Professor Jay Feat Harmonize - YATAPITA (Official Audio) Sms 8499592 to 15577 Vodacom Tz
Вставка
- Опубліковано 18 жов 2018
- #Yatapita #ProfessorJay #Harmonize
Yatapita by Professor Jay Feat Harmonize (C) 2018
Sms 8499592 to 15577 Vodacom Tz
YATAPITA OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
BoomPlay: www.boomplaymusic.com/share/ar...
MKITO: mkito.com/artist/1111
iTunes: itunes.apple.com/us/artist/pr...
Spotify: open.spotify.com/artist/1Q5oC...
Dezeer: www.deezer.com/us/artist/4096310
Written & Performed by: Professor Jay & Harmonize
For Bookings: ProfessorJaytz@gmail.com | mxcartertz@gmail.com |
Follow Professor Jay on:
/ professorjaytz
/ professorjaytz
/ professorjaytz
Iko poa sana nimekua wa pili kama unamkubali professor jay gonga like
🔥🔥🔥🙌
Nzur sana mzee wa man japo Chelsea LEO imekutoa jasho nyimbo nzur kila siku nitasikiliza
GODFREY PETER sawa kawaida sana ila niliwakosa wamechomokea kwenye mdomo wa mamba
I Like it
Maisha chuo kikuu yapasa kujiendeleza....NOOOMAAA....mistari yenye mnato...yakubalika!...
Big up king of hip hop...
Hakuna kinachoshindikana...believe in yourself........KALIII SANAAAA....
Waiting for the video...+254 nawakilisha hapa...ndani ya Mombasani mji wa raha...
Gonga like kama unakubali hii ngoma
Salute sana mimi pia hapa hapa pwani
God song
Huu wimbo unaweza kupigwa Clouds hata kama wana bifu na Harmonize
DAMN!!! Mbunge wa ukawa kauwa, konde boy wa wcb kazika..hii ndio nyimbo yangu bora kwa mwaka huu wa 2018.. unataka nyimbo gani tena ww?? weka likes hapa nyingi..imenigusa ila #YATAPITA
Ebhnaaa ngoma kalii hakika konde boi u kill it professor j we ni 🔥🔥🔥🔥
harmonize tz voice yako inakuwaga na hamasa.....255 nipeni like zangu
"Ifikirie kesho yako achana na jana".....kulala visa vihoja mulo kutwa mara moja....bonge la ngoma they have never let me down these two people...🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤙
Bonge la ngoma sema harmonize nyimbo za matatizo matatizo uko vzr sn bro 💥👏
Haha ety nyimbo za matatizo
Inspiration song. Good job prof jay. Haraf hii ni heat song tiar kama unakubaliana na mm gonga like.
Siku hizi nyimbo zinazoishi ni zile zinagusa maisha halisi ya watu. Ila yatapita.
Dah hii ngoma imebamba mpaka Nanjilinji ama kweli ngombe hazeeki maini kama umeipenda ngoma hii like twenzetu
Ngoma Kali sana dah hujawah kuniangusha brother prof jay
dhaah! hii ngoma kalii nmeirudia kuiskiliza kama mara 4 hv kama unamkubali professor jay gonga like twende sawa
hata mm sijachelea...kama umeikubali gonga like twenzetu ....YATAPITA😍😍
Harmonize is fine man kila ngoma atotia saut yake inakua Kali,,, Ngoma tam ina ladha ya urojo, tende na halwa
Abuu Rodney poaa
Harmoniz katish
Konde boy is fireeeee bt xalte 2 prof jay,ngma kal,beat yeny hcia za huzun
Utam tupu
Kama una kubali harmonize bila kuhacha mzee professor j pinga like yako hapa
Wimbo unatia hamasa mpaka kijijini kwetu wanasema yatapita huku wanelekea shambani....imefika na tumeipokea huku....
😂😂😂😂
😀😀😂😀😂😀salute hata mimi naenda chunga ngo'mbe ila yatapita
Nimekusoma brother #Exaud
Nimesubiria kwa muda mrefu mistari yako mawe yenye kugusa maisha halisi hatimae umefanya prof. Konde boy kaua asee... Bonge la inspirational song kwa mwaka huu.
Miziki hua wana imbaga wa Kenya tu..bora mzee baba ulivo urudisha tena ReturnedOfBongoflave
i do beliave in my self ...bonge moja la ngoma ...#yatapita
Asante bro!! Hii nyimbo imegusa saaana maisha yangu kupitia kwenye shida na kashfaa nyingi za kimaisha mpk sasa kufika kufanikiwa na nguvu za Mungu tu
Clouds daah wanatukosesha mziki mzur xn cc mashabik wakeeeee....
Konde boy na profesa jay mambo n fire🔥🔥 kama unaamini yatapita #gonga like
Kama unaamini huu wimbo ungewekwa kwenye UA-cam account ya #Harmonize sasa hivi ungetrend gonga like hapa
Kama unaamin YATAPITA wanangu niunge mkono kwa lyke lakoo
Yatapita tu,sijawahi mkubali Harmonize kwa kuiga sauti ya Diamond ila hapa katisha sana. Mzee Jay umetisha ngoma inatia hamasa kutokubali kushindwa.
Mmakonde kutoka MTWARA na the heavy weight MC kwenye ubora wao like ili twende sawa km umeilewa hii ngoma
najua unapata tabu sana wanakutukana ifikilie kesho yake achana na jana,#prof jay umeflow vizur sana umeturudisha enzi zako
Harmonize uko juu kakangu.....prof jay anatisha pia....wimbo wenye mafunzo wasee, proud of ua work
Yaan kama unamkubali harmonize acha majungu punguza wivu yaan konde boy anajua bhana like nyingi kwake please
Jah bless Professor J and Harmonize#amna kinachoshindika pale unapojituma na kuwa na imani kuwa yote yatapita✊
I can I must I will ..... Kwel yatapit one day yes kama kwel gonga like tusepe
Salute sana popote unapozipata hizi rap za profesa naomba ugonge na like usipite
Mkongwe prof jay uzeeki tu bado unatupa radha tofaut tofaut za ksanaa. YATAPITA. iko poa sana pia hongera ziende kwake HARMONIZE
Ninapo pata kidogo naweka.........
(Maliziaaa kama umeusikia mstari huuu)
Nice talent
Yatapita maisha haya kazi za dharau 😭😭😭😍
Kuna miaka flani hapo nyuma #ProfessorJay alitaka kupotea kwani alianza kufata nyimbo za vijana wa siku hizi, mzee mwezio nimekuwa shabiki wako yangu enzi za HBC! Good song!
Kama una amini uchovu wa MOND NA KIBA UTAPITA like hapa ... Ngoma kali
Nachoweza kusema hakuna na hatokuepo Kama prf Jay Kama utaki kalale njoo ugonge like hapa twende sawa
Jamn mbn m kila SKU m nakoment ila sjawqh pata like zenu naomb like zenu kama mnakubalianq namm kuwa harmonize ni gonjwa LA jiji
Kama unaamini magumu yote unayopitia yatapita gonga like
Yatapita wacha tuhustle kwanza
Kwl
Aminia
kila lenye mwanzo lina mwisho wake YATAPITA Big up Professional J
Nan kasikia MO DEWJI katajwa humu
Angelica chanel
namie kukoment kila nyimbo na sipati like yatapita tu
Duuuh haya ninyimeni likes pia hii
Nmeiskiza sana yaniii. Na angalia dreams I have ... Najiuliza ntatusua kwl.. I will never give up .. Mpaka last breath.
Nyimbo nzur sana kaka #Joseph....haki kikwer imejawa ujumbe wenye kutia moyo na faraja aswaaa nashinda nausikilza kila wakati
Dua yangu bado nipo nanyi mama zangu wa mboga mboga
Imeweza saana #211🇸🇸🇸🇸 mark register hapa
Niko ndani
Salute sana
First comment from Kenya.. Shida waTanzania hawaelewi nimesema nini.
Best song.. harmonize n prof jay mnajuwa aisee ... yote yatapita... ngonga like if u like the song..😊😊
yatapita 🔥🔥🔥
Jay umegusa story ya maisha yangu, Mungu akubariki.
PROFESOR JAY ..HAPO SAWA..SHIKILIA HIPHOPO YA BONGO FLAVA..HARMO..CHORUS..UMEFUNIKA..ASANTE.
Ahh!! WCB hamkoseag kabsaaa aniii
Konde Boy mi nmeipenda sanaaa hii nymboo 😘😘😘
Harmonize hujawahi kukosea ngoma unazoimbaga hukoseagi God da bless ma best
This jam is amazing..am loving every bit of it...thumbs up harmonize and proff.jay.Kenya is listening
Naickilza inaisha naisikilza tn
Inaisha naskiza tn, imeisha nairudsha tn naona usumbufu kuirudia youtube, nai-download, naweka repeat.. #Yatapita🎶
Watu wasiojulikana, nayo yatapita
Much love prof Jay wamituringa
Beat Kali, punch line Kali, vinanda vikali ila harmonise umenogesha chorus
Leo zamu yangu..sizijui likes, so sad..bonge la ngoma.
Konde boy nakukubali sana watapata ngoma kali
i think harmonize if he continues working with mature artist like prof he will be king
Ngoma iko Poa sana 🔥... legend jay na konde boy.. mnajuwa🔥🔥🔥
Kwa wale waliokuwa mbioni kukata tamaa,,, nawashaur ytapta tu kazen
Yatapita naombeni like zenu apa tafadhali
daa kunde boy kwasasa unaweza fanya ata bila kutegemea WCB ase naukatikisa sana aseee maake sio kwa Voice iyo mkal Big Up sana kwa mzik mzuli bila kusaau mbunge wtu wa mikumi
Unapitia mengi ila mambo hayendi, I CAN✍, I MUST🙏, I WILL💪💪 km Mengi... Uskate tamaa ongeza tu juhudi pambana #Yatapita🔥🔥👌
Harmonize umebadlka sana humu that is a music nw #congrats 👏👏👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Duuuu kweli Yatapita Na Magu Ataachia kwel gonga like
Ngoma na nusu kama unaikubali gonga like twende sawa
frank saf Sana
Dah kujarbu kwang ndo kwanza npo no. 4 ... any way YATAPITA ..ngoma kali sana ...
Yeah! "YATAPITA" Kijiwe brother J.... but.....yatapita.....Music..........legend J.....LEGEND....
One of the best inspiration song happened in bongo music
Iko poa sana brother Jay, Kama utaifanyia remix hiyo ngoma kwenye verse ya mwisho au ya kati muweke Fid q kama itawezekana
daaaaaah
harmonize hujai angusha fans wako.... #254 🔥🔥💯💯✔️
Noma wamituringaaaaaa
Daah kama imekugusa gonga like
Young killer Msodoki msodooooooooooki Noma sana
#zujo ft young killer msodoki itakua poa
hahaha jay wewe mwehu kaka muziki hahahaha
yatapita gonga like hapa bhana.
Ngoma kali saaana salut mzee professor na konde boy tuko pamoja bujumbura
Huyu ndo fundi prof j,achana na ubunge utupe music mzuriiii
professa jay....big up brother...harmonize i have nothing to say,,,always making it happen
professor loongi since 1995 big up wa gwan tupo hip hop mpaka kesho
I'm from Afghanistan and I don't understand Swahili but haya yote tunayopitia huku kwetu yatapita tu..
Gift Randu hahaha
Aisee huu ndo muziki mzuri mpaka wenye vibamia tunajichanganya na wengne hum
Yes Kama ipo itakuja big up Sana kwa song hili prof Jay +harmonize
Ngoma nzuri sana, hongera Profesa....!! Imejaa ujumbe, hakika inaelimisha sana
I love this song...Greetings from Ghana..Good Music
Maisha ni chuo kweli na yatapita tu... mungu2 👌
Profesa nakukubali sana kwnye game bado uko Fire, Mikumi stand up """"
Huyu ndio prof jizeee na Konde boy..hii ni 🔥🔥🔥🔥✅💯💯
Izi ndo nyimbo mzee.Sio inama inama nashindwa kuskilza na wazaz apa maskani
Inspiration,hii ni kwetu vijana wote wapambanaji,#yatapita
Nothing is permanent in life it shall come to an end beautiful thing prof 😍salute
Kutoka +254🇰🇪 Hii imeweza...Jay na Harmo it's lits💥💥💥
Very inspiring ...motivating.we should always have courage that things change.we need to keep fighting to the last cell
nchi yetu na watu wasiojulikana yatakwisha gonga like tuwaumize watekaji😁😂😢
Kama umeikubali hii ngoma gonga like hapa👊👊👊
respect bro Jay big up sana umeludi zile enzi zako za mashaili yakushika heart
Kazi safi...
Qariii sana #kiongoz wabinadamu nawanyama #kondeboy wewe.shikamoo
BABKUBWA PROFESSOR. MUONE DADA YULE NADHANI UTANIKUMBUKA.