BARUA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 3 роки тому +28

    Comedy kali na inafundisha,hasa wasanii wetu Tz mbadilike mnawaharibu watoto mashuleni

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 3 роки тому +1

    Safi snaa zuuu hebu piga KAZI na joti Achana na Yule big big anahinyika tu kule songa mbele dada

  • @hemedshughuli7145
    @hemedshughuli7145 3 роки тому +42

    Kule ni king kiba uku ni joti lazima uburudike tu💯💪🔥

  • @joejux1380
    @joejux1380 2 роки тому +7

    Mbosso unaharibu watoto wetu huku kwa nyimbo zako joti msenge "wewe sisimizi mimi gegedu tuna gegeduana😁😁😁"

  • @zuhuraomary5373
    @zuhuraomary5373 2 роки тому +12

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Congratulations 👏 Joti....Wew ni kamanda wa jeshi la comedy Afrca... Hakuna kam u

  • @gladysrodrick8239
    @gladysrodrick8239 3 роки тому +26

    Jamani tunaoangalia uku tuna soma comment kama mm 😉

    • @joseofficial645
      @joseofficial645 3 роки тому

      Tazama hii pia utaipenda:
      ua-cam.com/video/mNUZt57vZek/v-deo.html

  • @flavianjalome1005
    @flavianjalome1005 2 роки тому +1

    Dah uyu jamaa anajuwa sana smpingi

  • @cottonpamba7726
    @cottonpamba7726 3 роки тому +46

    😂😂😂 😂😂eti kifupi mm ni yatima alifikiri ataachwa

  • @mashintilafabian7825
    @mashintilafabian7825 2 роки тому +1

    Hahaahha yaaan weee jamaa wew,unatisha sana

  • @mariakayana9956
    @mariakayana9956 3 роки тому +45

    Alafu ametokea mtu amesema yeye ndiye comedian number moja,shenzzz..#dulivan🤣🤣🤣🤣wakati kuna ngoma hii imetulia..Respect bro..#joti
    We love you

    • @frankcharles7984
      @frankcharles7984 3 роки тому +2

      Hajielew yule fala

    • @mariakayana9956
      @mariakayana9956 3 роки тому

      @@frankcharles7984 kabisaa

    • @jamesjamesh.5822
      @jamesjamesh.5822 3 роки тому

      Hivi Comedian namba 1 alikuwa nani..

    • @mustajany689
      @mustajany689 3 роки тому

      @@jamesjamesh.5822 king majutoo halafu Joti ila kwa sasa Joti

    • @ahz6907
      @ahz6907 3 роки тому +2

      Sijawahi kumwelewa yule dullivan hata sku moja.nafikiri angebadilisha fani.😊

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 роки тому +27

    Nikinywa maji nakuona kwenye glass 😁🤩weye ni sisimizi miye ni beberu tunagegeduana😃😃 aya maneno nimetoa kwenye bongo fleva na taarab na kwenye bendi na kwa bibi😅🤗

  • @yusuphidd6068
    @yusuphidd6068 3 роки тому +32

    Nimekumbuka mbali sana, yani ukienda staff unavyoshambuliwa 🤣🤣

    • @ashurabally3976
      @ashurabally3976 3 роки тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nyiye kabisa aaaaa WE joti iposiku mutalipa mbavu yangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @jamesbosco5743
      @jamesbosco5743 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @japhetlust5050
      @japhetlust5050 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣Yani

    • @clarajapheth8804
      @clarajapheth8804 3 роки тому +2

      Unashambuliwa kama mpira wa kona

    • @mariajoseph9735
      @mariajoseph9735 3 роки тому +1

      Niliwahi kuchambwa mm sina hamu lakin ilikuwa mwalim flani ananifaham akawa anawasimulia walimu huyu dada yake ana akili sana ila huyu ana mambo mengi

  • @annageoffrey2868
    @annageoffrey2868 2 роки тому +2

    Nkupenda jot Mungu akutnze sana kwa ajili yetu Ili tupate burudan 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @saharasheekh5073
    @saharasheekh5073 3 роки тому +8

    Hahaha yani hiyo barua imenichosha joti mwisho wa matatizo nazani shule alikuwa hivyo hivyo basi hayaaaa 👌💯👏🇬🇧♥️

  • @murshidjamshid6758
    @murshidjamshid6758 3 роки тому +7

    Enzi za shuleni walimu wakike ukiletwa shule ya mzazi vinajifanyaga kiherehere vyalimu vyakike vinaboa🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @samgames851
    @samgames851 2 роки тому +6

    Legend I love your talent ❤️❤️ big up

  • @fathisaidomar
    @fathisaidomar 3 роки тому +70

    Joti, you remind me of my childhood love letter....sema kucheka!

    • @mariamkassanga70
      @mariamkassanga70 3 роки тому +3

      Hi

    • @fathisaidomar
      @fathisaidomar 3 роки тому +1

      @@mariamkassanga70 Hi Mariam

    • @شيخةصالحاليعربي
      @شيخةصالحاليعربي 3 роки тому +2

      😂😂ulikua km joti😀

    • @antoinekatembo8520
      @antoinekatembo8520 3 роки тому +1

      @@شيخةصالحاليعربي kila mtu wa miaka ya nyuma hadi waliokua wakikua miaka ya 90, waliadnika barua labda tu kipofu, alafu kulikua nakua na zile darasani barua hizo, ikidondokea mikononi mwa mayuda basi siri yote inakua nje nje vile

    • @zaizaitwaha6633
      @zaizaitwaha6633 3 роки тому

      Even me

  • @jumamwandai3941
    @jumamwandai3941 2 роки тому +2

    *😂😂😂😂😂 Usixhike zipu kuna kirungu kirungu watanitoka wazungu wazungu.!!! 😆 Joti joti joti 🙌🙌🙌🙌*

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 3 роки тому +17

    Nimecheka 🤣🤣🤣 eti usishike zip kina kirungu wazungu wazungu joti is the king of Comedy .

    • @joseofficial645
      @joseofficial645 3 роки тому

      Tazama hii pia utaipenda.
      ua-cam.com/video/mNUZt57vZek/v-deo.html.

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 3 роки тому

      👇 *BONYEZA HAPA UBURUDIKE* 👇
      ua-cam.com/video/iIbrHfYgukQ/v-deo.html

    • @veronicachakubuta2017
      @veronicachakubuta2017 3 роки тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @elimuzandoa7594
    @elimuzandoa7594 3 роки тому

    Leo baba nimecheka sana leo umeniweza kweli unajua sana fire

  • @stn4873
    @stn4873 3 роки тому +7

    Yani hao walimu wa shule ya msingi ni mulee muleee🤣🤣🤣🤣🤣

  • @maigekelvin75
    @maigekelvin75 3 роки тому +1

    Jamn ongeren sana Kaz nzur nishawah kukutana na mkasa huu nikiwa darasa la sita..aisee nilichezea kichapo kitakatifu..

  • @idah8874
    @idah8874 3 роки тому +10

    Nakupenda bureee joti 😂😂😂😂❤️

  • @anoldaudax2975
    @anoldaudax2975 2 роки тому

    Ahaaaa joti bhnaa Ety mwalimu beti anashepu kama wewe zuuu😃😃 sema
    Zuku kazuri joti anashauri mimi sikulaumu ata kama ni mimi

  • @fettyharoun1333
    @fettyharoun1333 3 роки тому +22

    😂😂😂😂usishike zipu kuna kirungu kirungu😂😂😂🙌

  • @danielmatemu9698
    @danielmatemu9698 3 роки тому

    Hahaha nzuri sana. Uhalisia mtupu. Walimu wamecheza vzr

  • @denisdejo5033
    @denisdejo5033 3 роки тому +7

    😂🤣😂 Sasa hapa pagumu pagumu 🤣😂🤣. 🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @Jax20022
    @Jax20022 3 роки тому +1

    ....Andunje kakinukisha, great acting!...Joti u may now consider making comedy films, u READY!

  • @dianahtarus501
    @dianahtarus501 3 роки тому +4

    "Yani kiufupi ni yatima," hahahah Joti taniua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. From +254 .

  • @SafariBuddyTanzania
    @SafariBuddyTanzania 2 роки тому

    Iv mmemskia madam apo mwisho et "wameondoka wote"🤣🤣

  • @fadhiltave1359
    @fadhiltave1359 3 роки тому +4

    Joti yuko na upuuzi mwingi kweli....😁😁😁😁😁😁😁😁😁❤️❤️❤️❤️❤️

    • @joseofficial645
      @joseofficial645 3 роки тому

      Tazama hii pia utaipenda.
      ua-cam.com/video/mNUZt57vZek/v-deo.html.

  • @siyayemduda2029
    @siyayemduda2029 3 роки тому +1

    Ya Leo nimeikubali imelenga mwenyewe wale wenyewe waliabdika barau na mpk Leo wanaishi na huyu ualiwaye mwandikia barua kama Mimi wa like hapa m bado nipo nae sana tu?

  • @juliusjulianho7254
    @juliusjulianho7254 3 роки тому +4

    Et baridi linanichomaa,, eti nikiywa maji nakuona kwenye glass,😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭🔥🔥🔥🔥.

  • @mukhtaartz1608
    @mukhtaartz1608 3 роки тому +1

    Duuuuuh 😀😀😀 joti huyu mungu azidi kukupambaaaaaaa zaidiiiiii🙏🙏🙏🙏

  • @immanyathira6828
    @immanyathira6828 3 роки тому +12

    Jamani zuh hana makosa❤️🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @aminaali792
      @aminaali792 3 роки тому

      Kosa la Zuu ni kushika zipu ya Andunje😬🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @shebanjuma8531
      @shebanjuma8531 3 роки тому

      Zuh alishika zipu na ndani kuna kirungu kirungu ,wazungu🤣😂🤣😂

  • @lampardjohn9442
    @lampardjohn9442 3 роки тому

    Nakubali Joti pamoja na zuu mista big big anakutafuta zuu

  • @charlesrichard7270
    @charlesrichard7270 3 роки тому +5

    Kama umesikia mistari ya Mbosso, gonga like twende kazi...☺️

    • @joseofficial645
      @joseofficial645 3 роки тому

      Tazama hii pia utaipenda:
      ua-cam.com/video/mNUZt57vZek/v-deo.html

  • @laclassic1336
    @laclassic1336 3 роки тому

    DAAAHHH jot hapa 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😟

  • @selinaselin8928
    @selinaselin8928 3 роки тому +17

    Tulio soma na watu kama andunje tujuane😂😂mistari ya mboso inahusika

  • @fatherboyclassic8464
    @fatherboyclassic8464 3 роки тому +7

    Zuu usikamate zip kuna kirungu😁😂🤣🤣

    • @joseofficial645
      @joseofficial645 3 роки тому

      Tazama hii pia utaipenda.
      ua-cam.com/video/mNUZt57vZek/v-deo.html.

  • @peterstanslaus2477
    @peterstanslaus2477 3 роки тому +5

    😂😂😂😂😂 joti jamani mbavu zangu,,Eti usishike zipu kuna kirungu watatoka wazunguuu 😂😂😂😂

  • @officiacastory4708
    @officiacastory4708 2 роки тому

    Ye sisimiz na mm gegedu tunagegduana🔥🔥🔥mhh joti shikamooo

  • @mtare8942
    @mtare8942 3 роки тому +4

    Haha hili ni igizo zuri ... lenye viwango
    Nimeburudika.

  • @martinezthomas030
    @martinezthomas030 2 роки тому

    Joti joti joti joti dadeq😀😀😀😀😀😀😀😀usishike kirungu

  • @Iam_fadheel
    @Iam_fadheel 3 роки тому +3

    Best comedian east Africa nimecheka sana daah

  • @manjaruu679
    @manjaruu679 3 роки тому +1

    Daaaah ilisha mikutaga hivihivi ani😂😂😂😂😂😂kila mwalimu anakukataa matukio kibao

  • @gideonshaw801
    @gideonshaw801 3 роки тому +9

    😂 😂 😂 🤣 baridi linanichoma kama ...... 🔥 💥

  • @amoskitiku4418
    @amoskitiku4418 3 роки тому +2

    Andunje amejua kuchagua Pisi🤣🤣🤣🤣🤣

  • @vitalisvedastus5191
    @vitalisvedastus5191 3 роки тому +3

    😂😂😂 niliwahi dodosha barua wakati namwagilia mbegu za nyanya 😂😂 mama kaiokota wacha kabisa usiku tumemaliza kula si ikaletwa barua Vitalis tusomee hii barua 🙌🙌🙌Moyo ukapiga paaaaah aiseeee nkashika kwenye mfuko hola ndo yenyewe jamani acheni tu haya mambo ni balaaa

  • @mussamc641
    @mussamc641 3 роки тому

    No .one wangu tanzania nzima ..jotiiiiiii

    • @joseofficial645
      @joseofficial645 3 роки тому

      Tazama hii pia utaipenda.
      ua-cam.com/video/mNUZt57vZek/v-deo.html.

  • @imathomas6531
    @imathomas6531 3 роки тому +7

    Wameondoka wote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌

  • @nuruabdallah9031
    @nuruabdallah9031 3 роки тому

    Tobaaaaaa jotiii ivi unamatatizo gani laniki🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @robertjaockim4036
    @robertjaockim4036 3 роки тому +4

    Joti Mungu akulinde kadili ya Mapenzi yake kwakweli ,😁😁😁😁
    Haujawahi kuharibu kabisa.

  • @barutithedoni9538
    @barutithedoni9538 2 роки тому +1

    Hahahah joti hakuna wakukupita so kwa komedi izo duu

  • @dicksonmadembwemadembwe6753
    @dicksonmadembwemadembwe6753 3 роки тому +12

    Andunje iyo Mistari Zuu Achomoki dadadeki🤣🤣🤣

    • @agathahumbe7004
      @agathahumbe7004 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @sanciroandrea8826
      @sanciroandrea8826 3 роки тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @restypeter1141
      @restypeter1141 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @daudaabdul1260
      @daudaabdul1260 3 роки тому

      Hahahahaaaaaa😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😁😂😂😂😂

  • @lucasmabanda6847
    @lucasmabanda6847 Рік тому

    Joti Joti Joti nimekuita mara tatu, salute kwako!

  • @antoinekatembo8520
    @antoinekatembo8520 3 роки тому +3

    Wallah Joti ajawai kuniangusha mie hata siku moja!

  • @tintz1453
    @tintz1453 3 роки тому

    Khaaaaaaaaa😁😁😁😂😂😂😂😂😂😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃 nmechekaa aiseee ila joti n balaaaa,

  • @nellytsuma7519
    @nellytsuma7519 3 роки тому +5

    Zuu hatukuoni kwa big kumbe uko shule na joti 🤣🤣

  • @rasheedmbaraka7199
    @rasheedmbaraka7199 3 роки тому

    ZUUU ameambiwa asikamate zipu kuna kirungu kirungu na wazungu wazungu..hahahahhahaha...joti htr kakaa

  • @kolmankadudu6019
    @kolmankadudu6019 3 роки тому +5

    Wewe sisimiz nami gegedu tunagegeduana😂

    • @zuu__95
      @zuu__95 3 роки тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @nasibmiraji9763
    @nasibmiraji9763 2 роки тому

    We joti msenge Sana usishike zipu Kuna kidungu dah umetisha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mwanawanyambo7432
    @mwanawanyambo7432 3 роки тому +3

    Yaaan 😂😂😂😂 aiseee umenikumbusha mbali 2007 jamaa aliambiwa asome barua kama hii assembly wee nakumbuka mpaka leo vile vina`😂et nazimwaga salamu zangu kama mchanga wa baharini 😂😂

  • @yonathemonitor6633
    @yonathemonitor6633 2 роки тому

    Bibi nipige npige ww Bibi🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣🤣

  • @modal_gongwe3538
    @modal_gongwe3538 3 роки тому +7

    daah!! big up sanaa,,hii kitu imechezwa sanaa🙌🙌🙌

  • @qudratv9169
    @qudratv9169 2 роки тому

    😅😅usiku wa jana mm andunje sijalala, maneno natoa kwenye bendi na bongo fleva🤣🤣

  • @albertoluismauca5432
    @albertoluismauca5432 3 роки тому +8

    Kkkkk😂😂😂😂 voce é melhores de todos

  • @learncommunolizer
    @learncommunolizer 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kwako bebe

  • @rosengonahi7494
    @rosengonahi7494 3 роки тому +4

    Kuna kirungu kirungu🙌🙌😂😂😂😂😂

    • @joseofficial645
      @joseofficial645 3 роки тому

      Tazama hii pia utaipenda.
      ua-cam.com/video/mNUZt57vZek/v-deo.html.

  • @kessywasha6584
    @kessywasha6584 3 роки тому +1

    Hao walimu ni wanoko Balaaa 😝😝😝😝

  • @KesheMedia
    @KesheMedia 3 роки тому +15

    Walimu wamepatia kweli..

  • @abdallahsuleimani7416
    @abdallahsuleimani7416 3 роки тому

    Wewe kweli fundi Wacha ze comedi ife unastahili sifa unajua sanaaaa

  • @esperanceruziga1990
    @esperanceruziga1990 3 роки тому +8

    Samia na kanyenyi awawaelei kabisa 😂😂😂😂😂😂

    • @joseofficial645
      @joseofficial645 3 роки тому +1

      Tazama hii pia utaipenda.
      ua-cam.com/video/mNUZt57vZek/v-deo.html

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 3 роки тому

      👇 *BONYEZA HAPA UBURUDIKE* 👇
      ua-cam.com/video/iIbrHfYgukQ/v-deo.html

  • @elsnyng6815
    @elsnyng6815 3 роки тому +1

    Zuu ulinichanganya ile siku ulitaka kushika zipu nikakwambia kuna kirungu kirungu wazungu wazungu 🤣🤣🤣🤣

  • @mustaphahassan8407
    @mustaphahassan8407 3 роки тому +4

    😂😂😂😂😂😂 kwenye grasi dah kitambo

  • @miriam7186
    @miriam7186 3 роки тому +1

    Changu shangaza huyo mwanafunzi jot ndio boss wenu 😂😂😂😂😂

  • @bakarially7619
    @bakarially7619 3 роки тому +3

    Haaaaa wanaondoka wote 🤣🤣🤣

  • @zamdasaid9982
    @zamdasaid9982 3 роки тому +1

    Kuna mstari wa mboso hapo....haahahaha...we sisimiz mimi gegedu tunagegeduana...hahaha

  • @muharramimgaya6452
    @muharramimgaya6452 3 роки тому +6

    Nafasi ya walimu ipo good kabisa big up bro #joti

  • @SamVideoProduction64
    @SamVideoProduction64 3 роки тому +1

    Dah huwa namkubali sana joti akiigiza mwanafunzi 🤣🤣🤣🤣🤣 naenjoy snaa

  • @bamumarc7012
    @bamumarc7012 3 роки тому +5

    Tunakupenda kongo joti tv😆

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 3 роки тому +1

    Mmetisha sana Jamani

  • @dolphmusungu872
    @dolphmusungu872 3 роки тому +11

    Nakukubali🤝🔥🔥🔥

    • @travinnziku5196
      @travinnziku5196 3 роки тому

      Kazi nzuri sanaa madam suz

    • @Fatmaissa-ju6kk
      @Fatmaissa-ju6kk 3 роки тому

      Wallah mtoto waivo eti nikinwamaji nakuona kwenye glasi yamaji nimeceka kwasauri🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @lusekelodaison8159
    @lusekelodaison8159 3 роки тому +1

    Et usishike zipu kuna kirungu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 #Joti hatareeeeeeee sanaaaa

  • @salomeraymond2051
    @salomeraymond2051 3 роки тому +5

    "bby zuu ww sisimiz mm gegedu tunagegeduana"uiiii jot🙌🙌🙌

  • @EsheSalum
    @EsheSalum 3 роки тому +2

    Hii ya Leo kali 😅😅😅🤣

  • @raisimseveni1955
    @raisimseveni1955 3 роки тому +16

    Chaiii #joti anduje🏁🤗🤗 more love from #S.A

  • @xaverypilly7521
    @xaverypilly7521 3 роки тому

    Joti unaweza san nakubali kazi yko

  • @THEINTENT.1
    @THEINTENT.1 3 роки тому +8

    Respect sana brother Joti forever legend🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😛😛mtoto kakua kweli

  • @konvictibra4986
    @konvictibra4986 3 роки тому +3

    Joti nikazi na miss kipindi icho bado nipo school 😂😂😂😂😂

  • @ibrahimushabani7456
    @ibrahimushabani7456 3 роки тому +1

    Walimu hawana nidhamu hawampi mzazi kitu😀😀😀😀😂😂😂😂😂😂

  • @wamsbinpaul4558
    @wamsbinpaul4558 3 роки тому +3

    🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 joti kama Kuna watu watatu katika hii dunia wanao penda kazi zako nahisi mimi wakwanza kiukweli just come in USA siku moja

  • @hamidalucas7300
    @hamidalucas7300 3 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂👏👏👏👏 zuuu sahz uko fasta na joti

  • @salumugidion
    @salumugidion 3 роки тому +14

    Much love and respect from USA 😄✊

  • @samwelimoshi5614
    @samwelimoshi5614 3 роки тому

    Mmecheza uhusika vzr sana safi

  • @jeremiahmsemwa8323
    @jeremiahmsemwa8323 3 роки тому +4

    Joti ni mwamba kwenye ulimwengu wa comedy

  • @elijahm.muthini
    @elijahm.muthini 3 роки тому

    Dah! Hii inanikumbusha mbali isay

  • @danstanfrank9018
    @danstanfrank9018 3 роки тому +4

    Eti ww sisimizi mm gegedu 🤣🤣🤣🤣

    • @joseofficial645
      @joseofficial645 3 роки тому

      Tazama hii pia utaipenda:
      ua-cam.com/video/mNUZt57vZek/v-deo.html

  • @ibrahimkhatib5666
    @ibrahimkhatib5666 2 роки тому

    Hhhhhhhhh nimeipenda iyooo nishaiiiii na walimu ndo mmenimalizaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣