Arafa Hussein - Anasmatu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 27

  • @NaimaAli-r4r
    @NaimaAli-r4r Рік тому +4

    Mashallah kipenz arafa nakupend bureee

  • @ramadhansultan5306
    @ramadhansultan5306 5 років тому +4

    arafa mungu anakuona dada

  • @abdulmhimbi2199
    @abdulmhimbi2199 4 роки тому +2

    Nzr mung akufanyie wepes ktk xhughuli zako chakukulpa atuna ila Allah

  • @اكووونامتاتا
    @اكووونامتاتا 3 роки тому +1

    حقيقه لم اسمع من مثل هذه الحنجره
    الماسيه من 30 عاما
    اجمل واندي من سمعت
    لكن لا توجد
    ترجمه لكل اغانيها
    ولماذا لا تحرص علي العربيه خاصه اغنيه ووزازي المميزه الرهيفه عرفه انت جبل

  • @fahmiridrissa134
    @fahmiridrissa134 5 років тому +9

    Yan kwel ALLAH humpa kila binadam anachotaka maan hii kaswida niliitafta sanaaaaa leo nafngua youtube naiona mbele yang maan hat jina nlikuwa siijui
    Alhamdulillah

    • @jumazuberi3308
      @jumazuberi3308 5 років тому +1

      Siokwamba ALLAH humpa kila binadamu anachokitaka bali humtunuku kwani huyu Arafa hiki kipaji alikuwa nacho toka udogo wake yeye amesoma al -madrasat noorul Islamiyyat ipo vingunguti maeneo ya michongomani kwasasa

  • @batletthegreat481
    @batletthegreat481 5 років тому +2

    Mashallah.. jmn naombeni mniambie ndugi zangu... vipi huyu dada ashaolewa...

  • @rajabbinjumah9026
    @rajabbinjumah9026 8 місяців тому

    Hii Qaswida Ilikuwa Hatar Sanaa Wallahi❤

  • @HashimSeif-lv1gu
    @HashimSeif-lv1gu Рік тому

    Mashllah nimeipenda sana da arafa

  • @centralzonetvtanzania7313
    @centralzonetvtanzania7313 5 років тому +4

    hizi ndo kaswida mashaallah

  • @abalhassan8503
    @abalhassan8503 5 років тому +2

    Allah akuzidishie dadaangu

  • @khadijakhamis2082
    @khadijakhamis2082 4 роки тому +2

    Mashaallah,

  • @fatmamangallah8263
    @fatmamangallah8263 5 років тому +2

    Maa sha Allah

  • @aishadardai2972
    @aishadardai2972 5 років тому +2

    Mashallah

  • @msafirimgunda1301
    @msafirimgunda1301 5 років тому +2

    Noma sanaa dada

  • @omarkipotwile9052
    @omarkipotwile9052 5 років тому +2

    maasha allah,

  • @feysalabaya3352
    @feysalabaya3352 5 років тому +3

    mashallah.........ni.vittah

    • @jumazuberi3308
      @jumazuberi3308 5 років тому +1

      Tumia lugha nzuri ukisema vita una maanisha kuwa mapigano ya watu wawili au zaidi wengine ndivyo watakavyo elewa ndugu yangu lakini mimi nimekuelewa

  • @zalhazakahlan5385
    @zalhazakahlan5385 4 роки тому +1

    Mashaallah

  • @chilavetmuu7897
    @chilavetmuu7897 5 років тому +2

    mashallah,nzuri

  • @kondosalum4346
    @kondosalum4346 5 років тому +2

    Nakubali sana hiiii

  • @Micharazotz
    @Micharazotz 5 років тому +2

    Fundi huyu mdada

  • @rajabbinjumah9026
    @rajabbinjumah9026 5 років тому +1

    Masha Allah

  • @abdallahkidula6431
    @abdallahkidula6431 5 років тому +2

    Mashallah pongezi

  • @jumazuberi3308
    @jumazuberi3308 5 років тому +3

    Napenda kumpongeza na kumsihi kuwa changamoto ni nyingi lakini ajitahidi

  • @JumaZahoro2000
    @JumaZahoro2000 5 років тому +1

    Good