Malaika wa MUNGU RAPHAEL ANIGUSE NA MM NAJIUNGANISHA NA MADHABAHU HIYO YA MUNGU ALIYE HAI NI KWELI NIKO MBALI KIMWILI LKN KIROHO KWA JINA LA YESU NIKO HAPO NA NITAPOKEA UPONYAJI KTK KILA ENEO LA MAISHA YANGU NAPOKEAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA IN DE MIGHTY NAME OF JESUS AMEN!!!!!
Nko na swali nabii wa Mungu anaeishi...ivi kama mtu anaeza kunena kwa lugha ya kiroho..Ni kawaida kuwa mtu mwengine kama anaomba kiroho pia wewe unajipata unanena kiroho..yani popote ata kama Ni kwa tv mtu akinena kiroho najipata nanena kiroho ata kama siombi. Je Ni kawaida au kuna tatizo
Ni kawaida, kwasababu kunakuwa na connection ya kiroho na unapokuwa umejazwa na Roho mtakatifu unaweza kujiskia kunena kwa lugha muda wote siku nzima! Barikiwa ktk jina la Yesu!!
Napokea katika jina la Yesu🎉❤
Nami naomba malaika Raphael akishuka kutoka mbinguni asinipite, naomba aniponye pamoja na familia yetu katika jina la yesu kristo 🙏🙏
Malaika Rafael akaniponye na Mimi,kila uadui kwenye maisha yangu Leo Ni mwisho.
MBONA SASA UNASEMA NA MIMI SIO HUYO MWANAMKE TU YOTE ULIYOSEMA NI YANGU NIMELIA SANA. MUNGU WANGU USINIPITE NITETEE IMETOSHA SASA!
P
Malaika wa MUNGU RAPHAEL ANIGUSE NA MM NAJIUNGANISHA NA MADHABAHU HIYO YA MUNGU ALIYE HAI NI KWELI NIKO MBALI KIMWILI LKN KIROHO KWA JINA LA YESU NIKO HAPO NA NITAPOKEA UPONYAJI KTK KILA ENEO LA MAISHA YANGU NAPOKEAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA IN DE MIGHTY NAME OF JESUS AMEN!!!!!
Ubarikiw Sana mtumishi wa Mungu!nami napokea,mbona kama vile ni mimi pia!ata mimi napokea
Nakuomba sana Malaika Rafaeli atuponye mimi na mwanangu
ARCH ANGEL RAPHAEL TIBUA🔥🔥
Nabarikiwa Sana na neno hili naamini kwa hivi ninavyolisikia napokea uponyaji kwa jina la Yesu Kristo Mimi na familia yote,
Amen napokea uponyanji wa mtoto wangu
Katika jina la yesu, Kila uadui Katika maisha yangu unaondoka leo Katika jina la yesu
Amennn najiunganisha na ibada hiii
Amen❤❤❤
Yani prophet ni kama unanisema mimi kabisaa
Amen. Nimesikiliza Nimelichukuwa neno hilo kwa imani Dady I promise Nitarudi hapa kutoa ushuhuda.
Nakuelewa sanaa
Prophet ubarikiwe sana,May God use you more to enlighten us.
Ameeeen
Amen Man of God
Ameen
Nahitaji huduma ya utabili
Amen
Amen Prophet setting the captives and the oppress free!
Maombi mzuri
AMEN👍👍👏👏👏👏
Be blessed and be blessing to many souls
Bonjour Prophet, avez-vous cet enseignement en Francais svp ?
Watching from US TX .
More Grace Man Of God 🙏🙏🙏
Napokea UPONYAJI wangu wa KIUCHUMI.
I receive I connect
😔😔🔥🔥💖🙏
Nko na swali nabii wa Mungu anaeishi...ivi kama mtu anaeza kunena kwa lugha ya kiroho..Ni kawaida kuwa mtu mwengine kama anaomba kiroho pia wewe unajipata unanena kiroho..yani popote ata kama Ni kwa tv mtu akinena kiroho najipata nanena kiroho ata kama siombi. Je Ni kawaida au kuna tatizo
Ni kawaida, kwasababu kunakuwa na connection ya kiroho na unapokuwa umejazwa na Roho mtakatifu unaweza kujiskia kunena kwa lugha muda wote siku nzima! Barikiwa ktk jina la Yesu!!
Ahaha Nabii amenyoa pank acheni utani na mungu nyie
9p
Ameen.
Amen
🙏🙏🙏🙇♀️👏👏