JOTO LA HOFU |EP 01|
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- My friends… Welcome to my page from #Australia #Algeria, #Nigeria #India #Germany #Egypt #Bangladesh #Morocco, #Uae, #Italy #Tunisia #Indonesia, #Tanzania, #France, #Usa #Nepal #Canada #Palestine #Afghanistan #Turkey #Iraq #Brazil #Burma, #Sri Lanka #Ghana, #Syria, #Thailand, #Philippines, #Libya, #Ethiopia #Trinidad and #Tobago #Pakistan #Myanmar #Jordan #Yemen #Mexico #Uganda #Cameroon, #sierra leone #Saudi Arabia #Sudan #Botswana, #Kenya #Lebanon, #South Africa, #iran, #Colombia, #Gambia #Argentina #lesotho #zimbabwe #Malaysia #Romania
#bongomovies #cinema #growyourchannel #moresubscribers #moreviews #comingsoon #fps #keşfet #more #movie #nyarugusu
@clamvevo6472 @mkojani @tinwhite_27 @chumvinyingigang @Steve_Mweusi @brotherjamesog @Nagwa_og @azamtvtz @BerenikaKohoutovaOfficial
Movie nzuri sana tunasuburi sehemu ya pili
Inakuja soon
Hi imeenda pongezi kwako contawa abbaone women kamweee king of kigomaaaaa
Hii ndio kigoma yavibaji
Hongereni sana wanataifaa house of talent kazi nzuli
Nawatakia kazi njema ochu
🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Kazu kamwe umnyama nimwingi sana umetisha ila mwambie dede aoneshe msimamo wa sauti kama dady gaudi sauti iwe kubwa
On point.. mwanzo mzur sana
Bwana feruzi mzee wa kubeti
Hii movie kiukweli nimependa maana daaah wekeni sehemu ya pili sasa
Sawa dada Ina kuja soon
Hii kazi Iko powa sana sio mchezo ❤❤❤❤
🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Dua🙏
💪💪💪
Good Job🤝🤝
Thanks 🤗
Dodo umeiva sasa umeonyesha ni jinsi gani ume pokea agizo na kuli tekeleza vilivo kula Saba izo 7 ❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤
Ukweli muvi Iko powa ispokuwa Dede hajaonyesha uhalisia kapotea kwenye sauti naule ukasti haukuwepo tuna hitaji muendelezo wahiyo siklipt
Tunamshukuru sana kwa ushauri
Hii movie ni Kali sana sema nimeumia uyo dogo kufa 😭😭😭😭
Pole sana
Jamani Yani hawa jamaa wanakakimbiza Aka kadogo siunevu uoo 😭😭😭😭
Ndio
Safiiisana
Always de journey start with one into million steps
Thank you
❤❤❤
❤
😢😢😢
😢
Kazi iko poa sanaaa
La.iko.sawa.jamani.tuleteen
Seem.yapili.jamani
Jamn nimechelewa lakn sio Sanaa sehem ya pili lini jamn yani ninzuri sana
Xafi xanaa vijana wangu tupo pamoja sana Kazukamwe
Kazi ipo vizr sanaaa kigma mnajua sanaaa
Ukwel usemwa asaivi kigoma mnajua Sanaa ongera zako almasmawora kwa story Kali
Keep going boys
Jamn nimechelewa lakn sio Sanaa sehem ya pili lini jamn yani ninzuri san❤❤
Nimechelewa kujua wahini ya pili jamn
Waoo kazi nzuri sanaa❤❤
❤❤
Jamani msi cheleweshe sehemu ya pili sasa
Sawa dada
Nimm abinel nimeipeda kazi yenu vijana 😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Kazi nzuri ❤❤ kazukamweee naisubiri sehemu yapili wewe ni kigoma one mdogo wangu unajuwaa xanaaa
Kazi nzuri pongezi za dhati kwa wote mliofanikisha
AISE GOOD MOVIE MKO SILIASI NAKAZO SO MKIKOMA NAWAONA MBARI SANA AISE
Amina
Najivunia kuwaona ndugu zangu wa ujiji ❤❤❤❤
Mnatishaaa xanaaa hiii ni. Kigoma one
Asante sana
Kazi nzuri
Duh! Unyama mwingi nimeipenda next Nina Imani itakua poa
Tutafanya vyema Asante sana kwa support yk
Mmetisha sana
Asante sana
Nakubali san
Ongera kaka umefanya vizr
❤❤❤ good
sehem ya pili mbona inachelewa
Umetisha maworaa
Jamn nimechelewa lakn sio Sanaa sehem ya pili lini jamn yani ninzuri san❤❤
Nimechelewa kujua wahini ya pili jamn