Hongera sana mdogo wangu Devotha umeongea vizuri sana nakumbuka ulipoondoka Tz ukiwa mdogo mno na nimekuwa unakuwa na hata kusimamia familia yake yaani haswa watoto wako wow am Happy for you darling
Kiulaya ukiachana na mtu ni kubeba nguo na unasepa vitu vya ndani utanunua mwenyewe aiseee ni nomaaa sana true say kujigawa Mara mbili ulaya na Africa ni nomaa tuchague moja tu❤❤❤❤❤❤
Ndugu Zangu wanawake wa kitanzania ninaomba msiwe wavivu wa kufikiria na kupangilia maisha yenu. Soma ujipaitie elimu na maarifa. Fanya kazi na ujipatie kipato kuendesha maisha yenu. Mkazo usiwe kutafuta wanaume wa kizungu ili upate mteremko. Fanya kila kitu ujitambue
Yaani Devotha hongera sana mwanangu,huna majivuno watu wanakaa Ulaya mwaka 1 kuongea Kiswahili shida sijui wangekaa miaka uliyo kaa wewe ingekuwa je safi sana binti yangu uzidi kinario🤝🙏
Huyu dada yuko Smart sana,mpole mwenyewe, anajielezea vizuri yaani nimeelewa sana hii interview aiseee,hongera sana devota umekuza watoto wako mwenyewe leo unaitwa bibi,Mungu nisaidie nione wajukuu zangu na mimi🥰🥰🙏
Asante Sana Devota na Shena. Yaani video imenitia moyo sana hasa kusikia hata wa umri mkubwa tunaweza kufanikisha wenza. Mimi nina 55 years na watoto wakubwa. Nimemaliza kusomesha 2 university wa mwisho first year University next year. Sasa natafuta mzungu wa kuzeeshana naye. Yaani nipo dating sites ila ndiyo sijafanikisha. Naongea nao hakuna ambaye ame amepropose ambaye ninampenda. Nilimpata Mromania Ila kwa kweli alinipenda ila alikuwa na negative life mno. Yaani kitu kidogo tu anajiona inferior mno. Nikashindwa. Ninaye Mromania mwingine na wengine tu tunaongea kirafiki ila ndiyo sijui tunafikia wapi. Naombeni connection jamani nimpate mwenzi Ila tu niwe mkweli lazima ni mzungu. Nina maisha yangu ya kujitosheleza kiasi chake Ila mume bado.
Waooo❤ dada shena naomba kuuliza ili upate makaratasi ya kukuruhusu kufanya kazi ni mpka uishi muda gani niko Spain na miezi tu7 naishi na masista watawa sasa sina kibari cha kuniruhusu kufanya kazi ila na kipande cha mwaka mmoja bado miezi4 ni renew sasa sijui nitapata karatas zakuniruhusu kufanya kazi au laa nisaidie kunipa elimu.asante❤
Hongereni sana mazungumzo ni mazuri mno ni darasa. Mgeni huyu Devotha anajitambua sana na busara pia the way she talk inaeleweka. Amejitunza na anavutia. Maisha mema kwenu. Asante muongoza kipindi umetisha.
Aisee ni kweli dada watu hawana habari kabisa kuhusu muda kuutunza , na tukiedelea hivi Kuna nchi jirani zetu watatuacha mbali sanaaa, itajirudia Ile hadithi ya Tanganyika na china kuwa sawa 1961.
Kuwekeza ughaibuni Unatakiwa uwe na pesa nyingi Wakat, ukiwekeza tanzania milioni 30 ni mtaji mingi Kuinvest inatakiwa uwe sehemu husika ili uweze kusimamia biashara yako. Kuhusu mifumo hilo ni kweli wafanyakazi wenyewe wananjaa hawataki mifumo iwe vizuri. Ili waendelee kula. 6:27
Inaonyesha uyo dada baada yakuja Tanzania inaonyesha alipigwa husda na watanzania ndomana akajikuta kaghaili gafla...Yan kiufupi alirogwa uyu mama ..kwenye swala la mahusiano walimuonea wivu walimroga mfarakano ndomana walifarakana bila sababu..pole mama
Jamani mm ctamani mzungu wala mwanaume yyte, niliingia kwenye mapenzi nikiwa mdogo sana nina watoto watano, kwasasa mwanaume ninaeishi nae ananiendesha anavotaka nikisema nitoke umu naogopa kama wanangu watateseka na watapoteza ndoto zao nisaidieni jamani nimechoka nifanye nn mimi
wala usijali dada devota hizo zingine ni mbwembwe tu sa sisi wabongo isikuumize kichwa.ila kiswahili chako nikizuri mno kinaeleweka sana bila shida na ndio hichohicho tunacho ongea sisi.
Kinachowaponza wanawake hua mkiamua kufanya lenu hua mnakulupuka hamkai na kufikilia kwanza kama wanaume ndo maana hua mnakwama....sema uliporudi Tz ulipata bahasha mwingine wa kibongo alivyokupelekea moto ukaona mzungu tena hafai...wanawake chukua huu ushauli..ukipata faida usisahau kukumbuka mtaji.....wanawake wakipata faida ..wanasahau mitaji
Unajua dada Da devota nyie mlioko huko abroad msipo sema, sisi huku tunajua ndio maisha kumbe tuko nyuma kimaendekeo,nyie ndio wakufungua na kuishauri serekali itoe ivo vikwanzo vya kimaendeleo vinafanya kudumaza uchumi wa nchi
Duuh nimependa sana jinsi Devota alivojielezea,ukweli mtupu👍🏻👏🏽naendelea kujifunza .
Nilikuwa najiuliza mbona km namjua kumbe ni sister Devota aliyekuwa mke wa marehem James Dandu...She's very cute ❤
Alaaaaah😮😮😮ivi ni huyuu eee
Interview nzuri jamani nimewapenda bure devotha ameongea vizuri nimempenda bure tunashukuru kwa ushauri pia.
Ana busara na akili, ❤the best interview. Nimefurahi sana
Super Interview Hongera sana kwa kutuletea watu wanaongea point na reality, Nipo Germany yaani kaongea points mpaka basi yaani anawajua wazungu sana,
❤
Afadhali sis devota umenipa moyo na mimi naingia online, nilizani nimezeeka 👍👌👊😃
Una miaka mingapi
Kweli kabisa Devotha hata mm husema hivyohivyo kuwa anything can happen anytime.Na usiamini mtu ghafla tu.😊
Story taamu. Thank you both
Kiswahili kipo kizuri sana kwa mgeni wetu Devota hatakama amekulia nje. Big Up sana.
Tena ameingia Sweden yuko mtoto lakini anaongea kiswahili fasaha. I lov her attitude❤
Hongera sana mdogo wangu Devotha umeongea vizuri sana nakumbuka ulipoondoka Tz ukiwa mdogo mno na nimekuwa unakuwa na hata kusimamia familia yake yaani haswa watoto wako wow am Happy for you darling
Jamani very nice Devotha Mrs James mtoto wa dandu
Alinikumbusha mbali sana. Katika msiba wake mimi nilishiriki kama mzee wa kanisa pia niliongoza ibada pale Diamond Jubilee.Debota Mungu akutunze.
mdada mzuri sana anaongea vizuri
Story taamu. Thank you both
Pole sana kumpoteza baba watoto .
❤❤🎉🎉🎉Ahsante kwa Elimu Sis Devota. Mm niko USA. Naomba namba yako Shena
Kiulaya ukiachana na mtu ni kubeba nguo na unasepa vitu vya ndani utanunua mwenyewe aiseee ni nomaaa sana true say kujigawa Mara mbili ulaya na Africa ni nomaa tuchague moja tu❤❤❤❤❤❤
Ndugu Zangu wanawake wa kitanzania ninaomba msiwe wavivu wa kufikiria na kupangilia maisha yenu. Soma ujipaitie elimu na maarifa. Fanya kazi na ujipatie kipato kuendesha maisha yenu. Mkazo usiwe kutafuta wanaume wa kizungu ili upate mteremko. Fanya kila kitu ujitambue
Maneno mazuri sana 🙏
Hello Hello
Sure🎉
That's very true, you nail it. Maisha popote, jitahada zako tu.
Yaani Devotha hongera sana mwanangu,huna majivuno watu wanakaa Ulaya mwaka 1 kuongea Kiswahili shida sijui wangekaa miaka uliyo kaa wewe ingekuwa je safi sana binti yangu uzidi kinario🤝🙏
Jamani Dada haringi pamoja na kukaa mda nje ,sio Safi Sana ,bakukubali sana
Great interview na madame devitha ,nimejifunza
Huyu dada yuko Smart sana,mpole mwenyewe, anajielezea vizuri yaani nimeelewa sana hii interview aiseee,hongera sana devota umekuza watoto wako mwenyewe leo unaitwa bibi,Mungu nisaidie nione wajukuu zangu na mimi🥰🥰🙏
Asante Sana Devota na Shena. Yaani video imenitia moyo sana hasa kusikia hata wa umri mkubwa tunaweza kufanikisha wenza. Mimi nina 55 years na watoto wakubwa. Nimemaliza kusomesha 2 university wa mwisho first year University next year. Sasa natafuta mzungu wa kuzeeshana naye. Yaani nipo dating sites ila ndiyo sijafanikisha. Naongea nao hakuna ambaye ame amepropose ambaye ninampenda. Nilimpata Mromania Ila kwa kweli alinipenda ila alikuwa na negative life mno. Yaani kitu kidogo tu anajiona inferior mno. Nikashindwa. Ninaye Mromania mwingine na wengine tu tunaongea kirafiki ila ndiyo sijui tunafikia wapi. Naombeni connection jamani nimpate mwenzi Ila tu niwe mkweli lazima ni mzungu. Nina maisha yangu ya kujitosheleza kiasi chake Ila mume bado.
Nakupa moyo mama naamini utafanikiwa kumpata wa kezeeshana nae, Mwenyezi Mungu ni mkubwa sana
@@lydiajohn6865 my big Amen to you. I keep on praying to God.
Huyu dada hazeeki jamani toka nimfahamu
Ahsante sana dada devotha kwa kutupa moyo❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Well done Devota
Devota ubarikiwe sana mwenye sikio kasikia ❤❤❤
My dada Devota maua yako upewe🎉🎉❤❤❤
Devote anaelewesha na anaongea point very educative. Kudoz to Devota
Waooo❤ dada shena naomba kuuliza ili upate makaratasi ya kukuruhusu kufanya kazi ni mpka uishi muda gani niko Spain na miezi tu7 naishi na masista watawa sasa sina kibari cha kuniruhusu kufanya kazi ila na kipande cha mwaka mmoja bado miezi4 ni renew sasa sijui nitapata karatas zakuniruhusu kufanya kazi au laa nisaidie kunipa elimu.asante❤
Hongereni sana mazungumzo ni mazuri mno ni darasa. Mgeni huyu Devotha anajitambua sana na busara pia the way she talk inaeleweka. Amejitunza na anavutia. Maisha mema kwenu.
Asante muongoza kipindi umetisha.
Asante sana nimependa dada yupo vizuri Asante
Mgeni wa nguvu, full madini ❤
Ila kiulaya pia kuzungushwa utazungswaa sana kuhusu wanasheria ni noma devota
DEVOTA! Shena umenikuna sana leo❤
Hapo kwenye mifumo ya huku ni shida. Kwa kifupi tunapotezeana muda vibaya mno. Everything is slow in Tanzania
Aisee ni kweli dada watu hawana habari kabisa kuhusu muda kuutunza , na tukiedelea hivi Kuna nchi jirani zetu watatuacha mbali sanaaa, itajirudia Ile hadithi ya Tanganyika na china kuwa sawa 1961.
Kweli unachokisema
Hongera sana Devotha
Jaani dada yetu kaongea ukweli kabisa
Lovely
Dada anaongea vizuri Sana shena hongera kipindi kizuri❤❤
Yaani nimefurahi sana kwa hii interview umenipa nguvu na fikra mpya naanza upyaaaa🙏❤️
She s Toxic!wracked her own Home nd kids Family 😢
An other Modern Woman 😢
Safi sana unaelewesha vizuri🎉🎉
Mafanikio ya mwanamke hayategemei aina ya mwanaume aliye nae ila mafanikio ya mwanamume hutegemea aina ya mwanamke aliyenaye
Hii ni full mass nondo.
📌📌📌
Nzuri sana
Beautiful with brain ❤❤❤
Nimefurahi sanaa kumwuona
Nampenda sanaaaa dada devota jamani ❤❤❤
She is amazing 🔥🥰
Jamani devota naomba no zako kama hutajali
Jamani mbona m'qute hivyo
Jamani sio ulaya tu mi sijaolewa toka mdogo nilikuwa bize. Mpaka najikuta. Mtu mzima Sina mme ,sikujua mitandao jamani
Kweli kabisa Maneno yk
Nyieee Kuna watu Mungu kawapa dongo Fulani hvi aweeehh, hata sikuwaza kama kafikisha 40th
Yaan utafikili nalingana nae😅😅wakat ananizaa kabsa
Loved it ❤
❤❤Shena ongera Sana unajitaidi Sana kutupa mambo mazuri.
Yes look so young and beautiful
Na kuomba Mungu wengine wanabudu mashetani😂
Apo kwa wasweed kuwa Charming nimestuka 😊au mi ndo sijui kuwaelewa
Kwa waswidish ni kweli hicho kitabia wanacho tofauti na mu US au Mnethaland
Kuwekeza ughaibuni
Unatakiwa uwe na pesa nyingi
Wakat, ukiwekeza tanzania milioni 30 ni mtaji mingi
Kuinvest inatakiwa uwe sehemu husika ili uweze kusimamia biashara yako.
Kuhusu mifumo hilo ni kweli wafanyakazi wenyewe wananjaa hawataki mifumo iwe vizuri.
Ili waendelee kula. 6:27
Yes you look so young and beautiful
👏👏👏
Inaonyesha uyo dada baada yakuja Tanzania inaonyesha alipigwa husda na watanzania ndomana akajikuta kaghaili gafla...Yan kiufupi alirogwa uyu mama ..kwenye swala la mahusiano walimuonea wivu walimroga mfarakano ndomana walifarakana bila sababu..pole mama
Nice interview
Hata mimi bado naweza kufanya kazi huko.
Hapo mzungu mtagombana kama hujishughulishi mmmh! atakuhudumiaa wee ikifika mahali akichoka utajutaaa. Ni bora kuwa na kipato chako hutanyanyasika
Hongera ww ni mrembo sana
🔥🔥🔥🔥
Nimefurahi kupata chanal yako
Sauti
😅😅😅Mm napenda Sana tz labd ulaya nikatembee na kurud kama now hv but the Ed of the day narudi home LA sivyo nitakuwa nakuja tz Ata mara tano kwa mwaka
Nitumie hafuhamsini nina shida
Naomba nimbari ya shena
I remember the hub ulijitadi sana ila pole sana moshi pagumu sana kibiashara
Huyu dada ni ndugu yangu kabisa ni mamangu mdogo babake mdogo alikua mkuu wa gereza la karanga Kilimanjaro
Wakwanza like zangu jamani
🤝🔥🔥
Shena yule kaka umalizie stori yake.part3
Tayari dear
Naweza je kupata live show zako
+4367764790884
Aki nimesikitika jinsi ulivyoachana na mumeo.Wabongo walikupepefushia mumeo.
Yani wewe Dada toka kwenye video ya wimbo wa usiusemee moyo ya Lady Jaydee. Uko vile vile mrembo
🥰🥰
🎉
Hi there ❤❤❤😂
❤❤
Naishi sweden pia lakini wa sweden ni wana nature ya kinafiki
Tafadhali naomba kionyeshwa jinsi ya kiweka profile na kilipa mimi nko Kenya
HATIMAE TUMELETEWA MTU MWENYE AKILI TIMAMU 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
😂😂
😅😅😅
Dada devota mimi niko France nawoba namba ya ko tafazali, asante nakutakia mchana mwema
Sis shena hivyo una watoto?
Eti swahili lugha yake ya 3!
Swedish, English ndipo Swahili duh!
😂😂😂😂eti kiswahili namba 3😂😂ndio tatizo la ngozi nyuesi kassation mzungu
Mara kitog tunakubari kam tuko nawajugu
Online unapata mme kweli au
Wooow
Jamani mm ctamani mzungu wala mwanaume yyte, niliingia kwenye mapenzi nikiwa mdogo sana nina watoto watano, kwasasa mwanaume ninaeishi nae ananiendesha anavotaka nikisema nitoke umu naogopa kama wanangu watateseka na watapoteza ndoto zao nisaidieni jamani nimechoka nifanye nn mimi
Endelea kusikiliza madini kuna siku utapona majeraha uliyonayo,na Mungu akufanyie wepesi
Wewe mpumbavu fia hapo utatupa mrejesho
@@GetrudaHalinga-mb8sjGetruda😂
wala usijali dada devota hizo zingine ni mbwembwe tu sa sisi wabongo isikuumize kichwa.ila kiswahili chako nikizuri mno kinaeleweka sana bila shida na ndio hichohicho tunacho ongea sisi.
Kinachowaponza wanawake hua mkiamua kufanya lenu hua mnakulupuka hamkai na kufikilia kwanza kama wanaume ndo maana hua mnakwama....sema uliporudi Tz ulipata bahasha mwingine wa kibongo alivyokupelekea moto ukaona mzungu tena hafai...wanawake chukua huu ushauli..ukipata faida usisahau kukumbuka mtaji.....wanawake wakipata faida ..wanasahau mitaji
Jamani mimi naomba kuelekezwa.unafunguaje harafu malioo nishingapi.
Download appl kwenye sim ,unalipia kutumia card yko
🥰👏
Kwa nini ulimuacha
Ivi madam shena mt anaweza kuingia online y dating ingali hajui kingereza
Jifunze hata kidogo,utawasiliaje sasa.
Unaingia ndio mbona hata hao wazungu nao English hawajui ila vzr ujifunze kido kidogo
Mashaallah ❤
Hello my dear I will like to talk to you but I don't know how
+4367764790884
Unajua dada Da devota nyie mlioko huko abroad msipo sema, sisi huku tunajua ndio maisha kumbe tuko nyuma kimaendekeo,nyie ndio wakufungua na kuishauri serekali itoe ivo vikwanzo vya kimaendeleo vinafanya kudumaza uchumi wa nchi
Wanawake mnaolingia shep, mnajidanganya,
Kulikuwepo na tv zina chogo na shep, saivi ziko wapi?
Mimi niko pale nawangalia
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Nice Interview
❤❤