Wazazi kutoka kaunti ya Makueni wahimizwa wasifiche watoto wao walemavu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 тра 2024
  • Wazazi walio na watoto wanaoishi na ulemavu na ambao hawawapi nafasi ya kupata elimu wanawanyima nafasi ya kuonyesha vipawa walivyonavyo kwani baadhi ya watoto hao wanauwezo wa kujisaidia siku za usoni. Michael Mutinda amezuru shule ya watoto wenye mahitaji spesheli ya kakuswi huko mbooni kaunti ya Makueni na hii hapa taarifa yake.

КОМЕНТАРІ •