OMG. I googled this song and didn't expect to get it because it's rare one does this and succeeds. English songs? Easy. Our own cultural songs? Very hard UNLESS they say "Gospel" which is sick, if you ask me. Shukran. Please post more of these.
Kuna mtu amenitibua kweli nikaukumbuka wimbo huu enzi za ujana wetu..nikaweka nia kuutafuta nimtumie ujumbe uliomo ajifunze mali ya wengine si yakuringia kweli! Eeh! Jamani waimbaji wa zamani walikuwa na ujumbe katika jamii...RIP.
Wimbo mzuri kabisa naupenda sana nakumbuka enzi hizo nilizoea kuusikia kila mara redioni.waimbaji wametulia na vyombo pia vimepangiliwa huu ndio mziki hasa.naomba wimbo wa tabora jazz unaoitwa barua yako nimeipata dada halima.hebu chekicheki kwenye maktaba yako kaka nguzo.mimi ni mpenzi wa nyimbo za zamani.
OMG. I googled this song and didn't expect to get it because it's rare one does this and succeeds. English songs? Easy. Our own cultural songs? Very hard UNLESS they say "Gospel" which is sick, if you ask me. Shukran. Please post more of these.
Kuna mtu amenitibua kweli nikaukumbuka wimbo huu enzi za ujana wetu..nikaweka nia kuutafuta nimtumie ujumbe uliomo ajifunze mali ya wengine si yakuringia kweli!
Eeh! Jamani waimbaji wa zamani walikuwa na ujumbe katika jamii...RIP.
Zingatia utafutaji wa Mali kihalali na kuifadhi vilivyo. Ya kaisari peana! Wivu - potelea mbali.Dr. Ogeto International
Those were days when music was music.
Peleka kodi ya nyumba....mwenzangu......Ahsante kwa mdundo huu wa kale.
OLD IS Gold
Naikumbuka sikukuu ya sabasaba 1968 pale Kambarage stadium Shinyanga.We acha tu.
Huu Wimbo Unanikumbusha wakati wa Ujana Wangu.Mali ya Mwenzio sio mali yako, ni kweli kabisa ndungu zanguni
Wimbo mzuri kabisa naupenda sana nakumbuka enzi hizo nilizoea kuusikia kila mara redioni.waimbaji wametulia na vyombo pia vimepangiliwa huu ndio mziki hasa.naomba wimbo wa tabora jazz unaoitwa barua yako nimeipata dada halima.hebu chekicheki kwenye maktaba yako kaka nguzo.mimi ni mpenzi wa nyimbo za zamani.
Ni nyakati ningetamani kuziona zikirudi ustaarabu na maadili vikiwa juu kabisa wakati huo, penda sana hizi nyimbo.
Yanikumbusha marehemu mtangazaji Job Isaac Mto, wakati wa VOK. Kipindi cha porojo
Ni wimbo mzuri unaokukumbusha kujua Mali isiyo yako siyo tu kodi ya nyumba
Baba unajitahidi kutuwekea vitu adimu