Mbaraka Mwinshehe - Morogoro

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 141

  • @bhindasheshe589
    @bhindasheshe589 4 роки тому +21

    Daaah nakumbuka naenda kumuoa mke wangu kipenzi 2016 july 27..tuko honey moon sehemu tunaiskiza sana Hii nyimbo..mke wangu hadi Leo akiiskia huwa Analia sana..anamkumbuka na baba ake Allah amrehemu nae alikuwa akiipenda sana

  • @wilfredelimeleki4543
    @wilfredelimeleki4543 4 роки тому +8

    Daah jamani morogoro yetu ni kutamu sana hata kama ni kijijini,raha sana moro napapenda sana nilikozaliwa😍

  • @chefaloyce5884
    @chefaloyce5884 Рік тому +5

    Huu wimbo unanikumbusha mbali marehemu Baba yangu alikuwa akiupenda 😭😭

  • @kcmedia5693
    @kcmedia5693 3 роки тому +12

    While old is gold and that the power of music is fathomless. The truth is that it is only good written music music which needs to be regarded thus. Whoever enters the music bussiness should know and value this very important aspect. Good music brings back memories. This song is one of the best that has such powers. It reminds me of my child hood, its release had coincided with my fathers transfer from Tabora to Morogoro in May 1968. True enough I found Morogoro very different to Tabora . While Tabora is dry with no river, Morogoro was quite different. I could well see a number of water falls from a distance, one of which which formed the Morogoro river passing right in the middle of the town to join the Ngerengere river ( I am not sure whether Ngerengere river still exist), the other formed Kirakala river passing by the primary school I attended (Kirakala Primary school). I even went swimming in the river up the mountains. That is where I leant to swim the skill I posses to date. This song was so real and was ringing in my ears whenever I saw the falls. In 1969 from nowhere Cuban Marimba also attracted great attention after producing great hits (Juma Kilaza had joined the band sometimes in 1968) , most people had felt that the band had declined since it lost its leader (Salum Abdlah). I could not contain myself I traced the headquarters of two bands (Morogoro jazz and Cuban Marimba) where they do their rehearsals, and I attended the sessions whenever I got chance. As kids the musicians simply ignored us which gave us chance to witness how they compose and produce music. That is how I came to know the two bands at heart. That's the power of music it does not only bring music and musicians closer to fans/people but also to appreciate their surroundings, inheritance, expectations and cherish their dreams.
    But come late 1990s when I paid Morogoro a visit I could not believe my eyes as the water falls seems to have ceased to exist, while Morogoro river is no more (completely dry). In fact currently very little difference exist between Morogoro and Tabora towns. Authorities need take action as they also take blame in this. This music is a REMINDER

    • @ct1434
      @ct1434 2 роки тому

      Wow

    • @martinkatua1594
      @martinkatua1594 Рік тому

      Yes. You are very right. Something must be done to restore the degraded environment in Morogoro

  • @fatimanzota1440
    @fatimanzota1440 8 років тому +12

    Najivunia kwetu Morogoro dah this is nice song no one like Mbaraka Mushehe

  • @msakuzikondo536
    @msakuzikondo536 2 роки тому +2

    Nikiusikia mwimbo huu namkumbuka mjomba wangu Bonaventura Simba.Mungu amlaze pema peponi.

  • @ahmedougedo5326
    @ahmedougedo5326 Рік тому +2

    Da! Nimezaliwa Dsm Ilala Amana Ila Asili ya Wazazi wangu Ni Morogoro nilipata bahati ya kutembelea Morogoro kusalimia Babu na Bibi sikukaa Sana Ila Morogoro najivunia nikihadithiwa kuhusu Morogoro Na Asili Yetu inanipa nguvu kila napokumbuka Morogoro......Naipenda Morogoro iko Siku nitaenda Kuishi Moro

  • @kakamega3
    @kakamega3 9 років тому +12

    kumbukumbu tosha ndugu Nguzo.Nakumbuka uwanja wa maonyesho ya Kilimo ,Kakamega Kenya.Shukran!

  • @wilfredelimeleki4543
    @wilfredelimeleki4543 5 років тому +11

    HOME SWEET HOME NI MORO ....NAUPENDA SANA MKOA WANGU😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😘😘😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍

    • @chomaroyalchiefdom1907
      @chomaroyalchiefdom1907 3 роки тому +1

      SANA

    • @barackjackson6585
      @barackjackson6585 2 роки тому

      Lakini Moro hiyo inayosemwa humo sio hii ya leo!!🤔🤐 Miaka ya '71 - '80
      Morogoro ilikuwa ni peponi kwetu wengine 😭😢😰

    • @jossefustivini2119
      @jossefustivini2119 2 роки тому

      Kweli kabisa tunaipenda moro yetu.... japo tuko mbali ila moro tunaipenda naipenda sana...moro home

  • @andrewkuzilwa109
    @andrewkuzilwa109 7 років тому +18

    Huu wimbo wa Morogoro wanmkumbusha mbali sana wakti niko IDM Mzumbe na radio Abood ilipokuwa imeanzishwa ulikuwa wimbo maaruf sana

  • @jafaripaje5366
    @jafaripaje5366 11 місяців тому +3

    The song gives you visual imagery of how good life was Morogoro before deforestation and overgrazing.

  • @hosanamakere9165
    @hosanamakere9165 7 років тому +7

    duuuh napamiss sn morogoro jaman....wankumbusha mbali saaaana

  • @anthonymarwa7823
    @anthonymarwa7823 10 місяців тому +3

    I support the idea of reproducing more of his songs as suggested by Msomali apart from Morogoro yapendeza we have also worked on Esta, Soniasa and Shida and are in a process to produce a video of the four hits. Thanks for the good suggestion. By the work the book is on its way titled Mbaraka Mwinshehe Soloist National and dance music in Tanzania: Dancing to the Tanzanian Rumba genre

  • @abdullngoromole9226
    @abdullngoromole9226 7 років тому +15

    mungu ailaze riho ya Mbaraka mwinshehe mahala pema peponi Amina hakika ilikua lulu ya Tanzania

  • @lucasmhagama8166
    @lucasmhagama8166 7 років тому +11

    Hizi nyimbo japo nimezaliwa miaka ya 90 ila wazazi wetu walifaidi sana

    • @kimpalambapj
      @kimpalambapj 3 роки тому

      Sana kaka. Upo sahihi!

    • @salvatorymtunga2802
      @salvatorymtunga2802 3 роки тому

      Watu wengi wa sasa hawajui kuwa Morogoro ndilo lingekuwa Jiji kabla ya mza, Tanga, Mbeya etc, watu waka I letdown, sasa hivi kahama ni Munispal kama.Morogoro manispa is Fair?

  • @andrewkayanda9887
    @andrewkayanda9887 6 років тому +3

    Pamoja na kazi nzuri za Mbaraka, hajatokea kiongozi ye yote ampe tuzo mwanamziki huyo aliyeinua Morogoro sana.

  • @kilongolanasibu3998
    @kilongolanasibu3998 5 років тому +9

    Morogoro Ndio home
    Miss u moro
    Mj ksr bhr p1

  • @sofiambaga9911
    @sofiambaga9911 7 років тому +14

    Mwl Ester Mwasambungu uko wapi tulikuwa tunafundisha Kingolwira shule ya Msingi

  • @obillaezra6205
    @obillaezra6205 3 роки тому +5

    Kwa Mara ya kwanza kufika Moro nilikuwa naangalia ile Milima ya Urugulu kama nitaona Maji ya kutiririka Milimani kama Nyimbo hii ilivyoipamba Mkoa wa Morogoro” Wenyeji wakaniambia Zamani Miaka ya 70 Maji yalikuwa yakitiririka” Bado huyu Gwiji hajaenziwa hata kupewa Barabara yenye jina lake au hata Soko japo Moro aliipenda kwa Dhati”

  • @mariamshaban2310
    @mariamshaban2310 Місяць тому +1

    Duuuh inanikumbusha Morogoro kwenye mabonde nikiangalia maji yanavyotiririka dash yakale dhahabu

  • @markodenischipeta4050
    @markodenischipeta4050 5 років тому +3

    A proud kuwa mororgoro😌😌 mzumbe uni

  • @mohammedkunambi3777
    @mohammedkunambi3777 4 роки тому +6

    PROUD TO BE RUGULU ,MORO NDO KWETU

  • @jeflimacomwangwamwangwa1543
    @jeflimacomwangwamwangwa1543 7 років тому +3

    Hakika Mungu alikuwa ametujaalia bingwa na mtaalamu wa mziki aliyekuwa akiimba kiswahili kwa ufasaha na weledi wa hali ya juu Sana.

  • @jeflimacomwangwamwangwa1543
    @jeflimacomwangwamwangwa1543 7 років тому +4

    Hadi raha jamani mpaka ninakumbuka mbali sana tena mno, Mbaraka hakika alikuwa mwisho wa mambo yote.

  • @thomaskobelo-y4n
    @thomaskobelo-y4n 10 місяців тому +2

    Hapa sisi wenye mkoa wetu acha tutambe maana alichokiimba ni sahihi zaidi ya asilimia 100.......

  • @chidampiri1012
    @chidampiri1012 6 місяців тому +2

    Huyu alikuwa mzaramo lakin alipapenda sana morogoro

  • @frank01tz
    @frank01tz Рік тому

    My homeland, again karibuni Morogoro❤

  • @badirashid4668
    @badirashid4668 8 років тому +5

    dah so awesome since amefariki 1779 bt up to now 2016 we appreciate his work..Salute

  • @sulemanimandeni6907
    @sulemanimandeni6907 4 роки тому

    Morogoro ndio hom pande za kidugalo, karibu sana mji uliojaliwa neema ya kila aina,mji kasoro bahali

  • @issahabunu197
    @issahabunu197 2 роки тому +2

    Namkumbuka sana babu yangu mzee Kibonge 😓😭😭😭

  • @djwaukweli9753
    @djwaukweli9753 8 років тому +4

    Ni shida tupu! pale ambapo hakukuwepo na vyombo vya kisasa zamani, lakini mziki uliotoka hapo, naomba upate picha wewe mwenyewe.

  • @saidingomesha3457
    @saidingomesha3457 6 років тому +3

    Dahhh !!!! Kweli muziki ulikua zamani sasa hivi balaa tupu

  • @fatmasiwema7547
    @fatmasiwema7547 7 місяців тому +2

    yapendezaa mno

  • @charlesbarnabas1836
    @charlesbarnabas1836 6 років тому +2

    Wimbo huu wanikumbusha nilipomtembelea kaka yangu akiwa mzinga na tulipeda sana kitembelea sehemu za changarawe

  • @martinmwankenja50
    @martinmwankenja50 Рік тому +1

    Morogoro, nimeishi Utotoni,shule ya Msingi Mwere,Secondary Mzumbe..Ingawa siishi Moro kwa sasa lakini Likizo zote lazima nipite Moro nikae hata siku 3

  • @TichaHalid-fm1py
    @TichaHalid-fm1py Рік тому +1

    Maarufu ticha khaalid

  • @godfreymhumba5328
    @godfreymhumba5328 8 років тому +1

    Hakika ni nyimbo nzuri sana, na Gitaa lilipigwa kwa ufundi kweli

  • @abuukulunge6396
    @abuukulunge6396 6 років тому +2

    Ankoo Mbaraka Mwinshehe...Pumzika kwa Amani

  • @anthonymarwa7823
    @anthonymarwa7823 10 місяців тому +2

    I managed to trace The daughter of the soloist national and with other musicians we managed to reproduce this hit which reminds me of my childhood soon it be on youtube

    • @MrMsomali
      @MrMsomali 10 місяців тому

      Really good news...
      I wish you and Soloist National's daughter all the best.
      Please, could you also be able to reproduce both Paulina Nenda and FAT na Timu ya Taifa 1972please?
      Also, could you or his daughter also put the original of both these 2 songs(Paulina Nenda and FAT here in You Tube

    • @PrinceKela
      @PrinceKela 4 місяці тому

      Can you organize and Remaster their albums

  • @TichaHalid-fm1py
    @TichaHalid-fm1py Рік тому +1

    Ahsante kwa kuniunga mkono

  • @salvatorymtunga2802
    @salvatorymtunga2802 3 роки тому +1

    Moro ya kwetu,.hata wanaokuja ni wa kwetu

  • @naturalsweethoney538
    @naturalsweethoney538 6 років тому +4

    Kweli cha Nyumbani ni dhahabu

  • @marklekasango9300
    @marklekasango9300 6 років тому +2

    mara yakwanza nilikua kwenye kumbi za staree arusha kikatt kulikua na live bend Waka piga hii nyimbo nikiisikia nywele Zina sisimuka naona kama vile niko live. hizi nyimbo hazita pitawaa kamwe

  • @TichaHalid-fm1py
    @TichaHalid-fm1py Рік тому +1

    Nazipenda sana zilipendwa

  • @idrissekibo3815
    @idrissekibo3815 6 років тому +2

    lovely. old is the precious gold

  • @izidorbimana5485
    @izidorbimana5485 5 років тому +2

    Apo zamani muzee Mwinshehe amekuwa kijana

  • @MadarakaIddi-s5p
    @MadarakaIddi-s5p Рік тому +1

    Moro naipenda sana

  • @augustinomunuma853
    @augustinomunuma853 8 років тому +4

    Ongereni wasanii wa kale

  • @wilfredelimeleki4543
    @wilfredelimeleki4543 4 роки тому +2

    Moro ndio home

  • @AbduliHamisi-m9m
    @AbduliHamisi-m9m 10 місяців тому +1

    Hivi ulewimbo wa mbaraka unaanza henyivijana nisikilizeni Yuko na bendi gani

    • @anthonymarwa7823
      @anthonymarwa7823 10 місяців тому

      Enyi vijana sikilizeni ulitungwa na kuimbwa na Mbaraka akiwa na Kulwa Salum na bendi ya Morogoro jazz mwaka 1972

  • @abuukulunge6396
    @abuukulunge6396 6 років тому +3

    Home Sweet Home-Morogoro

  • @abuuhamis5398
    @abuuhamis5398 7 років тому +4

    Nyimbo tamu inanikumbusha mbali

  • @nasibuissa9876
    @nasibuissa9876 6 років тому +1

    Good music weel done baraka mwishee

  • @sangomamouricee1575
    @sangomamouricee1575 6 років тому +1

    hakika moro ilikua yapendeza daah utamu unapungua

  • @saidishalbella3767
    @saidishalbella3767 8 років тому +1

    ahhh!!! Moro jazz ,ilikua shida sana

  • @yustapaschal881
    @yustapaschal881 3 роки тому

    Aiseee.... ni nyimbo nzur

  • @PrinceKela
    @PrinceKela 4 місяці тому

    Enzi zetu miziki iliyovuma

  • @abubakarijuma971
    @abubakarijuma971 6 років тому +2

    Aisee....hakika Ni nyimbo murua kabisa kwani ikiimbwa na fundi kwani aliisifia sana morogoro kiasi kwamba kila mtu alitaman kufika morogoro kwa kipindi hiko hivyo amefanya watu wengi kupenda na kutembea morogoro....kujionea utalii huo...na mapolomoko mbalimbali katika mji huo....hivyo Ni moja ya msanii Wa kutolea mfano sana tangu kufa kwake .

  • @blacknation7032
    @blacknation7032 5 років тому +21

    Kama unatoka Moro na ukombali kama Mimi gonga like tujuane..!!!!!!-!!!!!..!!!!!..

  • @nellyjames3865
    @nellyjames3865 6 років тому +1

    Tulikuwa tunakwenda Morning site kweli maji yanatirirka milimani.

  • @aishakichunachamjikasoro9411
    @aishakichunachamjikasoro9411 6 років тому +2

    Hapa ndipo unapoamini mtu kwao jamani kalibuni morogoro by year 2018

  • @suleymandachi7954
    @suleymandachi7954 9 років тому +2

    yaani natapani mbaraka angekuwa hai

  • @maliymphilips686
    @maliymphilips686 Місяць тому

    Ndugu zangu kweri ya kare ni zahabu nakumbuka forest secondari karibu na batikemyp yaani unakuda maji yanrtiririka kweri

  • @CasianRKomu
    @CasianRKomu 6 років тому +2

    Morogoro nyumbani

  • @sandrabernard751
    @sandrabernard751 7 років тому +6

    wacha weeee

  • @fatmasiwema7547
    @fatmasiwema7547 7 місяців тому +1

    tawileee

  • @samateryussuf5938
    @samateryussuf5938 6 років тому +1

    morogoro ililkuwa balaa

  • @yakububanzika4444
    @yakububanzika4444 Рік тому

    More love Moro

  • @gnakognako1357
    @gnakognako1357 5 років тому +2

    karibu uduzungwa kilombero

  • @marthakilusungu8317
    @marthakilusungu8317 5 років тому +1

    Nimekumbuka nyumbani.

  • @dovicochristopher5388
    @dovicochristopher5388 7 років тому +2

    Wimbo mzuri sanaa

  • @piliitelewe2826
    @piliitelewe2826 Рік тому

    Kweli vyakale nidhahabu

  • @adelaedward3109
    @adelaedward3109 7 років тому +3

    Victory uko wapi

  • @johnmosha
    @johnmosha 4 роки тому +2

    Nice song

  • @hildaeliya5582
    @hildaeliya5582 8 років тому +3

    MBONA HATUONI TENA MAJI YAKITIRIRIKA TOKA MILIMANI? AU MABADILIKO YA TABIA YA NCHI

    • @hildaeliya5582
      @hildaeliya5582 8 років тому +2

      Power Nguzo, wewe na Eddie Nassoro mnafahamiana?? maana mpo juu kutupa vitu vya kale''

    • @ikwiriri1
      @ikwiriri1 6 років тому +2

      Mgeta yapo

    • @ramadhanimizambwa2396
      @ramadhanimizambwa2396 5 років тому +1

      mazingira yameharibiwa

    • @clementlui3065
      @clementlui3065 3 роки тому

      Nenda mgeta,msepa yapo hadi leo

  • @kingarutv8566
    @kingarutv8566 7 років тому +2

    naupenda saaaaaana

  • @allyshkopa5940
    @allyshkopa5940 6 років тому +1

    Missing morogoro

  • @godfreymloka5193
    @godfreymloka5193 3 роки тому

    awesome oldies!

  • @charlesadelinus1044
    @charlesadelinus1044 3 роки тому

    Wimbo juu nimeupeda sana

  • @brilliantkidemi3636
    @brilliantkidemi3636 4 роки тому +1

    Kazi nzuri sana

  • @augustalupokela4394
    @augustalupokela4394 Рік тому

    Amazing

  • @karimsaid6000
    @karimsaid6000 9 років тому +1

    Tunakumbuka mbali

  • @hamisichinja4167
    @hamisichinja4167 9 років тому +1

    nakumbuka mbali sana

    • @frankurio9906
      @frankurio9906 5 років тому +1

      Kungekuwa na uwezekana mtu akarudishwa duniani huyu mbaraka angepaswa kurudi

  • @mwitadommy4086
    @mwitadommy4086 7 років тому +1

    naupenda sanaaa maji ya....

    • @pendonaftal1015
      @pendonaftal1015 6 років тому +1

      hakika wimbo mzuri sana tunakukumbuka sana

    • @msaidi6130
      @msaidi6130 6 років тому +1

      Miuhsini hakika moto yapendeza

  • @sangomamourice6331
    @sangomamourice6331 4 роки тому

    Sio sasa maji hayatiririki tena

  • @mwitadommy4086
    @mwitadommy4086 7 років тому +1

    naupenda sanaaa

  • @sharifakasim6601
    @sharifakasim6601 3 роки тому +1

    Moro mojaaaa

  • @TichaHalid-fm1py
    @TichaHalid-fm1py Рік тому +1

    Nipo bububu mkoroshoni

  • @revinabashemela9531
    @revinabashemela9531 7 років тому +2

    naupenda sana

  • @marymwase1277
    @marymwase1277 2 роки тому

    Mwimbo mnzuri

  • @ahmedghoth5494
    @ahmedghoth5494 9 років тому +1

    Safi saana nyimbo hiiii

    • @kirohosafi6253
      @kirohosafi6253 7 років тому +1

      kiukweli nikisikiliza hii nyimbo nakumbuka mbali sana muda nipo kijijin muda huo redio ukifungulia zinacheka tu unaskia kwa mbali sana kiukweli cha kale dhahabu

    • @nipasheguardian2883
      @nipasheguardian2883 7 років тому +1

      Wimbo huu unanikumbusha kijijini kwetu wakati natoka shambani nikiwa mdogo nimelowa mvua wee acha kabisa

  • @deetalent9689
    @deetalent9689 3 роки тому

    Nice songs 🌅🌅

  • @salehecrass3185
    @salehecrass3185 3 роки тому

    Morogolooooooooooooooooo

  • @aimohankama6970
    @aimohankama6970 6 років тому +1

    Legenda

  • @lilianmngulwi7119
    @lilianmngulwi7119 4 роки тому

    Ya kale ni dhahabu

  • @mikethz866
    @mikethz866 5 років тому +1

    Morogoro

  • @hadijaabdallabruno1267
    @hadijaabdallabruno1267 6 років тому +1

    ilo ni jibu

  • @teklakomba4196
    @teklakomba4196 2 роки тому

    2021 tujuane

  • @davidnkya1740
    @davidnkya1740 5 років тому +1

    Dah

  • @kaimukasimu7164
    @kaimukasimu7164 4 роки тому

    Enzi hzo