SHARIF MAJINI AMLIPUA ALHAD OMBA RADHI BARAZA LA ULAMAA, ULIKOSEA KUBATILISHA NDOA YA DK MWAKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 лип 2024
  • Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090

КОМЕНТАРІ • 36

  • @blacknature3691
    @blacknature3691 Рік тому

    Nyie hao hao mlimtukana Dr mwaka kwa kumtetea Al hadi Sasa ivi mnamgeukia kumbukeni mungu hawapendi wanafiki

  • @johnsonjoseph5382
    @johnsonjoseph5382 Рік тому

    Nawaona Baba levo na Mwijaku
    Yani Uchawa hadi kwenye dini, endeleeni hivo hivo tuyajue Mengi kuhusu Uislam....proud to be Christian

    • @allyrashid3732
      @allyrashid3732 Рік тому

      Huwez ukaujua uislam kwa kuckiliza wanaokwenda kinyume na uislam.watoto wa mjini
      Qur'an ndo itakueleza mengi kuhusu uislam. Na haifundishi kuwa hivyo wafanyavyo hao

  • @abdulrahmanisaidi981
    @abdulrahmanisaidi981 Рік тому +2

    Eti shekhe sharifu majini international hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

  • @abdirizakhtuke2882
    @abdirizakhtuke2882 Рік тому +1

    Mna macho makavu ndugu zangu.

  • @ahmadbadawi9664
    @ahmadbadawi9664 Рік тому

    Tumekusameheni kwa ajili ya ALLAH.

  • @Users2523
    @Users2523 Рік тому

    Hii mijitu minafiki saana , angalia inavyojitia aibu. Mmeshamgeuka mwenzenu mara hii

  • @hemedahmed3094
    @hemedahmed3094 Рік тому

    2:9 - Wanatafuta kumdanganya Mwenyezi Mungu na wale walio amini, lakini hawadanganyi ila nafsi zao; nao hawatambui.
    4:142 - Hakika wanaafiki wanamkhadaa Mwenyezi Mungu, na hali ni Yeye ndiye mwenye kuwakhadaa wao.
    4:143 - Wanayumba yumba baina ya huku na huko. Huku hawako na huko hawako. Na ambaye Mwenyezi Mungu amemwacha kupotea, kabisa hutompatia njia.

  • @hajiomar7026
    @hajiomar7026 Рік тому +1

    Na nyinyi kiukweli mnazngua hemu acheni hayo mambo tena tumechoka kuwaona kla cku mnaendeleza hayo mambo ya ajabu hili jambo liishe tena

  • @malimmalim5396
    @malimmalim5396 Рік тому +1

    Hahahaaaa duh kweli masela watu wabaya dunhh wamerudi tena midia duhhhh 🤣🤣🤣🤣

    • @emmanuelnchimbi63
      @emmanuelnchimbi63 Рік тому

      Hawa wapumbavu kweli kweli ni kuwazuia hakuna kufanya mihadhara nchi nzima

  • @yusuphsaidi4460
    @yusuphsaidi4460 Рік тому

    Nyie nyie nyie nyieee, nimechekaaaaa sanaaaaa

  • @abubakarismail6365
    @abubakarismail6365 Рік тому

    Njaa inawasumbua

  • @yusufurwebugisa3548
    @yusufurwebugisa3548 Рік тому

    Vinyonga hao

  • @issarashid7707
    @issarashid7707 Рік тому

    Mashekh km hawa hawafai ktk nyadhifa za Uislam

  • @Faidikatz
    @Faidikatz Рік тому +1

    Mhhhh

    • @bashirusalumubashirusalumu7140
      @bashirusalumubashirusalumu7140 Рік тому

      Kumbe nyie ni wanaharakati nilidhan ni mashekhe

    • @hassanisihaka910
      @hassanisihaka910 Рік тому

      Nyie tushawaelewa
      Nyuny watu wawili ni wanafiki Sanaa Mcheni sana Allaah Muogopeni Sanaa Mungu msifanye masihara na Dini ya Allaah
      Msiwe kama wale Allaah alowataja katika Annisai 147
      Au wale walio tajwa katika Alhashri :11-12

  • @abubakarmustwafa8662
    @abubakarmustwafa8662 Рік тому +1

    Mbona unukuzi wa hadithi hiyo ni mbovu hivyo?!!😆😆😆

  • @allymuhammad325
    @allymuhammad325 Рік тому +1

    🤣🤣😄😄 makubwa, miamba imeomba radhi🤣🤣

  • @charlesmgonja8689
    @charlesmgonja8689 Рік тому

    Hamna lolote hapa. Hawa ni vilaza na matapeli wa dini.Wamekariri Aya mbili za Koran Kisha wanajiita mashehe

  • @hamynas
    @hamynas Рік тому +1

    SHARIFU MAJINI AKA MASHETANI UNA VITUKO SAANA....WIKI ILIYOPITA ULISEMA UNA TAARIFA ZA UHAKIKA KABISA KUWA RUSHWA IMETOLEWA KWA BARAZA LA ULAMAA NDIYO MAANA WAKALETA HIZO HABARI ZA KUBATILISHA...LEO NA MIDEVU YAKO ULIYOITIA HINA UNAGEUKA NYUZI 360 ...UNAFIKI KABISA

  • @hajiomar7026
    @hajiomar7026 Рік тому

    Mnazngua kwakweli

  • @chemstry409
    @chemstry409 Рік тому +1

    Acheni unafiki nyie.....

  • @genichenurdin409
    @genichenurdin409 Рік тому

    Wakukulupuka... aka MACHAWA😟

  • @yusuphsaidi4460
    @yusuphsaidi4460 Рік тому

    Walikurupuka dadeck zao,chezea baraza la ulamaa?🤣🤣🤣

  • @swalehemrombo9301
    @swalehemrombo9301 Рік тому +2

    Wanafiq wakubwa hawaa wacheki misura Yao kwanza ilivyokaa kitapeli tapeli.!! Sheikh wetu mpya wa mkoa sheikh Waliid asikubali kabisa kukaribisha mipuuzi ya namna hii akatae kabisa mambo ya machawa machawa ya namna hii hayana heri kabisa haya yanafikiria matumbo Yao tuu !

    • @aishahassan3214
      @aishahassan3214 Рік тому

      Swalehe mrombo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 Рік тому

      Sasa kanisa hapa limeingiaje, kwan hawa ni wakristo?😁

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 Рік тому

      @@mobutu3884 nilimaanisha asikubali kabisa na si kanisa.!!

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 Рік тому

      @@swalehemrombo9301 sawa sawa

  • @sadikingonyani315
    @sadikingonyani315 Рік тому

    UNAFKI NI KITU KIBAYA SANA NDANI YA UISILIMU, KWA NINI MNAGEUKAGEUKA?