Hello Bertin this is Day 3 of me asking you to travel to Oman because I know there are a lot of Zanzibaris there you can make a video about the Swahili side of Oman
Good contents kaka nakufuatilia sana. Next time try to interview people around the areas. Naona kama unawakimbiza I am Marwa, Dee Mwango, wa Nyabhohanse Kenya, na Itchy boots wa Nertherlands. Pia nakushauri utoke nje ya Dar
Mngine aliniuliza hivi africa mkitaka kwenda sehemu mnasafirije nikamwambia kama angani tunasafiri kwa ungo ardhini inatokeana na uzito wako .tunatumia tembo.twiga nyani pia kama mwili wako mdogo mxiuuu
@latenitepiano 🤣🤣🤣 No we don't do that, I'm currently in Mwanza though, just wanting him to show me and the world outside Tanzania that Dar,Arusha,Mwanza,Dodoma and Tanga are not the only developed urban in Tz🇹🇿
Dem...!! Dar is another level, ....classic City.... and the future of metropolitan City.... there's no way you could compare this with the Nairobi. Keep Mogadishu and Nairobi the same level.
Masaki naaamini baada ya miaka ya kumi ijayo inaweza fanana na Sandton South Africa au Beverly hills los Angeles kikubwa serikali itanue barabara ziwe angalau hata njia nne
@explorewithbertin tusubiri DMDP awamu ya pili maana niliwahi kumsikia mkuu mkoa wa Dar es salaam Alex Chalamila alizitaja hizo barabara zipo kwenye mpango wa matengenezo hata Bashungwa aliwahi kuzungumzia pia wapo kwenye mpango wa kujenga hizi barabara tuwe na subira tu tusubiri DMDP awamu ya pili itakavyoanza inshallah
Tanzanian people are the BEST ❤❤❤❤
Wow. Beautiful
Wow man TZ that area look so cool 🔥🔥
Masaki looks cool. Wow
Kidogo kidogo dada
It gives Raskazone,Tanga vibe
Wa kwanza ku comment naombeni like zenu jamani hata 1K tu inatosha 🙏🙏
I love your posts bro! Eye openers for those who have never been to Dar!
Glad you like them!
Mnajitahidi....Keep pushing
Watching Beautiful sunny warm Tanzania from cold dark, miserable, expensive unfriendly UK London, 😂😂
So true!
Add USA to that list
🤣🤣🤣 … 👏🏽👊🏽👍🏽🙏🏾
😅
@@garyjohn1822 and the UK is creepy
Hello Bertin this is Day 3 of me asking you to travel to Oman because I know there are a lot of Zanzibaris there you can make a video about the Swahili side of Oman
Good contents kaka nakufuatilia sana. Next time try to interview people around the areas. Naona kama unawakimbiza I am Marwa, Dee Mwango, wa Nyabhohanse Kenya, na Itchy boots wa Nertherlands.
Pia nakushauri utoke nje ya Dar
Mngine aliniuliza hivi africa mkitaka kwenda sehemu mnasafirije nikamwambia kama angani tunasafiri kwa ungo ardhini inatokeana na uzito wako .tunatumia tembo.twiga nyani pia kama mwili wako mdogo mxiuuu
It is a beautiful place!
That mansion at 14:32 is beautiful.
MashaAllah!!!
Tanzanians and kenyans are brothers ndio maana tunapenda kufight kwa mtandao..Big up our little brothers🎉🎉
Who is your little brother 😂😂acha utani wewe tumewazidi Kila kitu
Tanzania kubwa kwa size,kubwa kwa idadi ya watu, ya Kwanza kupata Uhuru na kujitawala.... little brother ya nyoko.
@@nicodemuszebedayo5978🤣🤣🤣
Who be your little brother ???😒😒😒
Endelea kujipumbaza wewe mtanzamavi @@pilimbaraka1928
Ni zamu ya kaka Bertin sasa kwenda IRINGA TOWN I've been asking for this for so long now please 🙏🙏🙏🙏🥺
He’ll be coming there, but make sure you don’t cook dog meat for him 🐶 🐕! Ama vipi mtani wangu 😅🤩? 🤣🤣🤣
@latenitepiano 🤣🤣🤣 No we don't do that, I'm currently in Mwanza though, just wanting him to show me and the world outside Tanzania that Dar,Arusha,Mwanza,Dodoma and Tanga are not the only developed urban in Tz🇹🇿
@@isackrichard6356 I believe you my friend 😅! Wishing you a Happy Holiday towards Xmas 🎅 🎄 😂😂🙏🏾
Stay tuned... This time am going out of Dar
@latenitepiano merry Christmas 🎄 & happy new year too🙏
Beautiful 😍🌊🏖️🏝️🏜️🏔️⛰️🌳🌴🎄🛖🏘️🏘️🛣️🛤️🏞️, Peaceful 🌠🏙️🌌🙏🏾, Plentiful 🌽🥑🍆🥕🥭🌶️🥔🧅🫐🍇🍌🍉🥬🥦🫑🍋🍳🍗🍞🥩🥘🍤, Rich 💎🟨💷💵💸🎁, Freedom 🤼♂️⛹🏽♀️🏇🏾🏃🏽♂️🕺🏼💃🏽😎🥰, Tourism 🦒🦓🦬🦏🐅🐆🐒🐳🐋🐠🦩🐿️🦃And More 🇹🇿🦚
Can someone please tell me about the real estate industry in Tanzania 🇹🇿
Dar needs to widen the roads! The population growth is not sustainable with these 4 lanes roads.
Dem...!! Dar is another level, ....classic City.... and the future of metropolitan City.... there's no way you could compare this with the Nairobi.
Keep Mogadishu and Nairobi the same level.
Yes you and Nairobi is wealthier than Dar
@Am77-007 Yes Kibera master Nairobi going backward 🤣🤣
Usiseme hivyo banaa Nairobi pia inasehemu nzurisana
@@raphaelkessy7360 Niwatani zetu hawa I am just kidding 😂
Masaki naaamini baada ya miaka ya kumi ijayo inaweza fanana na Sandton South Africa au Beverly hills los Angeles kikubwa serikali itanue barabara ziwe angalau hata njia nne
Ni kweli... Especially Haile selasie, kimweri and chole roads
@explorewithbertin tusubiri DMDP awamu ya pili maana niliwahi kumsikia mkuu mkoa wa Dar es salaam Alex Chalamila alizitaja hizo barabara zipo kwenye mpango wa matengenezo hata Bashungwa aliwahi kuzungumzia pia wapo kwenye mpango wa kujenga hizi barabara tuwe na subira tu tusubiri DMDP awamu ya pili itakavyoanza inshallah
Kauli nzuri ni kusema sina pesa,Sio hali ni ngumu pesa hakuna...wewe ndio unahali ngumu watu wanapesa