Asalam aykum walahamatulah wabarakatu safi sana sheikh Mwayipopo uko vizuri sheikh mazinge asifati maneno yawatu wanataka kukuconganisha na mazinge Mwayipopo na mazinge mwewote munafanya kazi ya mungu kutowa watu kwenye upagani nakuwareta kwenye dini yahaki ya uwislam sasa muongeya muwe kitu kimoja
Mwaipopo mlikua mawacheka wakristo kuhusu maji ya upako leo hii mmeiga wakristo 😅 na bado ""WAISLAM MTAANZA KUIMBA NA MAPAMBIO KAMA WAKRISTO" mark my word Mwaipopo
Yule anayejiita sharifu hana usharifu anasaidiwa na masheytwani anajivisha cheo cha mungu et kuwa inakuwa anatibu wanawake hadharani iko wp stara ya mwanamke.anawarekod na kuwarusha ktk media huu ndo usharifu si USHETANI huu. Allah hatokuwa pamoja nae FIRDAUS. KISHKI YUKO OK NA MWAIPOPO YUKO OK ALLAH ATAWINDA NA ATAWAPA KHERI YA DUNIA NA KESHO AKHERA
Asalam alaikum sheikh mwaipopo watu wanaingiza vituko vyao binafsi katika dini ni mambo gani haya sasa? wasiokuwa sisi watatutazama ajee ni mtihani mkubwa sana
We mwaipopo huyo sharfu frdausi ni muhuni hakuna shekhe anafulia mapembe na mahilizi Kisha wanakuja kujifanya wanatoa alafu anapita kigezo ni dini kwakweli tukemee tusichoke
Amfai kuwa viongozi mmekaa kulumbana na kuponda makundi mengine Mafano mnasemaga tabrih hawajasoma na nikundi la motoni nyinyi masheh mbona amuaminiki kiongozi ni mufti tuu
Huyo shehe kishki atapata ugonjwa wa moyo bure, huu uislamu ni mkubwa kuliko yeye na hii dini sio ya familia yake, alizaliwa aliikuta dini ipo. Kuna video moja alitoa kumtetea Mungu pale Lema alipotoa meno la kumsema mungu vibaya. Sasa unamtetea nini mungu huku tunaamini mungu ana uwezo mkubwa wa kujitetea na kutoa adhabu?
Mashaallah!! Allah akuhifadhi sheikh mwaipopo, uendelee kusimamia haki Ivo ivo !
Asalam aykum walahamatulah wabarakatu safi sana sheikh Mwayipopo uko vizuri sheikh mazinge asifati maneno yawatu wanataka kukuconganisha na mazinge Mwayipopo na mazinge mwewote munafanya kazi ya mungu kutowa watu kwenye upagani nakuwareta kwenye dini yahaki ya uwislam sasa muongeya muwe kitu kimoja
Allah atamlipa sheih kishki amzidishie Umri amuhifadhi
Jamani hizi njaa zitatupeleka motoni,hawa ni matapeli tu kama matapeli wengine,الله هوما انصوراسلام ولموسليمين😢😢😢
Shekhe mwaipopo Allah akuhifazi...!!
Kwel Allah awabaarik njaa tu jaman Allah alete wepec na Babaangu Allah amfanyie wepec
Mimi nimefwatilia khutuba zote za she kishki hajakataza tiba wala kutoa dawa. Alichokata uhuni na utapeli kwa kivuli cha usharif
Kwel
Kweli kbs
Fantastic you are right thanks for joining us
Shekhe mkuu bakwata anangalia mdomo wake tu anakulanini bakwata hatuna shekhe bila kisheki tz mtihani
@@MishiPapalan swadaqta
Shelkh kishki na Shelkh Mwaipopo Allah awalipe pepo ya filidas inshallah
Shekha mwaipopo nzur Sana msapoti Shekh kishik Allah atakukipa
Sio shekha ni shekh
Mwaipopo mlikua mawacheka wakristo kuhusu maji ya upako leo hii mmeiga wakristo 😅 na bado ""WAISLAM MTAANZA KUIMBA NA MAPAMBIO KAMA WAKRISTO" mark my word Mwaipopo
❤❤❤
Asalam aleikum nakuuliza sheikh hayo mafuta tunayapataje huku kenya.
Wallahi wabillai watallai sheikh ni mtu wa dini kweli na anasaidia sana watu. Hilo nilijua wakati naishi temeke kama miaka 5
Ukweli unauma sana,sheikh kishki ni mkweli na sheikh mwaipopo ni mkweli pia,lazima shetani ahinue watu wake
Yule anayejiita sharifu hana usharifu anasaidiwa na masheytwani anajivisha cheo cha mungu et kuwa inakuwa anatibu wanawake hadharani iko wp stara ya mwanamke.anawarekod na kuwarusha ktk media huu ndo usharifu si USHETANI huu. Allah hatokuwa pamoja nae FIRDAUS. KISHKI YUKO OK NA MWAIPOPO YUKO OK ALLAH ATAWINDA NA ATAWAPA KHERI YA DUNIA NA KESHO AKHERA
Shekhe hayo mafuta tunapataje na gharama ikoje
MWAIPOPO SOMA KWANZA ACHA ZOGO HAYA MAMBO YATAKUSAIDIA NN
🤣🤣🤣🤣🤣 points ila ujawai kumuacha mtu salama sema mwaipopo 😂😂😂😂
Kweli kabisa nawenyewe wanajua
Uwongo mtupu wanafik hao.
Firdaus muhuni tu hana lolote alafu bado mdogo atafute ajira nyingine
Sheih Burundi tunayapata aje ayomafuta
Mashindano ya quruan hata mtume aliyafanya, kwn mahari ya mwanawe Bi fatuma siilikua mashindano ya quruan? Na sayidna ally akashinda ndio kumuowa?,
Saim gwao haypo tena kidini
Ni mtu wa maslai
Sheikh mwaipopo wanakuambia eti umepokea rushwa kwa sheikh kishki ,sababu waho wanapokea rushwa kwa uyo firdaus waho
Mbona sasa kichwa cha habari cha kuuza?
Asalam alaikum sheikh mwaipopo watu wanaingiza vituko vyao binafsi katika dini ni mambo gani haya sasa? wasiokuwa sisi watatutazama ajee ni mtihani mkubwa sana
We mwaipopo huyo sharfu frdausi ni muhuni hakuna shekhe anafulia mapembe na mahilizi Kisha wanakuja kujifanya wanatoa alafu anapita kigezo ni dini kwakweli tukemee tusichoke
Ndomana uyosharif Burundi hatumtaki
Amfai kuwa viongozi mmekaa kulumbana na kuponda makundi mengine Mafano mnasemaga tabrih hawajasoma na nikundi la motoni nyinyi masheh mbona amuaminiki kiongozi ni mufti tuu
Huyo shehe kishki atapata ugonjwa wa moyo bure, huu uislamu ni mkubwa kuliko yeye na hii dini sio ya familia yake, alizaliwa aliikuta dini ipo. Kuna video moja alitoa kumtetea Mungu pale Lema alipotoa meno la kumsema mungu vibaya. Sasa unamtetea nini mungu huku tunaamini mungu ana uwezo mkubwa wa kujitetea na kutoa adhabu?
Saim gwao ni lijinga licha ya kua anarecodi mawaidha mbali mbali ya masheikh lkn hadi leo hajajifunza hata alifu bee
Rudi kw yesu achan na din za mashetan njoo kw yesu ukutane na damu yk
Mujinga kafiri ukristo siyo dini ukifa naiyo dini ya ukristo utakuwa mwenye hasara kubwa sana siku yakiyama
yesu nibidamu munaabudu binadamu munamufanya mungu mungu atawazibu kwa kufru kumufanya yesu mtoto wa mariyam kuwa mungu
Tuludi kwa yesu gani huyu tunae mjua sisi mtoto wa Mariam au yesu yupi
Damu ya blid unajiskia si uchukue ya mke wako au ya mama yako?
Hiyo damu ya yesu unaitolea wapi kama sio utaahira unaowasumbua nyie
😂😂😂uko nje ya mada bro Mungu ukupe nuru uone haki