBagelle
    @JumaBagelle 21 день тому +1

    Yanga na Simba ya sifa nyingi kujiita Taasisi kubwa cha ajabu hawana viwanja vyaooo

  • @AllyFeruuz
    @AllyFeruuz 21 день тому +1

    Mbona hakuna kustahamili kufungwa mechi mbili imekua kiwewe acheni hizo kwani sisi nani tusifungwe cocha amefanya mangapi hamuoni kama ile ilikua njama nzito sana toka kwa maadui gamondi alikataa timu idiondoke Zbar mbona alieondoa timu hamuongelei.mnaharibu timu

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku 21 день тому

    Kufungwa so ishu ni mechi 2 mfurulizo daaa wanatukosea heshima wachezaji kama hawawez kupambana naomba nipate namba Mimi

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 20 днів тому

    Feisal kiwango hajashuka mfumo tu feisal haumruhus sana kufunga

  • @JumaBagelle
    @JumaBagelle 21 день тому

    Kufungwa kwa Yanga si ajabu man city mechi 4kafungwaa

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku 21 день тому

    Unatuita wapangaji halafu Kodi zetu ndo zilikupa mishahara haya ngoja ilipwe laki mbili na nusu sasa

  • @linuslusian-d5w
    @linuslusian-d5w 21 день тому

    uki mkuta mpangaji kama makolo utajuta mahana wana roho mbaya

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 21 день тому

    Hao straika waliochoka tatizo Yanga mwaka huu usajili tumefeli hakuna sraika, wala mabeki kusema tunajazilizia magepu Rais wetu tujiulize tulisajili kweli?

    • @AzhadSaid-j1t
      @AzhadSaid-j1t 20 днів тому

      ALAFU YANGA KAFUNGWA BEKI ZAKE HAZKO

    • @LawiMaiko
      @LawiMaiko 20 днів тому

      Alf yeye yanga kafunga ngapi?
      Ebu elewa point ya jamaa ​@@AzhadSaid-j1t