Innalillahi wainna ilayhi raajioun. Hakika mtaenda kusimamishwa mbele ya Allah na kuulizwa juu ya UOFU huu. Wanaume mnalegeza pua na kutoa sauti nyororo kama DADA ZENU
Kwan mana ya koma sava min au munamsematu kasa awahangaisha kuhusu uimbaji wivu imekuwa mwingi jiangalieni nyinyi hamuimbi nyimbo au matusi au munataka mumpoteze kwenye gemu hamumuwezi huyumtu noma sana waimbaji wote sasa wanaimba nyimbo na matusi mutake misitake Ila jamaa noma sana
Huu ni Mziki shekh ni Bora usiudhalilishe uislam kwakunasibisha nyimbo zako na mambo ya dini. Nakunasihi Kuna mambo mengi ya kufanya kuingiza kipato si njia hii ya kuidhalilisha dini na miziki yako. Nakuombea Allah akunyooshe na akuelekeze katika haki. Aamin
Siku hizi uki chukua watu wa aina hiyo kwenye harusi ni sawa sawa wana enda kuimba taaribu kwa7bu hata uki angalia walio wengi hapo ni wanawake na wao hao wanao imba upuuzi wao. Wala hawawezi kuiharibu dini kama kuharibu ange haribu mzungu na lkn kashindwa
Mbn ushkuwa unajidhalilish na kuudhalilisha uislam rafk angu, unatmia kipaj chako vby saiv kam huna la kufany s ukae kmy klko kufany huu ujinga ambao unakutia dhambini. Sas hapa ndo unaimba nn zaid ya ujinga na upuuz tu.
huyo sio muimba kaswda hizo ni nyimbo zake za kwenye sherehe, zisikilize vizuri ila kinachochanganya watu wanaamini kila alievaa kanzu na kofia na ikiwa sherehe ya kiislam baaas wanaamini kinachoimbwa ni kaswida
Unavo jichekesha hapo ni kama vile uchungu na dini yko huna.... umebakiz hio kanzu2 na kofia ulicho nacho ndani allah ndo mjuz zaid... lkn tambua kitend chako cha kuimba huo ushenzi kimeumiza wengi sn... ungekuw kwa waarabu wangeshakusaka wakakufany vbya
Innalillahi wainna ilayhi raajioun. Hakika mtaenda kusimamishwa mbele ya Allah na kuulizwa juu ya UOFU huu. Wanaume mnalegeza pua na kutoa sauti nyororo kama DADA ZENU
Hizo kasida pamoja na nyimbo zote ni aina ya mizik kwaiyyo yote hayakubaliki ktk dini yetu ya kiislam na Allah atuongoe ktk njia zilizo za haki ❤❤
allah anakuona ebu acha kuchezea dini ya allaah waliangamizwa waliokuwa kabla yako ,
Keep it up
Gari limewaka❤❤
Jaman zote njia za makafr hiz kuuangamiza uislam hiz syokaswida n rusharoho
Kwan mana ya koma sava min au munamsematu kasa awahangaisha kuhusu uimbaji wivu imekuwa mwingi jiangalieni nyinyi hamuimbi nyimbo au matusi au munataka mumpoteze kwenye gemu hamumuwezi huyumtu noma sana waimbaji wote sasa wanaimba nyimbo na matusi mutake misitake Ila jamaa noma sana
Dunia imeisha jaman kwamtindohu duh
Anazalilisha uisilamu uyo inabidi mu mkanye sana
Dunia haiwezi kuisha kwasababu ya Bida ah zenu. Wajinga nyie. Masufi
Kawaida yaaina yoyote ni upuuzi tu kila aimbae ni mpuuzi tu washenz mnatualibia dn na kutuabisha
Musiimbe kituambacho hamkijuw
Hapa mumezingua😭😭😭
Qaswida ndugu yake taarabu😂😂😂 . Huu si Uislamu 😢
Swadakta
Daah mtihani kweli huu ndio maana harusi za sikuhzi hazina baraka kwababau shughuli zoa zote ni zakishaitwani.
😤
Kakweli uyo mtu apewa azabu kwa kuizalilisha uisilamu jama 😭😭😭😭😭
Allah atujalie mwisho mwema😢
😢😢
Qaswida Kama hiz halafu utarajie ndowa idumu 😢😢
Dah bongo flava mushakua munatuimbia au ndo pesa inavotafutwa musivamie kazi msozijuwa
NYIMBO NA WATU WAKE
Hii si qaswisa msituzengue
Yan ni kanzu tu ila ni waimba taarab awa wapuuz
Qaswaid ni za kumswalia mtume ty
Sasa kama wanataka kuimba kuona vishudu vya wanawake basi musivae kazu
Hii ni miongoni mwa taarabu, bila Shaka
Mkiambia msifanye mambo mtume hajafanya. Hamtaki. Huku ndo tulipo fikia waislam,,, hakuna kitu kaswida katika uisilam... Mtume kalimba wapi ... Kaaaahhh...
Hamjui aswaaaaaa kaeni pembeni sio Qaswida izoo komasava muambiwe nn nyie in short pumzikeni hamna kipaji
((HAKIKA MIONGONI MWA MANENO WALIO YAKUTA WATU MIONGONI MWA MANENO YA MITUME WA MWANZO: USIPO ONA HAYAA FANYA UTAVYO )).
Kila nkitaka kuandika maoni yngu mikono inagoma au bora nseme😂😂 lakin bor bc au sjui nseme ah bora nlale😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Shoooo yako iyo
Komasava ni Salam tu
Qaswaida n za kumswalia rasool mengine ni miyeyusho ty
Duhh mtihani kweli
Hii ni taarabu sio qaswida
Mmh ! Majina yoote ya kale duuh wazee wa zamani waliitwa majina mabaya eti Patima
Duuuuh
Amour siku hizi kusema ukweli ovyoo mbaya 😂
Mh
🔥🔥🔥🔥
Huu ni Mziki shekh ni Bora usiudhalilishe uislam kwakunasibisha nyimbo zako na mambo ya dini. Nakunasihi Kuna mambo mengi ya kufanya kuingiza kipato si njia hii ya kuidhalilisha dini na miziki yako. Nakuombea Allah akunyooshe na akuelekeze katika haki. Aamin
Siku hizi uki chukua watu wa aina hiyo kwenye harusi ni sawa sawa wana enda kuimba taaribu kwa7bu hata uki angalia walio wengi hapo ni wanawake na wao hao wanao imba upuuzi wao. Wala hawawezi kuiharibu dini kama kuharibu ange haribu mzungu na lkn kashindwa
Hiii ndio ile komasava 😂😂😂
Ndio jee kwan
Kwani wee unona je au ngija ngija?
Sii Koma sava kuona huon lkn ata kuskia huskiii au unatak faida tu
@@AshratHaji na zawad kama yupo namtaka si faida pekeee
Na bado mtasema sana
Mbaya sana hata haiyeleweki
Yan ni ushenzi utup bora wangevua kanzu tujue ni waimba taarab
simuziki jamani mcheni Allah
Mtihani mkubwa huo.
Astaghafirullah astaghafirullah ALLAH atusamehe waja wake
Ni salamu t iyo Lakin ss tusi liko wapi apo
Wangeiita taarab mana qaswaid n za kumswalia rasool tu
Wote wivu uwo ayooooooo
hii nayo dini ety kwel
amour acha ukafiri
Komasava ni salamu lkn s
😂
Hamjui kama iyo lugha kama lugha nyengine msitupumbaze
Jomony ni ubunifu 2 wa m2 bs apewe mauwa yake kwa ubunifu mzuri
Innallillah
Napita tuu lakin kasida Kali inavuma duniyaa zima
Kutabasm muhm😅
mcheni Allah nyie watu wamaulidi
Mbn ushkuwa unajidhalilish na kuudhalilisha uislam rafk angu, unatmia kipaj chako vby saiv kam huna la kufany s ukae kmy klko kufany huu ujinga ambao unakutia dhambini. Sas hapa ndo unaimba nn zaid ya ujinga na upuuz tu.
Ndo kaswida za sikuhz nikam iz bila hiz unaonekan mshamba na hupat kodi
huyo sio muimba kaswda hizo ni nyimbo zake za kwenye sherehe, zisikilize vizuri ila kinachochanganya watu wanaamini kila alievaa kanzu na kofia na ikiwa sherehe ya kiislam baaas wanaamini kinachoimbwa ni kaswida
Mbona utam umekatwa humu ah
Munatuharibia kasida kiukwel kadiria ndiomaana tunampango wa kukaa pembeni tukuachieni na nyimbo zenu
Na bado mtasema sanatu ndo ishasomwa
Kama hamjui kuimba tafteni sehem muchimbe mawe muuze au chezeni kikoba Comasava nyie mmezid nyimbo za diamond ND mnaimb nyie mbn ND mnazid kuchafua uislam Qaswida Aqaz sio NYINY hamna vipaji aswa ety komasava jaman
Broo tumeona comment zako Ahsante sana hahahaaha