Marioo feat Alikiba - Sober (Track No.3)
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- Music by Marioo featuring Alikiba performing "Sober", {Track No.3 from the Album} The God Son. (c) 2024 exclusively licensed under Bad Nation Records Label.
Stream/Download Album:africori.to/th...
All Digital Profile's Links::linktr.ee/mari...
Listen to Marioo on Digital Streaming:
Audiomack:audiomack.com/...
Apple Music: / marioo
Boomplay:www.boomplay.c...
Spotify:open.spotify.c...
Catch Up With Marioo on Social Media:
Instagram: / marioo_tz
Facebook: / thisismarioo
TikTok: / marioo_bad
Twitter: / mariooofficial
Catch Up with Alikiba on Social Media:
Instagram: / officialalikiba
Facebook: / officialalikiba
Twitter: / officialalikiba
Snapchat: / officialalikiba
TikTok: / officialalikiba
+For More Information Booking Marioo:
Contact:emailmariootz@gmail.com
©2024 Bad Nation.All rights reserved.
#Marioo #Alikiba #Sober
My brother @@alikibaOfficial 🙏THE GODSON out now on all platforms 🎉
africori.to/thegodson
nakubali
Marioo hujawahi tuangusha ❤
100%
🎉🎉🎉🎉
💯
Hii Ngoma itasumbua sanaaa, baadae kidogo mtarudi kunipa like zangu hapaaa 🤫
saana bro.
Me Toka asubuh npo nayo mpk majiran wanaulza kiba anajua bahna
Siow badaee mzee hii ngoma hit song 😂
Hapa ilipo inasumbua maskio ya watu
Kabisa😂 nipo liquid Apa imeanza kusumbua tayar🙌💔
😅 kweli kabisa hini noma❤❤🎉🎉😂
Uyu jamaa alikiba ni mbaya sana kwenye ngoma. Marioo unapiga atuwa sana brother 💪
Kama una wakubali gonga likes hapa.
Tuache masihara Alikiba anajua sana,hizo vocal na melody alzopga humu mhh,upitii njia zake 👑💖
Kaka tuko mstar mmoja
Huu ndio ukweli kila mtu ndoto yake ni peponi haya mengine yakitokea basi tu Mungu atubaliki na atusimamie katika safari yetu hapa duniani kwa kila asomae comment hii basi kizazi kijacho kijue yakuwa wasanii wa kizazi chetu walikuwa na hofu ya Mungu sana ata wakiwa wanaimba nyimbo za kidunia Mbarikiwe amina na Amina.
Ila likiba khaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Omary kazi nzuri komaa na huyu fundi mpaka waamini king always king
Kiba fundi Sana kauwa😂
Nilikuwa natafuta comment hii
Nomaaa Sana hii ndo hit song zaidi ya zote 🎉🎉 king ameuwa Sana humu ndani but kuanzia producer , Mario plus king mpegina Sana Kazi melody imetulia vocal sipo fire Sana naombeni like from goba dsm
Wamebadilika leo hawajaimba mapenz..ngoma kali
Alikiba Bhan mtu mwengine
We acha tu nyimbo nailudia mara mbil alikiba anajua bahna
mtu atar sana uyu mtu ila dogo kakaza nae vbaya
@@yusuphkazinyingi7669 wanamsema vibaya ila kimoyoyo ni mMotooooo hagusiki
Wote wameua kuanzia produc kwenye biti na Alie mix na kupga masterling kama unaamini Ivo nipe like hapa
Team kiba kutoka Congo tujuwane kwaku like
Wote wameupiga mwingi nipeni ata like mbili nitawashukuru
Marioo am your fan from 254 na umejibu maombi zangu mob sana, ila nina ombi moja usikose kutoa kanda la video ya hii nyimbo. chemistry yenyu na King iko top notch
bonge la combination
Kama mna amini Bongo Flava ato kuja kutokea msanii kama King kiba nipe zangu...🎉🎉🎉
Huu naomba uwe wimbo wangu bora wa mwaka 2024
Hit song, uko na king mwenye kiti mwenye hit mwenye udongo ngoma kali sana
Unyama kabisa ila huyu kingkiba 🔥 naombeni like kama mmesikia nasomesha mapacha 😅😅😅😅
Wanao sema alikiba kauwa humu ndani gonga like
kawaida ya mashabiki wa Kiba kila nyimbo msanii wao kaua
@@abduljembe6608Alafu trending ziro 😂
@@abduljembe6608WIVU NI MBAYA SANA😅
@@LeonardBadiliNadhan utakua umejionea😅 Sober inafanya vzur kwa Album😂 shame on yo!!
@ClementMasholy Sibishanagi na mashabiki wa Alikiba kwasababu mnaongeaga kama vile mmekatika kichwa sijui mnatumiaga nini kuangalia mziki haya tuletee na views tuone ulivyo boga
🔥Yani hata nusu dakika bado nishaipenda hii nyimbo, asee Alikiba na Marioo ni moja kati ya combination nzuri🔥🔥🔥
Eeeiiii.King kiba kaua sana huo mvesi I say. Igweeeee.Abbah katisha pia dundo. Kazi kali
Za king Kiba hapa
NA MAMBO YA KULEA NA NASOMESHA MAPACHAA🤗🤗🤗 WE KINGKIBA UTENGWE
Ngoma nzur sana mungu awabaliki king kiba ,marioo, na wasomaji wote wa comments
Huuu wimbo wepatia kila kitu anzia biti mpaka mashairi daaa wimbo mzuri king kiba kauaaaaaa
Hiii mpaka niichoke ndy ntasikiliza ingine ila huuu mua balaaa🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥🔥
Yaan ww kama mm Toka asubuh
Hot
Sio poa IL goma@@LidyaJoctan
Naesabu like za King KIBA 👑
Umetisha 🎉🎉🎉
❤❤❤❤
Aaaah weeee kmmmmk mmmmmk kuna sauti zmepigwa kibedui sanaa mmmk king ni king 🔥🔥🙌🏾
😅😅 vocal hatr Kiba kapga
To the first time king nimekubalii🙌🏆
HII NDO NGOMA KALI ALBUM NZIMAAA
marioo dah never dissapponit
abbah hii beat kaipiga mnoo
Ali Kiba...aah Ali Kiba ni mfalme bhanaa🔥🔥
Nakubaliana na wewe
100%@@hancedatch974
Beat gani. Ushawah kuckia love iz wicked. Dis album iz 🗑️
Mfalme wa nini 😂 ila bongo
Kweli@@almasijunior103
Mbona hiii nyimbo ndio kali kushinda zotw❤❤❤🎉🎉🎉Baaad
Ila king Kiba shikamoo unjua sana mfalme❤
King kiba ni mnyama sana💯💯🔥🔥 Godson 🎉🎉
Alikiba weeeee noma sana 🔥🔥🔥🔥
Mmetisha
Kiba unajua ipo siku Tz itakukumbuka hapajatokea msanii wa kiwango chako ua musical brain ni level nyingne Tz wapo wanaojaribu lakn bado hajatokea wa kukufikia umebarikiwa sana much respect kwako king unajua hadi unajua tena keep it up sober ndio ngoma kali kuliko zote kwenye hii album
Nipeni like za King kiba apA
Kiba na Mario wananikoshaga moyo wakikumbana kwenye song
Team kiba from kenya let's gather here 🤗🤗🤗🤗
King kiba forever
Wanangu wakiba na mario tusiachane apa like humu t2🎉
Alikiba alikiba alikiba nakuita mara tatu utengwe kaka wewe ni unstoppable wewe ni greatest of all time generation to generation in the music history that's why called GOAT 🐐
Awa wnaendana kwnye laza tamu wkiktna my king kiba congratulations
Mmmmmhhh huyu kiba wa motooo balaaaa🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
KONDE BOY BOMBOCLAAAAAAAAAAA unyama sana marioo tufanye inatosha huyu jamaa humuwez kila goma anakufunika
Hapa ss ndio patamu ni msikie king 👑 🔥 🔥 🔥
Always hii Collabo haijawah kufeli,tamu sana.
King ni mmoja tu...Kiba 🔥🔥
Ni mmoja anaebisha akapimwe mkojo na ubongo jamaa anajua
Wimbo ni mzuri sana!! Hakika kila mtu ana ndoto moja tu kuiona pepo. Mungu aendelee kutusaidia na changamoto nyiiiingi zisizoelezeka ambazo hutukumba kwenye maisha yetu ya kila siku. Tuendelee kumuomba MUNGU wetu mkuu atusaidie maana hakuna mkamilifu kwenye hii Dunia ila naamini kwa uweza wake tutafika tu peponi. Gonga AMEEN!!
King na Mario mumeua humu ndani
Aseee huu wimbo nyie@mario@Alikiba
Here in Mogadishu Somalia 🇸🇴🇸🇴🇸🇴 we love you ❤❤ also we love too the legend Alikiba ❤❤❤🇸🇴🇸🇴🇸🇴💪👑💪
King umetisha ngoma kali mumetendea aki kabisa 🎉🎉🎉🎉🎉
King 👑 that guy never get's old❤❤
Loke from Cameroon please
Goma la taifaaa kutoka alooooo!!! na king kiba yeeeebaba 💥
Ngoma Kali sana, haichoshi kusikiliza, beat Kali, mistari mikali🔥🔥🔥🔥🔥
Kak toka nskie hii ngoma nmeweka repeat mode
Sampled "love is wicked Brick and Lace"watoto wa 2000 hamuwezi elewa
Hii ndo nyimbo kali kwenye hii album for suree
King ni mmoja tu🔥🔥🔥
Hubber process king producer nomaaaa sana kaka huyuu anajua sanaaaaaaaaaa
King katendeaa hakiii nyimbooo
King na marioo wakikutana inakuwa sio powa❤❤
King of Bongo flava Alikiba🔥🔥
The swich aliyo ifanya kiba kukubaliana na hii beat its soo exciting ONE OF THE BEST MELODY lets enjoy
Marioo mwanangu umetisha ila alikiba ameua kwenye hii Ngoma ❤❤❤
Weee king kuna kisauti flani hv umekiingiza hapooo sio pw
Hizi sounds mwishoni ni hatarii asee @marioo🎉🎉 king kiba kaua hatarii
Tuna kiwashaaaa Bad nation🎉
Umuuuuuuu iyo ngoma ndo kolaboo boraa aya mwakaaa,mtunzi ft waimbajiii🫡🫡🫡
King kiba forever
Alikiba katisha watuwazima tunasikiriza mziki wahivi wimbo hauchaguwi lika hatamama unawatoto Unasikiriza kamaunakubali gonga like hapa
Wewe King kiba 🎉🎉🎉
Alikiba musical brain is on another level ❤❤🇰🇪🇰🇪
Marioo hii album ame ua sana kama una mku bali gonga like hapa ❤
Agreed
Ngoma Kali wametisha sana
Sapoti ziko kwa king 🤴🏿 kiba na marioo 🎉🎉🎉🎉🎉😊
Sober ni hit jingine ambalo lita catch yll feeling taratibu kabisa 💥🙌🏽
Combination ya king kiba na marioo ina sound kali ile mbaya mnao amini hii ngoma itafika trending no 1 gonga like zakutosha kwangu
This song is just amazing! From the very first notes, one feels an emotional intensity that touches us deeply. Words are powerful, they resonate with a universal truth: we are all looking for something, a meaning to our life, a purpose, perhaps even the desire to achieve this so dreamed paradise. The mix of the melody and the voice conveys a raw emotion, one feels a bit deseniced with every listen, as if music awakens us to a deeper reality. C♓ is the kind of piece that makes us think while giving us comfort. Truly a fan of this musical universe, you've been asked! I've been here since the RDC🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Wow, the beat itself is a Masterclass, I like this combo, whenever kiba and bad meets, it's always a hit
Abbah process deserves his flowers 👏
Much love from Uganda 🇺🇬❤️
Ngoma kali sana 🇰🇲 Recpeeee
Kiba hawez kufunikwa since nimejua
Hii ndo ngoma kali kwa hii album sasa💥💥💥💥
Kabisa
King kiba to the world,wapi likes zake✅
Who else is here for King Kiba🙌
Marioo tumuite Jin gan wadauu siooo kwakuuwa uku marioo peponi
King kibaaaaaaaaaaaaaaaaa let's gooooo🌍🏃
KING 👑👑👑👑 ww n mnyama xana yaan
Hapa sababu ya kiba. Alafu jamaa kaua kabisaa. Mfalme hatari sana siku zote🔥🔥🔥🔥
Melody tamu sana na wameitendea haki best song kwenye Album ya Marioo
King kibaaa umetishaaaa
Hii ngoma ni hit itasumbua sna 2024
2025🔥
Marioo& Alikiba mtu mwengine Wakwanz mnipe like zangu Appreciate the music Here in🇹🇿 and 🇰🇪and 🇨🇩
Salute sana kwa miamba unyama SKU zote waah,,, kali yaa kukaribisha Christmas 🎄 and new year ✅✅✅💯
Ngoma uko sawa.King amewakilisha kiufalme
Mbn kila mtu kiba kuliko mariooooo kwa hiii song
Wewe nani
kwann kilaaa chumaa chako na alikibaaa kinakuaaa kikaliiii ivooouh??? 🤔🤔🤔 ol in ol.. mnachemistry nzuriii nyie watu akiiiiiih tenhaaaa..... ♥️♥️ i lavuuuuu zis song... to de fullest..... 🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️🫡🫡
Alikiba katisha sana humu jamani 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sanaa hatar
Kutoka mozambique kwadjili ya King, nipeni like zango
Nakubali king Kiba amefanya ngoma iyende vizuri
Kama umeirudia zaidi ya Mara nne, keep moving forward ,one day you will make it.be blessed.
Alikiba nakubali sana kaka I think its my choice sound for this album
Hii ngoma ipewe heshima..🎉🎉