ALLAHU AKBAR, alhamdulillah Sheikh Kishk Mawaidha haya yamenifaa sana na nitaendelea kusikiliza elimu yako, M/Mungu akupe umri mrefu uzidi kuelimisha watu, M/Mungu atupe wepesi na sie tuelimike zaidi. Ameen
Not sure if anyone gives a damn but if you're stoned like me atm then you can watch all the latest movies on instaflixxer. Been watching with my girlfriend for the last couple of days xD
Allahakabar,mawaidgha mazuri,ni busara kubwa unayo shekh,jazakallah Mungu akuzidishie busara, umefundisha somo la muhimu watu kuwa na subira, hakika nimekuelewa kiachana si jambo jema na hakuna mkamilifu, inshaallah amina
Jazakallahu kheir sheik,Allah akujalie sauti nzuri uzidi kutuzindua katika tusio yajua ndani uislamu na akujalie kalmatu laila haillallahu wakati wa mauti yako na akujalie pepo yake inshaallah.
As all ashkh nurkishik nimefurahi kwa mawaidhayako jazakallakhe naomba nitakupata vitu ninamazito nano yabeba nataka nikwambie unnipe malekeo ya haki shukran
Jmn naombeni niulize swali, Kwamfano unandoa, umeolewa au umeoa, lakini mmeo hakupi haki yako ya ndoa takriban mwez mmoja au miwili, wakat huo vitu vingine mnaongea tu vizur, ila unyumba hakupi je? Mwanamke hy kuomba talaka inaswhi?
shelkh Mimi ninatoka Nairobi l have been married for seven good year but my husband did what you can never believe,alimpenda mamangu then he married my mother and live me with two kids he refused to give me divorce what can I do? then akanifukuza to my own house pliz I want you help
Asallam Alleykum shee mimi nilisilimishaa mume lakini matatizo ni aliswalii siku tatu tu basi mpaka sasa ha swali tena najaribu lika siku namuamusha KATIKA swala ya alfajiri lakini ha swalii je ni fanye nini mimi shekh
ALLAHU AKBAR, alhamdulillah Sheikh Kishk Mawaidha haya yamenifaa sana na nitaendelea kusikiliza elimu yako, M/Mungu akupe umri mrefu uzidi kuelimisha watu, M/Mungu atupe wepesi na sie tuelimike zaidi. Ameen
Not sure if anyone gives a damn but if you're stoned like me atm then you can watch all the latest movies on instaflixxer. Been watching with my girlfriend for the last couple of days xD
@Leonidas Dominic Yup, have been watching on instaflixxer for since november myself :D
Mash allah sheikh Nurdin kwa kutuelimisha wengi wetu hajui sheria za talaka ndio maana talaka zimekuwa nyingi,mungu atuepushe.
Mashaallah nimeipenda hadith ninzuri sana mwenyezi mungu akuzidishie umri amina
Allahu akbaru ewe mola wangu nijaalie katka kizaz changu asome katka nadrasa ya shekhe nurudin kishk because dawa zake zinaniingia moyon
Sawa
Maaaaashaaaaallaah
Allahakabar,mawaidgha mazuri,ni busara kubwa unayo shekh,jazakallah Mungu akuzidishie busara, umefundisha somo la muhimu watu kuwa na subira, hakika nimekuelewa kiachana si jambo jema na hakuna mkamilifu, inshaallah amina
Mashallah ustadh...Allah Akupe nguvu zaidi ututie imani zaidi na zaidi
Mashaa Allah ndugu yetu, zidi kutuelimisha kwani tuko wengi wadhaifu wa ndoa. Mungu akubariki.
allhamdullillah nimeipata elimu ambayo si kuwa nayo, napenda kufuatilia maana najifunza Zaid,Allah akupe maisha marefu
Yeny kher
Nataka kuingia islaam
@@carolencarolen2537 mashallah dada umefikiria jambo muhimu Sana...uislamu Ni dini y ukweli..takbir Allahu Akbar...
@@carolencarolen2537 sema ashhadu allailahailla llahu waashhadu anna muhammad rasuulu llah
Masha llah
Mashallah Allah akulipe kila la kheri kwa elimu by ukhty umm
Masha Allah naomba kuaddiwa kwa group ya Sheikh Nurdeen kishki
Mashaallah Allah azid kukutia iman zaid
Alhamdulillah.. MashaAllah.. Mola akuzidishie.
Jazakallahu kheir sheik,Allah akujalie sauti nzuri uzidi kutuzindua katika tusio yajua ndani uislamu na akujalie kalmatu laila haillallahu wakati wa mauti yako na akujalie pepo yake inshaallah.
9 use
8t4
😮😄
Shinning noor Asalaam alykum . natafuta darsa ya kishki ya tohidh. 11yrs ago akiwa Mombasa
Masha.alaah sheikh nuurdiin mungu akuzidiishe eliimu yaako na siisi tunafaidika tuna juwa maambo mengi insha.aal
Mola amjazi iman katika dini yake inshallah.baraqallahi fiiikum.
mashallah hutba nzuri sana .asante sana mwangazamweupe
اريد لتس
Jazaaka llahu khaira ya akhil kariim
Mashaallh . alhmdu llh kwa kutuelimisha na kujua tulivo kua hatuvijui. allh sw akulipe khr dunian na akhera. Ameen.
maashaallah
Tatu Khamis
Allah akujazie imani uzidi kutuelimisha Allah pekee ndo wakukulipa
Kweli Allah amuongoa mtakae Allah amempezungu huyu ufahamu zaid aujue wislam dini yahaki.
Mashaa Allah Sheikh Nurden Mila akupe umri
Manshallah, shukurani sana sheikh nazidi pata darasa kupitia mawaidha
Shukran jazakallah khair mola akujalie afya njema na umri mrefu
As all ashkh nurkishik nimefurahi kwa mawaidhayako jazakallakhe naomba nitakupata vitu ninamazito nano yabeba nataka nikwambie unnipe malekeo ya haki shukran
Mashaallah Allah akupe umrimrefu shekhe wetu
Mr.Ahmed karibu katika Uislamu, Allah akuongoze wewe na sisi pia pamoja InshaAllah.
Allah akujaalie kheri sheikh nauliza swali nini hukumu mwanamke akidai talaka akiona mwanaume kazid saana kero
mashalla mungu akupe umri mrefu wenye diniw
mashaallah mungu akuhdishiye maana wengi atufaahamu
Asalamualaikum shekh nurdin naomba unijibu iliswali nilizini namume alafu badae tukafunga ndoa je yaswii
Jazakallah khayran jazylah.
Ma Shaa Allah naomba kujibwa nlioliwa lakini tuliachan n mume miaka sita Sasa akunipa talaka akuna msaad Wake kwa watoto mm ndio kila kitu mm bado mke
shukuran san shekh Allah akuzidishie in shaa Allah
Mashallah
Ningependa kujiunga kwa grp ya mawaitha nikajua zaidi
Mashaa Allah
Allahum Amiin Allah Awalinde Machekhe Wetu
Naomba kuaddiwa kwa group ya sheikh kishki kutaka kujua zaidi in Shaa Allah na kuuliza maswali
Allah akulinde sheikh noordin kishki...endelea kuelimisha ummah....jazaakallah kheyran
ALLAHHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR
Huyu mzungu kakaa miaka mingapi Bongo maana kiswahili kinapanda , Masha Allah Mungu amzidishie
kwani ni mzungu
Niunge kwenye whitsp niwe nasikiza mawaidha 0714535295
mashaaaaalah sheik
Jazzakallahu kheer Allahu barik
jazaakallah,ALLAHU AKBAR
Jazaakallah,ALLAU AKIBAR.
MashaAllah
shukran sheikh
JAZAKALLAHU KHEIR
Masha allah
Ma shaa Allah
Shekh mm naomba kuliza kama Mume anapo muacha mke lazima atamke kwa kumuita jina au bila ya jina inafaa
mashallah allah akulinde na usda
alhamdullah kwa elmu hii
Jmn naombeni niulize swali,
Kwamfano unandoa, umeolewa au umeoa, lakini mmeo hakupi haki yako ya ndoa takriban mwez mmoja au miwili, wakat huo vitu vingine mnaongea tu vizur, ila unyumba hakupi je? Mwanamke hy kuomba talaka inaswhi?
Shukran kwa mawaidha
Zakallah khaira yaa .muft
manshaalh
mashaAllah
mashaAllaah
Jazzakallahu khairan Allah akuzidishie ilmu,umri na akuepushie maradhi akuepushie na jahanam fil duniya Wal akheira in Shaa Allah
Replies
mashallah
Alwa akulipe mimi pamoja n ww shekhe
napenda sana dini yangu inaelimisha
Mashaallah
mashallah
Mashallah
masha Allah
mashaallah
MashaAllah hasant kwa daras a Allah akujalie InshaAllah 🙏
😃 😀 😃
مرحبا ب مع بك٦س
كبهيعهقغغف من لَغ
لوتقمفعكث٧كثغخفصمغثمفيلم١فمفاملمغمعصم٥ض
😃 😀 😃 😀 😃 😀 😃
Tabarakallah... Mashallah
Allahuakbar
myezimungu akujaaliya kila la kheri
Shukran mwangaza mweupe!!!
mashallah sheikh Nurdin kshk !!!! munqu akupe umri
Allah akuzidishe ili uzidi kwelimusha umma bora kutoka kwako Allah protect you here and after here ameen
ALLAH IBARIK FIKUM,,,
Tima salim.Amani za ALLAH ziwafikie waislamu wote wanao amini siku yamwisho
Takbirrrrr
Naomba mniunge kwenye group la whitsp.0714535295
Allah akulipe pepo
Assallam allykum naomba no ya ustaz kishk
On aime ke mouhamadou rassoulou lahi et dieu
mungu tupe neema
mungu tupe neema
kara kara ha mo kara
Maashallah maashallah mzungu nimempenda buree shekhe naomben number zake pls
shelkh Mimi ninatoka Nairobi l have been married for seven good year but my husband did what you can never believe,alimpenda mamangu then he married my mother and live me with two kids he refused to give me divorce what can I do? then akanifukuza to my own house pliz I want you help
Zuhura h Shafik subhan Allah
Asallam Alleykum shee mimi nilisilimishaa mume lakini matatizo ni aliswalii siku tatu tu basi mpaka sasa ha swali tena najaribu lika siku namuamusha KATIKA swala ya alfajiri lakini ha swalii je ni fanye nini mimi shekh
سلم
Mwaka. .
Na sasa tuna mwaka na miezi mitatu sheikh ni said ie plzz
Ee G the
mashaallah kishki na je wapatikana vipi kupitia mtandao kama number ya simu au email?
Kma itawezkna kuipta nmba yke naomba nina ttzo kdgo kwng
Hukum ya talaka tatu
ua-cam.com/video/dwxR9uBDFq8/v-deo.html
Mashallah Allah akulipe kila la kheri kwa elimu by ukhty umm
Mashaallah
MashaAllah
Mashallah
Shukran sheikh
mashaallah
mashaAllah
mashallah
MashaAllah
mashallah
haulat abuu bakari abuu
mashallah