MANENO ALIYOYASEMA MALAIKA ISRAEL | ALIPOAMBIWA AKATOE ROHO YA MTUME MUHAMMAD |SH: OTHMAN MICHAEL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 89

  • @rashidimohamedi7016
    @rashidimohamedi7016 2 роки тому +8

    Shehe haya mawaidha Bora kabisa sijapata kusikia Allah akupe Jannat Firdaus nasi sote ameen

  • @abudoomar8551
    @abudoomar8551 2 роки тому +5

    Allahu akbar...
    Masha Allah.

  • @marwamuhammad5703
    @marwamuhammad5703 2 роки тому +5

    Yani ulivyotoa hii darsa najiona kama nilikuepo jirani ALLAH akulipe kheri shekh wetu kwa kutufungua. mengi zaidi tumejifunza mengi na kujua utukufu wa qur'an na ukubwa wa ALLAH subhanna wataala na malaika wake pamoja na mtume wetu muhammad S.A.W nimefurahi sana mungu atukutanishe sote peponi kwa huruma wake .allahumma ameen

  • @nepomucenenyandwi5233
    @nepomucenenyandwi5233 2 роки тому +7

    Uyu mukali sana masha Allahu ilmu nzu mno namkubali kwa ilmu anayo tupatiya kutoka kwa Alla tabark wataaal shukla jazila

  • @suheilahsuheilah4968
    @suheilahsuheilah4968 2 роки тому +10

    TAKBIRRRR ALLAH AKBAR TUMSWALIENI MTUMI MUHAMMED S.A.W,KWA BARAKA ZAKE ALLAH AUONGOZE UMMATI MUHAMMED S.A.W TUWE NA IKHALS TUWE NA TAKUWALLAH DAIMA TUMSWALIENI MTUME MUHAMMED S.A.W SIKU YA KIYAMA MTUME MUHAMMED S.A.W AKAJIFAKHIR KWA UMATI WAKE TUMEMPENDA NA KUMUAMINI MTUME MUHAMMED S.A.W BILA KUMUONA YA RASULULLAH ALLAH ATUKUTANISHE NA KIPENZI CHETU YA RABBY TENA PEPONI JANATU NAIMM🤲

  • @hadijaally7770
    @hadijaally7770 2 роки тому +2

    Mashallah!

  • @a.856
    @a.856 2 роки тому +2

    Jazakallah khayran

  • @ip_header
    @ip_header 2 місяці тому +1

    Mashaallah

  • @deotv503
    @deotv503 2 роки тому +3

    Hadithii imenifungua mamboo mengii mashaallah🙏🙏🙏

  • @MasoudAhmad-n2h
    @MasoudAhmad-n2h 2 місяці тому

    ماشاءالله

  • @radjabumwamedi8641
    @radjabumwamedi8641 6 місяців тому

    Allah akujaz kheri sheikh na mwisho mwema

  • @mamanabdoul4397
    @mamanabdoul4397 Рік тому

    Maa shaa Allah.hadi raha

  • @alicenirera392
    @alicenirera392 Рік тому

    The best sheikh in the African

  • @ramoballawa5783
    @ramoballawa5783 Рік тому

    kumbe hata mawaidha ni bonge moja la kiburudishi bhana nmeinjoy saana♥️♥️🙏🙏

  • @omaryteddy62
    @omaryteddy62 2 роки тому

    Mash Allah

  • @nepomucenenyandwi5233
    @nepomucenenyandwi5233 2 роки тому +3

    From burundi tunampata miya kwamiya

  • @jaz9974
    @jaz9974 2 роки тому +2

    Mashaallah mashaallah sheihk allah akuzidishie kila lenye gheir.

  • @lisauroble31
    @lisauroble31 2 роки тому +1

    MUngu akupe umri sheghe mawaidha mazur amin

  • @salmalaga3132
    @salmalaga3132 2 роки тому +1

    Mungu akubaliki Sana shehe nimesikia raha Sana illliyochanganyikana nahuzuni kusikia manenohayo mafundisho matamu Sana tatizo mb ningependa kufatilia vipindivyako vyote walioko dar wanakufaidi sana

  • @zumrasaidi6600
    @zumrasaidi6600 2 роки тому +2

    Masha allh

  • @AlbertKimbory-ep4qm
    @AlbertKimbory-ep4qm 9 місяців тому

    Ahsante she.

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko 2 роки тому +1

    Mashaallaah mola akuhifadh na mambo ya shar ust othuman

  • @ramadhanbakarimtambo2024
    @ramadhanbakarimtambo2024 2 роки тому +2

    Elimu ni bahari kweli allah kasema kadri siku zinakwenda. Tunaona masheikh na elimu nzuri kabisa

  • @yusufseifu4967
    @yusufseifu4967 2 роки тому

    ALLAH akuzidishie kila la kher hapa dunian na Akhera sheikh

  • @halimaisaac9144
    @halimaisaac9144 2 роки тому +2

    Asc sheikh othman jazakumu llahu qeyra

  • @rehemamgunga8854
    @rehemamgunga8854 2 роки тому +1

    maashallah

  • @samutykuntathebantu8402
    @samutykuntathebantu8402 2 роки тому +1

    Wacheni bagi Mungu yupi amwombe mtu ambaye angoja kuhukumiwa...mfu duniani wacheni kukufuru na kumwabudu Huyo mwarabu shenziii...

    • @mustayoo
      @mustayoo 2 роки тому

      Inshallah mungu akupe hikma ufahamu uislamu.Allah anisamee mm na ww.

    • @samutykuntathebantu8402
      @samutykuntathebantu8402 2 роки тому

      @@mustayoo wewe usamehewe wacha ushenzi

  • @adilihassan8455
    @adilihassan8455 2 роки тому +2

    Subuhannallah!

  • @niassacinema1
    @niassacinema1 2 роки тому +1

    Masha Allah.

  • @husseinkazungu5101
    @husseinkazungu5101 2 роки тому +1

    MashaAllah shukran sheikh

  • @saidisiraji6199
    @saidisiraji6199 2 роки тому

    Mashaa Allah Shekhe Othman tunashukuru sana kwa faida

  • @MA-kh2lr
    @MA-kh2lr 2 роки тому +2

    mashallah mashallah mashallah... Allahumma Swali A3laa Muhammad.

  • @ashiraftandula4622
    @ashiraftandula4622 2 роки тому +1

    Allah Akbar

  • @mwanashamzaramo1763
    @mwanashamzaramo1763 2 роки тому +1

    ALLAH AKBAR. ....SUBUANALLAH. ...MASHALLAH TABARAKALLAH

  • @peacepie2887
    @peacepie2887 2 роки тому

    Alla akupe umri mref

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 роки тому +3

    بارك الله فيك
    Allaah akubaarim ، jifunze quran kusoma na kuandika kwa kugusa picha yangu hapo ,Allaah akubali amali zetu

  • @issakawaya8315
    @issakawaya8315 2 роки тому +1

    Allah abariki

  • @fahadmsophe9192
    @fahadmsophe9192 Рік тому

    Mti wa mkunazi ni wa kweli kabisaa , Katika Science in Astronomy field tunaita The Black Hole, neither anything escape nor entrance in that Black Hole, it’s shape ni Kama hiyo Mkunazi. Waislamu tusome haya mambo yapo kweli kwa Haqq. Fatabaraka Allah ahsanal khaliiqiin.

  • @ladymuna4945
    @ladymuna4945 2 роки тому +1

    Shukuran Jazillah

    • @suminabdu6104
      @suminabdu6104 2 роки тому

      Shukuran Jazira Allah akuzidishiye kilalaheri

  • @abdallahahmedmmary225
    @abdallahahmedmmary225 2 роки тому

    Allah akupe tauwfq al,akh an jambo moja apo nikuwa huyo malaika haitwi israel ni malaku l,maut mashaallah

    • @riosteven2406
      @riosteven2406 2 роки тому +1

      Malakul mauti Ni title jina lake ni Israel Ni kama shaytaan ni title anaitwa ibliis

  • @abdulsaidi7007
    @abdulsaidi7007 2 роки тому

    Tumsifu MTUME MUHAMMAD

  • @zenaabdallah3797
    @zenaabdallah3797 2 роки тому

    TAQBIRI TAQBIRI TAQBIRI

  • @sajumahege4903
    @sajumahege4903 2 роки тому +2

    Umelitoa wapi hilo jina Israel? Achen uzushi

  • @jolinkimaro9939
    @jolinkimaro9939 2 роки тому

    hadithi zilizotungwa kwa weledi kwa kweli.

  • @oscarngowi4750
    @oscarngowi4750 2 роки тому

    YESU achananae kabisa huyo Ni habari nyingine kwa MWAMPOSA waislamu wamejazana na wanaponywa

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 роки тому

    Jifinze quran kusoma kuandika gusa picha yang hapo kama hautojali

  • @hashimmohamed3215
    @hashimmohamed3215 2 роки тому

    Sheikh hapo kwenye mara ambazo sayidna jibreel (as) alikuja kwa mtume Muhammad (saw), wanafunzi tunahitaji ufafanuzi zaidi. Umesema alikuja mara 24,000 itamaanisha alimtokea mtume kwa wastani wa kila siku mara 3 kwa kipindi cha miaka 23 ya utume, labda kama unamaanisha mara 2,400 kwetu italeta maana

  • @mwinyimohamed9746
    @mwinyimohamed9746 2 роки тому

    Hamna Malaaika anaeitwa israel

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 2 роки тому

    Swallallwahu alayhi wasallam

  • @leonardharerimana4625
    @leonardharerimana4625 2 роки тому +1

    Quran 4vrs159 lazima kumwamini Issa kabla ya kufa kwake.
    Quran 43vrs50-59 watu wa muhammad waambiwapo habari za Issa wauliza muhammad mbora ni miungu yetu au yeye Issa?
    Kumbe wafuasi wa muhammad wana miungu.
    Mtafia dhambini msipo mpokea YESU KRISTO MWOKOZI awape kuitwa Watoto wa MUNGU YOHANA 1vrs12

    • @sajumahege4903
      @sajumahege4903 2 роки тому

      We mgalatia qrn 43:58. Makafiri wamesema: Je! Miungu yetu na Isa, nani bora? Ikiwa yeye yuko Motoni basi sisi na miungu yetu tutakuwa pamoja naye. Hawakupigii mfano huu wewe ila kutafuta ubishi tu, na kushindana kwa maneno, si kwa ajili ya kuitafuta kweli ilivyo. Bali hawa ni watu ambao ni shadidi wa khasama, wamebobea kwa hayo. Tuje huko tukanunue kinyago kilichochongwa pale mwenge kwa laki3 alaf tukiombe shida zetu? Hiyo aya inazungumzia makafiri kama wewe ambaye hapo ulipo una miungu 3, baba mwana na roho ilihali katika uislam Allah ni mmoja tu huyo Issa ni mtume wa Allah tu.

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 роки тому

    Jifunze quran kusom kuandik gusa picha yang hapo kama hautojali

  • @thomasthomas0212
    @thomasthomas0212 2 роки тому +1

    Acheni kupotosha na kudanganya watu hizo hadithi zote ni zaungo zilitungwa kwa uongo wa hali juu, muhammad hakuwahi kuwa mtume wa Baba yetu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo na Wala si moja kati ya mtume, Bali yeye alikuwa kati ya Binadamu walio potea kwani hakuwahi kutembea katika kweli ya Baba na Wala akuijuwa kweli ya Baba maisha yake yote ya kikafiri .

    • @abdulrahmanrajab4369
      @abdulrahmanrajab4369 2 роки тому +1

      Koma eeeeh waislm wastaab naw jifunz ustaarab hatun tabia ya kuchafua vidio zen za mapadr kwa kucomment

    • @hawalasalehmohammed8562
      @hawalasalehmohammed8562 2 роки тому

      Revert before you return to your creator

    • @fahadmsophe9192
      @fahadmsophe9192 Рік тому

      Kama wewe hujasoma. Usipende kudakia mambo utaangukia pua ndugu. No research no right to speak.😅

    • @AbubakarRazack
      @AbubakarRazack 5 місяців тому

      Hivi kumbe mungu ni mwanaume eee,,, naona unamwita baba

  • @abraarimages1269
    @abraarimages1269 2 роки тому

    Swadakta Malaika wa kutoa roho anaitwa Malakul Maut

  • @mustayoo
    @mustayoo 2 роки тому

    Hakuna malaika anaitwa israel.tusipoteza waislamu kwa hadith za israeliati.

  • @abdulsaidi7007
    @abdulsaidi7007 2 роки тому

    Ametakasika MOLA WA VIUMBE VYOTE ,

  • @kyandopatrobanighanile274
    @kyandopatrobanighanile274 2 роки тому

    Mbona hakuna hayo maneno ya Ziraili?

  • @livingstonenyambaya1640
    @livingstonenyambaya1640 2 роки тому +1

    Mafundisho ya uongo haya waislamu shitukeni

  • @abuuyahyagagaza4372
    @abuuyahyagagaza4372 2 роки тому +1

    Hakuna malaika anayeitwa israel.anaitwa malakul mauti

  • @masoudkasote6679
    @masoudkasote6679 2 роки тому

    Israel ndo jina lake la asili malakulmauti ilipewa jina hilo bada yakupewa kazi ya kutowa roho

  • @jambu966
    @jambu966 2 роки тому

    Malaika Isreal ni yupi wee

  • @BradothAdm
    @BradothAdm 2 роки тому

    ni aibu kubwa kwacha muislam huyo haitwi israil anitwa malakul mauti kasome tena

  • @leonardharerimana4625
    @leonardharerimana4625 2 роки тому

    Waongo wakubwa kama baba yenu shetani.ole wenu mkufia kwenye huo uongo.mzidi kutiana faraja za uongo tu upo mwisho na kitaeleweka.
    Yohaba 3vrs36

    • @abuuayoubayoub9260
      @abuuayoubayoub9260 2 роки тому

      Usome uislamu utaelewa lkn kusikiliza tu hakutokukinaisha

  • @jolinkimaro9939
    @jolinkimaro9939 2 роки тому

    mhnmh mh mh.mh mh

  • @deathrow8004
    @deathrow8004 2 роки тому

    Ni malakul- mauti
    Sio malaika israel❌

  • @swaleheismail46
    @swaleheismail46 2 роки тому +2

    Mash Allah

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 2 роки тому

    Mashaallah

  • @ndayushimiyerungarunga8438
    @ndayushimiyerungarunga8438 2 роки тому +1

    Mansha Allah

  • @zulficarbacarsuale6877
    @zulficarbacarsuale6877 2 роки тому +1

    ALLAH AKBAR

  • @mwanahamisimwinyi1040
    @mwanahamisimwinyi1040 2 роки тому +1

    mashaAlllah