DJ ALLYB-MWIJAKU KAPIGWA NA MAFUND NYUMBA BILION3/SIWEZI ONYESHA NYUMBA/SIO KUWA DIAMOND NDIO UTOBOE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 16

  • @seifazizz4160
    @seifazizz4160 10 місяців тому +1

    Mmmhh kwa uzoefu wangu pia kwa B ile nyumba hapan
    Sijui kama alivyo sema labda mafund 🔥🔥

  • @mmakiluly
    @mmakiluly 10 місяців тому

    Wai unakula kula hovyo.

  • @SilasChitui-xk2sw
    @SilasChitui-xk2sw 9 місяців тому

    Wanaume watanzania mnapenda umbea na kuongea Sanaa! Hamna kitu mnaeza fanya Bila kelele. Rich people don't make noise, jifunze kutoka Kenya, watu matajiri wanaishi kujificha. Huko kwenu Tanzania mtu akipata elfu kumi hamsini anapagawa ilhali hizo ni pesa ndogo hapa Za Karo ya shule ya mtoto mdogo mwezi mmoja.

  • @MauridiNyoni
    @MauridiNyoni 11 місяців тому

    Kaka nakuelewa sana

  • @MussaSongo
    @MussaSongo 10 місяців тому

    Unamkana mapua mwenzio

  • @MwitaMtete
    @MwitaMtete 11 місяців тому

    Asumaniii nipe kodi

  • @salehmasunga5147
    @salehmasunga5147 11 місяців тому +1

    Eti asumaniiii

  • @mariamsaid-d7d
    @mariamsaid-d7d 11 місяців тому

    Hamna Manas ya Kula...

  • @Mtazyinstrumental
    @Mtazyinstrumental 10 місяців тому

    Huyu jamaa ibra ndugu yake

  • @joyceassey2347
    @joyceassey2347 11 місяців тому +1

    Yes kapigwa pakubwa sana,alishindwa kuisimamia vzr kuanzia ununuzi wa materials had gharama ya fundi

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 11 місяців тому +1

    Lekebisha kauli alibii,,apo umefika Kwajili ya kudura za mungu kwanza,,,alafu juhudi nisababu yakufikia malengo,,

  • @bossmtoto133
    @bossmtoto133 11 місяців тому +1

    Hili ndio tatizo la tz gig alivyo sema magari sio yako ulikasirika sema wewe unaweza kumsema mwijaku fresh tuu

  • @djhajiztz
    @djhajiztz 11 місяців тому

    😢

  • @matengamboho5098
    @matengamboho5098 11 місяців тому

    😂😂😂😂🏃🏃🏃😂

  • @HappyForestTrees-gc6hs
    @HappyForestTrees-gc6hs 11 місяців тому

    Ww awuna pesa una hella ya kula www unawajuwa matajiri achani fujo nyie wa bongo vichwa vyenu vibovu