TAJIRIKA HARAKA KWA KUTUMIA SURATUL WAQIAH, ISOME KWA UTARATIBU HUU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Wasiliana na Sheikh Nassoro Muhammad kwa namba hizi 0717749113 kwa Maswali, ushauri na kwatiba za kuwatoa majini na vifungo mbalimbali
    ⚫️ WASILIANA NASI MIRAJ KHAN ( WHATSAPP +255 713 730 907), ( +255 745 661 711)
    ⚫️ Email: buikhan21@gmail.com

КОМЕНТАРІ • 51

  • @AbrahamManzi-db4gx
    @AbrahamManzi-db4gx 5 місяців тому +1

    Na Mimi naomba msada wa duwa nisomewe hii kwasababu nimejikita kwenye ufakiri wa Siku nyingi sana kbx Jina langu naitwa Ibrahim Rajab napayikana inci jirani ya Rwanda Kigali

  • @wahidaysf1278
    @wahidaysf1278 2 роки тому +3

    Shukran snaa ustadh. Allah akuweke pamoja na kipenzi chetu mtume (saw)wetu peponi in shaaAllah

  • @anliomar4308
    @anliomar4308 Рік тому +1

    Shukuran sana sheikh wangu mungu akubariki daima milele

  • @AbrahamManzi-db4gx
    @AbrahamManzi-db4gx 5 місяців тому

    Shukrani kwako bwana Cheikh

  • @nasirshekhi6070
    @nasirshekhi6070 2 роки тому +1

    Jazzakka Allahu khyern 🤲❣️🌹❣️🤲

  • @umutetsidayana5770
    @umutetsidayana5770 Рік тому

    Allah akupe zaidi shehk wetu

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 2 роки тому +1

    بارك لله فيك

  • @AbrahamManzi-db4gx
    @AbrahamManzi-db4gx 5 місяців тому

    Awww habari zenu bwana Cheikh

  • @hyasintajoseph2589
    @hyasintajoseph2589 Рік тому +1

    Shukran hapo inabid hapa mtu ufunge mkanda khaasa

  • @wazirisalum8227
    @wazirisalum8227 2 роки тому +4

    Sheikh kwa hesabu ya chini hyo dua itachukua masaa 9 na dakika 8.

    • @Namanda425
      @Namanda425 Рік тому

      Yani lau ukaanza sa moja asubuhi utamaliza SAA tisa.

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Рік тому

      ​@@Namanda425hatari kweli. Si utakufa

  • @selemansalum
    @selemansalum 2 роки тому

    Jazzakh la kheir maaljm

  • @AmjadiAlly
    @AmjadiAlly Рік тому

    Allah akulipe kheri

  • @abdulmalickupete9015
    @abdulmalickupete9015 2 роки тому

    Shukrani

  • @حليمهحليم-غ3ل
    @حليمهحليم-غ3ل 2 роки тому

    Shuquran

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 Рік тому +1

    😂😂21mara 7 wallah ni kweli nimejaribu lakin nimedondka mama mzigo

  • @SaidKatuga-qx1xr
    @SaidKatuga-qx1xr 4 місяці тому

    Mtume ,saw kafundisha hayo kweli.toa ushahidi jamani usizungumzee tu

  • @asiamuhammad8718
    @asiamuhammad8718 2 роки тому +3

    Sasa waqia 100 na zaidi si uchache wa yaqin kikubwa mtu kutengeneza mafungamano mazuri na mola wako kila kitu kitakaa sawa

  • @alidugesh
    @alidugesh Рік тому

    Subhan Allah hamna dalili kabisa.... Naomba tufate quran na suna...... Siyo hawa na Shiekh kupoteza watu

  • @saidakunga2586
    @saidakunga2586 2 роки тому

    a alahkum je muda sahihi ni upi

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 роки тому

    Jifunze qran kusoma na kuandika gusa picha yangu hapo

  • @jamillahaidha8184
    @jamillahaidha8184 2 роки тому +6

    IDADI kubwa sanaaa jamani 21 kweli kila mubiin Subhanallah nna dhiki sana ila hii nitaiweza kweli maana naamini dua bora niyakujiombea mwenyewe

    • @SheikhNassorMuhammad
      @SheikhNassorMuhammad 2 роки тому +2

      ondosha uvivu na kukata tamaa utafanikiwa inshaallah

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 Рік тому +1

      Sio idadi kubwa Jamillah ukilinganisha na shida zetu Wallahi!
      Tujitahid kumlilia Allah SW

    • @alidugesh
      @alidugesh Рік тому

      Hamna kitu hapo.... Ni uongo mtupu.... Hamna hadithi wala aya la hi jambo.... Ingekuwa ukweli mbona maskini bado ???? Yeye mwenyewe angekuwa ame park Lamborghini inje..... Tusikubali kila kitu

    • @lifeinmiddleeast8179
      @lifeinmiddleeast8179 Рік тому

      ​@@alidugeshwe huelew sis ni wavivu wa kusoma Qur'an hata angesema mara 2 bado si rahis mi nikaanza Tu usingizi mzito au naongea mambo ya ajabu

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Рік тому

      ​@@lifeinmiddleeast8179labda una majini

  • @sondice3364
    @sondice3364 7 місяців тому

    ivi vtu mnatoa wap jmn na mwenyez haikalfish nafsi kw ktu isichoweza

  • @foodcook3626
    @foodcook3626 Рік тому

    Uliitumia wakati gani ?

  • @SalumuMatimbwa
    @SalumuMatimbwa 5 місяців тому

    uyo anaye zungumza yeye tajir? hizo siri za surat waqiy na hayo matumiz mtume aliyaficha yeye ndio anatuambia

  • @shabanihassan8678
    @shabanihassan8678 Рік тому

    Waqia kwa speed ina dakika 5 unaisoma mara 22x 7 (mubin Za yasin) = 5 x 22 x 7 = 770 dakika Sawa na masaa 12.8 takriban masaa 13 ukisoma slow itachukuwa takriba masaa 15-16
    Ivi sheikh iyo kweliiiiii ao unatuongopea 😅😅😅😅
    Mhhhh

  • @maryammohammed1991
    @maryammohammed1991 2 роки тому

    mbona hupokei ukipigwa

  • @Abdulshakur_fawzan
    @Abdulshakur_fawzan Рік тому

    sasa Kama nimuskiti muda ya usiku

  • @ramadhaniadinani744
    @ramadhaniadinani744 7 місяців тому

    Wanaingiza pesa tu

  • @alidugesh
    @alidugesh Рік тому

    Tuna omba dalili yake... Quran??? Au hadithi??? Wewe ni tajiri???? Wangapi wame tajirika na hi????

  • @zawaidarashid7099
    @zawaidarashid7099 8 місяців тому

    Unaisoma muda gani sasa

  • @ramadhaniadinani744
    @ramadhaniadinani744 7 місяців тому

    She masaa mangapi

  • @Namanda425
    @Namanda425 2 роки тому

    Mubin ni nini?

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 Рік тому

      Anamaanisha!
      Ukisoma suratu Yaasiin!
      Kuna aya ambazo mwisho wake kuna neno
      Mubiin

  • @fredquinbi2389
    @fredquinbi2389 2 роки тому

    Maneno ambayo hayana dalili mwisho nilijua ni udalali tu,,umsomee mtu Ili iweje

    • @broumaiyyah8018
      @broumaiyyah8018 Рік тому

      Dalili ya mvua au nn unataka!!

    • @sfiaalanazi5479
      @sfiaalanazi5479 Рік тому +1

      @@broumaiyyah8018 wanataka vya rahisi na hakuna walizoea kulala tu

    • @broumaiyyah8018
      @broumaiyyah8018 Рік тому +2

      @@sfiaalanazi5479 we km iman ako haikufany uamin tulia tuachie sie tunao amin

    • @sfiaalanazi5479
      @sfiaalanazi5479 Рік тому

      @@broumaiyyah8018 kabisaaa mtaka cha mvunguni sharti ainame sasa hizo waaqia 21 alikuwq yuwataka aambiwe2 😂😂😂😂

    • @lifeinmiddleeast8179
      @lifeinmiddleeast8179 Рік тому

      ​@@sfiaalanazi5479😅😅