What message do you have for the Anita Mtanga? You can reach her through her number 0721345420. To share your story with us, send an email to yvonne.kawira@tuko.co.ke or eucabeth.mukami@tuko.co.ke.
Kuna kitu ya muhimu sana umesema kwa hii Interview 'mwili huchoka' And i love that.Let us listen to our bodies ukilemewa na kitu tafuta kitu nyingine ya kufanya. Our bodies are so precious..and we have that one body.
Hi tuko kuna huyu dem ako saudia anateseka story iko tik tok sai toka friday mpaka leo hapatikani kwa simu aki pls 🙏 😢 msaidieni anaitwa Cecile I think
Mimi nikemboi 4 years but mambo mengine mi husikia tu na watu sijui kama ni ukweli ama nikuhalimbia jina madalala, coz dalala wetu nimtu huwa na adabu sana nyumba huwa tunalipa 1k na ukishalipa hivyo unapewa mpaka chakula for 6 month na unakula vizuli sana mungu ambariki dalala wangu na huwa anahakikisha umeenda job
@@fhhfd8449 exactly saudi ina pesa ukitumia akili unaeza kua millionaire...huyu alikua gaidi kutaka pesa za haraka...nothing comes easy...kuja kwa page yangu uone vituko za gulf
Just an observation many of us who love Tuko cant understand the language. So that we can follow the stories cant you please ask some of the questions in English we would be very gratefu
Mimi wakenye wamenivunja moyo sana kuwasaidia...nilimsaidia dada mmoja nikampeleka nyumba nzuri akaekwa vizuri matokeo yake akawa anapiga picha nyumba ya watu akisend whatsapp pia akajipiga picha za uchi kumsendia mpenzi wake ambae yuko hapa hapa arabuni ..akanitia aibu sana sana wakenya wNa tatizo la kupenda wanaume. Wanapenda mabwana. Huyu dada anasema ukweli kabisa.
Is anyone listening? Government agencies should work with the jail offices to help innocent kenyan girls. This information should not go down as useless. The embassy should work for kenyans. The lady is very sober and thus believable.
This lady as talked the whole truth Saudi Kuna types mingi sana za watu wenye walikuja kufanya kazi Kuna watalii na WA biashara zingine so ni wewe mwenyewe ujijue na ujue ulikuja peke yako na chenye kilikuleta mwenye maskio na askie ushashauri yote mummy pea pressure pia ni mbaya sana
Naweza waambia Wasichana au vijana wanataka kwenda Saud au sehem nyingine, ni bora ukiwa bado uja ondoka, piga picha passport yako sehem yenye details zako piga picha sehem ya muhuli wa visa, jitumie kwa È mail na baadhi ya ndugu zako ukifika huko piga picha mkataba wako watumie ili siku uko wakikugeuka basi utaweza tumia picha uliyoweka kwa è mail kukutambulisha
Where is our government sually ? Why are women's suffering like this? Kenya kuna pesa lakini corruption wanakula wenyewe wana ubinafsi ,our leaders sually? Right now arap moi analala na hatawai amka na anamashamba mingi sana but kitu surprisingly kuna mtu mahali ata aquater aca hana, and we choose them to serve us ,
@@jaymwinyi6957 yangu walichukua but nilikemboi nikaawachia, alafu niwajinga huwa wanachukua passport ya mtu wanasahau ukitaka kurundi warundi tu ata bila pp
I know her personally ...she bought a land abuild herself a big house ...she also have kids she was taking care of..alafu pesa ni maua ...huwa inanyauka ..don't judge
Umenena ukweli fungua watu macho wengi wanaenda Saudi with wrong motives thus y they end up in the coffin,some don't know the laws and traditions of Saudi Arabia you end up getting caught up into trouble,my dear sister who are going to Saudi do your research usifurahi tu kupande ndege haujui yatakayo kupata.
But wacha niseme msilaumu madalala wengine wanatoka kenya wakiwa malaya sasa wakifika huku hawatulii kwa kazi wanasikia tu wakiwashwa ma kuma,nilikemboisha msichana mmoja nikampelekea dalala wangu, akatafutiwa kazi kumbe hakua nahaja na kazi kuna mwanaume alikuwa wamepatana kwa facebook alipopelekwa kazi akatoroka akaenda kwa mwanaume sahii yuko na mimba na akimpigia simu inachukuliwa na mwanamke,
Kemboi wengi ndio wanaokoanga hao wadada wanafungiwa wananyanyaswa na kupigwa kwa waajiri wao kwa kuwapiga picha na kuwapost kama ni mkenya au mganda authority inawarescue sasa huyu kuona mwenzake amepigwa akaamua kuwacha kazi sasa alimsaidia na nini???
What message do you have for the Anita Mtanga? You can reach her through her number 0721345420.
To share your story with us, send an email to yvonne.kawira@tuko.co.ke or eucabeth.mukami@tuko.co.ke.
She has talked the naked truth abt Saudi big up madam
Anitah nmekaa nayeye alikua ameni host na ni mwanamke naeza sema anajielewa sana all the best Anitah bado nko uku mimi nangangana God above all
Thank you....
Grace mambo,Anita ameongea ukweli mtupu,jikaze mama mimi niko kenya sahizi.
Mambo
Kuna kitu ya muhimu sana umesema kwa hii
Interview 'mwili huchoka' And i love that.Let us listen to our bodies ukilemewa na kitu tafuta kitu nyingine ya kufanya.
Our bodies are so precious..and we have that one body.
Good Job Kawira! Asking the right questions. We’ve seen you getting better with each interview
Hilda
Thank you so much for the kind words. I truly appreciate it.
Kana improve😍😍
Thanks Anita umekuwa msaada kwa watu wengi hata huku Saudia umesaidia wengi kwa maombi. Love u more
Waaau that's mchungaji Anita this lady she's a prayer worrier love you Anita .
Thank you
I have enjoyed listening to Anita's brief story of struggle out there in Saudi and her continued struggle back home . Thanks
I like Anita's sincerity, no drama, no excerggerations. Her story rings true all through.
Ameongea ukweli ndivyo kulivyo huku
Surely anita ameongea ukweli mtupu,nilimwuacha huko
Roho niongoze wala sio mwanadamu aniongoze. I LOVE THAT STATEMENT….Her honesty her humble spirit her PRAYER LIFE 👌🏽👏🏽👏🏽👏🏽
Surprised I'm the one who processed her passport some time back in my Cyber sometime last year. Small world.
So she's lying about having been in saudi for 8years!🤔
@@RogueWife amesema 8months kwa interview ingine
@@husrawange5233 ooh. But apa amesema 8yrs
Bado unaprocess??
@@sphyunrullybea537 yeah
Nimekua na Anita in jeradiah.. she is such a wonderful lady
My mentor while in Saudi love u u inspired me more
Well done Kawira - enjoyed the interview.
Thanks Anita for sharing your story.
Thank you Caren
Wise lady she knew what she wanted to do
I like her kiswahili very clear and audible
Mungu azidi kukutendea Mtumishi wetu na ahsante kwa advise pia hope Kenyan embassy itasaidia citizens wao
Wow....thanks nimejifunza mengi si kuwa najua kwanza io ya kukemboi endeleeni kutuchanua aki
Wow!!! Blessings Mtumishi for reaching out and enlightening the Kenyans....you said bare trueth....God bless you mama💕🙏
🙏🙏🙏
This woman is giving good advice unlike some wanakuja kujisifu...the agents sympathizers.
Yea she knows very well maisha ya Saudi kaa serikali inataka kujua mambo ya Saudi Waite huyu dame❤️
Thank you.... True
Only lady saying the truth,acha wenye clout ata watoto wanachezea risasi Kama pekele.
Such a satisfying story God bless you Mtumishi Anita
I like this ladies maturity
Good job from two beautiful souls love you
Hi tuko kuna huyu dem ako saudia anateseka story iko tik tok sai toka friday mpaka leo hapatikani kwa simu aki pls 🙏 😢 msaidieni anaitwa Cecile I think
Ama ni matako ya taifa
@@sallyakinyi3638 ni yeye🤔
Shangazi sai ukipiga hata haiko on service
@@milkamugomo218 kwani shangazi alidoo? Na atakua amefichwa wapi?
You mean matako ya taifa ama?🤔🤔
True talking Embassy no use
Asante sana tuko news🙏🙏
Karibu sana dear. You are such a strong woman.
Thank you
Thank You so much for the advise 💞❤️💕
I love your maturity mamaa.Wewe ni mwanamke wa pekee mwenye umeongea ukweli kuhusu Saudi.
I like the maturity in this lady.
Hapo kwa embassy they need to do something it's true watu wengi wanasumbuka bila msaada
Yvonne nakupenda Tu bure keep it up girl
Hiyo makeup ya Yvonne iko Top 😘😘
I don't see any make up here
@@beller9304 you can not see if you are the paint your face type..
@@nyarsakwa1492 thank you
Yvonne hapakangi makeups excuse us,,,
This lady is upto the question.. I love her truth
Msema kweli mpenzi wa Mungu...thanks gal
Mimi nilisema nirudishwe office nikaambiwa hakuna ofisi ilibidi nitoroke
You're so lucky Anita ❤️. Good work Yvonne 😘
Thank you for watching Carol.
Uzuri Saudi nyumba ulipwa after 6 months
Mimi nikemboi 4 years but mambo mengine mi husikia tu na watu sijui kama ni ukweli ama nikuhalimbia jina madalala, coz dalala wetu nimtu huwa na adabu sana nyumba huwa tunalipa 1k na ukishalipa hivyo unapewa mpaka chakula for 6 month na unakula vizuli sana mungu ambariki dalala wangu na huwa anahakikisha umeenda job
Madalala wengi wanatesa watu sana
Huyu alikua akiuza waschana before aokoke...alikua dalala gaidi saana...vitu ameongea zote ni mambo amefanyia waschana wa watu...
@@starzynofficial9809 kwa hivyo yuafanya mambo yale ashawai fanya, alafu ana ata haya anaomba msaada anapeana namba yake
@@fhhfd8449 exactly saudi ina pesa ukitumia akili unaeza kua millionaire...huyu alikua gaidi kutaka pesa za haraka...nothing comes easy...kuja kwa page yangu uone vituko za gulf
@@fhhfd8449 Ata skumaliza kuskiza naiba msaada yanini Sasa???
Just an observation many of us who love Tuko cant understand the language. So that we can follow the stories cant you please ask some of the questions in English we would be very gratefu
We would be very grateful😡 other than the language barrier you are doing a great job thank you👏👏
The "cc" button is on the top right corner before the settings button.
@@annemariecharlesedmund5653 subtitles are on ..late reply
Kenyans government should do something. Wakenya wanawezaje kutesa wenzao
Mimi nilibehave nikatoka kwa amani 2014-2016
😂😂😂😂😂thank God
Mimi wakenye wamenivunja moyo sana kuwasaidia...nilimsaidia dada mmoja nikampeleka nyumba nzuri akaekwa vizuri matokeo yake akawa anapiga picha nyumba ya watu akisend whatsapp pia akajipiga picha za uchi kumsendia mpenzi wake ambae yuko hapa hapa arabuni ..akanitia aibu sana sana wakenya wNa tatizo la kupenda wanaume. Wanapenda mabwana. Huyu dada anasema ukweli kabisa.
Is anyone listening? Government agencies should work with the jail offices to help innocent kenyan girls. This information should not go down as useless. The embassy should work for kenyans. The lady is very sober and thus believable.
Nafaa Kuitwa ni Waambie ukweli
This lady as talked the whole truth Saudi Kuna types mingi sana za watu wenye walikuja kufanya kazi Kuna watalii na WA biashara zingine so ni wewe mwenyewe ujijue na ujue ulikuja peke yako na chenye kilikuleta mwenye maskio na askie ushashauri yote mummy pea pressure pia ni mbaya sana
That's how gulf is like walai tena
Kawira you have South Indian features..
💗❤️💗❤️ People say that a lot.
Maybe it's southern cushitic like Carrie Wahu
@@thedante7722 waah
Anita mama kanisa this lady l respect her alot .
Thank you
I like the interview
Thank you so much for watching
Anita unasema ukweli,dadangu dalala wake alimtumia vibaya sana kila mwezi alikua analipa 700 sar na kufanya shopping
Dada umesema vizuri
Naweza waambia Wasichana au vijana wanataka kwenda Saud au sehem nyingine, ni bora ukiwa bado uja ondoka, piga picha passport yako sehem yenye details zako piga picha sehem ya muhuli wa visa, jitumie kwa È mail na baadhi ya ndugu zako ukifika huko piga picha mkataba wako watumie ili siku uko wakikugeuka basi utaweza tumia picha uliyoweka kwa è mail kukutambulisha
Tuko c mnapenda moshene ya Saudi weee
True embassy is doing wrong sana nkt , wanaignore kabisa.
Mtumishi wangu nakuona
Tulikimbia Saudi tukidhani tumefika tukaacha watoto na bwana, aki dunia haina huruma, mabwana wakaoa, tuko single upto date 😭
Sorry Mungu atarejesha ndoa yako... Jipe imani
Woiyee 😭😰
Am in this but God will restore our marriage
Jaman pole mm nlikua passport yangu bado miezi minne nauliza naweza kurenw huku ama plz kama unajua nijulisheni nitafanyaje
Ukweli mtupu Kenya govt yafaa kufuta embassy yote ya saudia.Hiyo embassy imelala usingizi sana
🥰🥰
Hawasaidii kabsaa wallah
Kenyan embassy in Saudia for me is the only problem if you ask me.
Hi
life is a battle ground
Tamaa iliua fisi 🐆
Kiswahili cha dada huyu kimebobea👌👌
Pole mami ni hali tu
Where is our government sually ? Why are women's suffering like this? Kenya kuna pesa lakini corruption wanakula wenyewe wana ubinafsi ,our leaders sually? Right now arap moi analala na hatawai amka na anamashamba mingi sana but kitu surprisingly kuna mtu mahali ata aquater aca hana, and we choose them to serve us ,
THEY OPERATE BROTHELS IN SAUDIA
Ndio maana dalala wengi wanaishi saudia miaka mingi bila kitu juu ya pesa haram
Anita umesema ukweli uku tabia ndio kusema na maombi
Weeee kazi ziko nnje wacha kundanganya kama mtu ni malaya ni malaya but huwezi nipa mwanamme na kilazima
Jeddah please connect
2012 salary was 17600 saa hii around 27 to 30
True
16800
East or West saudi is the best 👌...
🤣🤣🤣🤣
You can say that again
Heheee the real truth...saaii ni SAA saba na tuko out na hawaoni kama ni issue...n they expect SAA NNE ukuwe on...madoggy
Mimi ni 4:00 am sijalala and they expect mi 10:00 am to be up hizi ni shetani za watu
😂😂😂I thought I was going through this alone 🙄😏Wanasinyaa Hawa watu fr mi najuta
800 riyals wakati huo ilikuwa Ksh.17000
Hivyo ndio Huwanga mnadanganywa
Very true.But all in all life goes on
Usha fika huku🥰
Alhamduliah
Aty apigane na wao...Huyu ni boxer?
Kawira nitafte pia niko na story ya lebanon
amesema ukweli.
Si lazima huishi na wanaume ukiwa njee kuna wasichana huhost watu as well
Wengine badala wafanye kazi wanashinda kwa mtandao 24/7 ati wanahubiri
Nowdays hakuna cha boss kuchukua passport airport, passport mwenyewe ukaa nayo, yangu ninayo
Uko lucky
Kuna wengine wanachukua
Ma boss hawafanani wengine huchukua na huwezi kataa nayo
Wacha uwongo...majority they take!
@@jaymwinyi6957 yangu walichukua but nilikemboi nikaawachia, alafu niwajinga huwa wanachukua passport ya mtu wanasahau ukitaka kurundi warundi tu ata bila pp
Kuna kakitu kanapita kwa wall
Mende
@@carolinemumo683 😂😂
We must learn to use money properly if not so.. money will use us.nkt..8 yrs with nothing....! Sad story.
If you're run away here without principle utarudi home bila kitu
ghai am shocked 😲 eti alieka cereals akagawa stock ikaisha😱God have mercy 🙏🏻
I know her personally ...she bought a land abuild herself a big house ...she also have kids she was taking care of..alafu pesa ni maua ...huwa inanyauka ..don't judge
Tu vumilie hapa kwetu hats k
Where is her utube link
Ni mimi hapa thank you
@@chrissmutanga8909 okay sweets
Can we have your show subtitled in English. Not everyone understands your language
Umenena ukweli fungua watu macho wengi wanaenda Saudi with wrong motives thus y they end up in the coffin,some don't know the laws and traditions of Saudi Arabia you end up getting caught up into trouble,my dear sister who are going to Saudi do your research usifurahi tu kupande ndege haujui yatakayo kupata.
How can I get you guys coz I have a story
Please send me an email to the one pinned on the comment section.
Kind regards
Yvonne.
This woman is to the point.
no excitement no nonsense.
This is the brain that can make it of saudi alive.
Pongezi mwana hammam😘
But wacha niseme msilaumu madalala wengine wanatoka kenya wakiwa malaya sasa wakifika huku hawatulii kwa kazi wanasikia tu wakiwashwa ma kuma,nilikemboisha msichana mmoja nikampelekea dalala wangu, akatafutiwa kazi kumbe hakua nahaja na kazi kuna mwanaume alikuwa wamepatana kwa facebook alipopelekwa kazi akatoroka akaenda kwa mwanaume sahii yuko na mimba na akimpigia simu inachukuliwa na mwanamke,
Ukweli kabisa nimeona mwingine hapa ako na Sudan 🤔🤔🤔
But hakuna mtu hupewa mwanaume cha lazima since kila mtu ako na akili yake timamu na kazi zipo nje
Exactly siz, akili yao ndio utafanya ukubali
@@elizabeth-titish 💪
True
Si madem pekeake wanateseka watu...wanakupromise pesa flani alafu hawakupei,.nko tabuk najionea mengi
Pole mumy
Pole sana kaka.
@@YvonneKawiraTukoAsante
@@chrissmutanga8909 Asante
@@Rajab-Raj you can share your experience on my email on the pinned comment.
This WOMAN should NOT be GIVING ADVICE on ANYTHING.
Why?
@@kadzo6614 not educated.
@@tuforu4 ju ni education inapeana advice??
Kiswahili kweli
Umesema ukweli upande wa embassy aki awasaidi
Vipi Anita ulipitia depotation ama?I hop watu wamepungua huko..nilikua huko from 25th April hadi May 22 ndo nlisafiri niliacha watu mob hapo
Nilijilipia ndege
@@chrissmutanga8909 how
@@chrissmutanga8909hi gal
Kemboi wengi ndio wanaokoanga hao wadada wanafungiwa wananyanyaswa na kupigwa kwa waajiri wao kwa kuwapiga picha na kuwapost kama ni mkenya au mganda authority inawarescue sasa huyu kuona mwenzake amepigwa akaamua kuwacha kazi sasa alimsaidia na nini???
Why do you people keep on going over their .