Raila aiomba jamii ya Akorino kumpa fursa kuongoza nchi mwaka ujao
Вставка
- Опубліковано 18 жов 2024
- Kiongozi wa ODM Raila Odinga amesema kuwa kufufua uchumi, masomo bora na ajira ni kati ya mambo yatakayoangaziwa katika manifesto yake. Raila amesema hayo leo alipo kutana na jamii ya Akorino kuiomba kumpa fursa ya kuongoza nchi mwaka ujao.
Baba kweli tutaiingia cannan
My Fellow Kenyans:"Any Uhuruto reconciliation must be based on and Limited to Raila's 2022 Mandela Moment, anything else including Ruto's candidature is simply "Nada"!.
Tukana Baba lakini mungu ako na yeye
This is the missing 6% that Raila needed + Uhuru's one vote
The Mganga is wasting his time, Akorino have no time for Waganga
So you really know the meaning of mganga? Ngojea hapo nakuja🤡🤡💩💩💩
@@kajole8057 he can go to sugoi for mukokoteni bro!
JACK MURAGURI...why do you believe in so much in Waganga..may you lot in hell ,you dnt have to.support Raila but you dnt have to talk shit.Tuko na Raila hadi tamati..Raila the 5th..we are not buying fear so.as we vote for sogoi man.
A thief!
Yeah Akorino have no time for Mganga... They only have time for the killers, looters, and land grabbers..
@@feimig3114 Raila the 5th Presso!!.