Bi Msafwari: Siri ya Ndoa
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- .
Bi Msafwari: Siri ya Ndoa
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
citizentv.co.ke
/ citizentvkenya
/ citizentvkenya
plus.google.co...
/ citizentvkenya
Mwanaume sio vizuri kutowa siri za mke wako za ndani .
Enjoying every bit...
Asante kwa show iko poa sana
Wengine wana zani kutongoza mchepuko ili ampende nikumzungumuzia siri za mke wake uyo ni ujinga
Haaaa nimepata kitu cha kujifunza hapo👍👍👍
Thnx kwa hayo maoni
Hapa ndipo mimi huwa napata mawaidha juu mamangu alienda binguni kukaa na mutuumba🙏
Wanaume wengine wachukua maneno ya mkewe anaenda kuwambia rafiki wake wa kiume ,hao rafiki wa kiume nao wanawaambia wake zao ,hao wana wake nao hawata nyamaza yatamfikia mwenyewe .(Ndoa inazidi kusukwasukwa!)
The mapacha's and their mum , mkalla show huwa moto kama pasi comedy courtesy of kanze
Siri zisitolewe nje... Wasuluhishe shida zao wenyewe... Wanaume wanafaa kuajibika
mkala yuko sawa kwenye kujadili, mkewe amepata mume muelewa aki🙌
Wengine wana.peleka kwa familia zawo kila kitu cha ndani
😁😁😁😁😁 c hawajaoana bad subir waoane,mapenz ya uchumba ni matam sn lkn co ya ndoa
Pongezi kwa wana citizens
Waaa...ati nisimnyoshee kidole cha lawama mwanaume na amekosa,ataujuaje anakosa?
Yvonne Musimbi tumia hekma na umzungumzishe kwa upole na ataelewa kuwa amekosa na kama amekosea kweli ataomba msamaha.