@@Feisal-hamad kwa mtu anaejua soko la sanaa ya uigizaji likipofkia sai bas ashaelewa namanisha nn bro,cz simanishi aibu ya kikabila au kijamii yetu bt namanisha aibu ya soko la uigizaji kaka,na pia usilinganishe soko la uigizaji wa Indian movies &Chinese movies,hao wenzetu walishatutangulia zamani sana kisanaa bro,don't compare ourselves wth them and that's why tunaambizana ili tufike mbali kisanaa,bt kama ujaelewa au imekuuma pole tu bro bt I hope wanaoelewa washaelewa na walio na target za kufkisha Jimbo Media mbali pia washaelewa📌
@Feisal-hamad mi mwenyewe pia mdigo bt najua kwnn nasema ivo,coz kuna content za kuonesha asili,desturi na tamaduni zetu apo lugha zetu lazma tuzitumie hope bro Bujrah anafaham na ashafanya sana ivo bt content kama hiz za kuelimisha jamii zote ni vzr kutumia lugha ya taifa na kudokoa maneno flan ya lugha zngne kama anavofanya mzee wetu Majid npoa sana 🫡🫡🫡👑👑 👑
Wording and approach might have differed but as long as we share the same course nnaamini mamlaka ya jimbo media will check into your concern,otherwise,thanks for finding it imperative to explain
😂😂😂😂😂 kweli kabisa what's comes round goes around,safi sana jimbo TV comedy bigup.
Mapema mapema ndio best leo niko wa 3 km jina langu nipeni likes plz🙏🥰
Bujra ujumbe huu ni wako, beka atumie lugha ya taifa huu ukumbi una watu wengine kabila tofauti
Bujra ukikosa ndani ya hii nyumba lazima kunuke😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂harakisha part 2 plz Bhujra # Beka# Mzee majid## madikodiko# what goes around come around.
😂😂😂😂
Beka acha uongo nyumba ya nduguyo wasema ni yko😂😂😂😂😂
❤❤❤❤❤maskini kaambae ni kweli beka cjapendaa
Nimecheka mzee majid ampiga beka kichwa hongereni sana nawapenda wote beka nakupenda unavyongea kidigo
Uyu Beka simpendi mungu anisamehe wallah Astaqafiruallah
Jamani mpende
Ni talatq yake usimchukie sivyo alivyo
@@kadijaa7771 Mwanaume hawi ivyo wallah.. naaphunguze 😥
@@sulmanswaleh8459 Aaaah weee😂😂😂ye anaulimi avi nnini
Jaman nimelia mm kama kwel vile 😢😢😢babu wawa2 maskn
Pole mzee majid
Kwan vp uyu jamaa ajui kiswahil au,hii business yaenda nationally &Internationally but mwatuaibisha kaka Bujrah📌📌📌
Kama kidigo chakutia aibu unsubscribe please bro,sisi twajivunia kuwa wadigo na kidigo chetu mbona wachina na wahindi wakiongea hamsusi
@@Feisal-hamad kwa mtu anaejua soko la sanaa ya uigizaji likipofkia sai bas ashaelewa namanisha nn bro,cz simanishi aibu ya kikabila au kijamii yetu bt namanisha aibu ya soko la uigizaji kaka,na pia usilinganishe soko la uigizaji wa Indian movies &Chinese movies,hao wenzetu walishatutangulia zamani sana kisanaa bro,don't compare ourselves wth them and that's why tunaambizana ili tufike mbali kisanaa,bt kama ujaelewa au imekuuma pole tu bro bt I hope wanaoelewa washaelewa na walio na target za kufkisha Jimbo Media mbali pia washaelewa📌
@Feisal-hamad mi mwenyewe pia mdigo bt najua kwnn nasema ivo,coz kuna content za kuonesha asili,desturi na tamaduni zetu apo lugha zetu lazma tuzitumie hope bro Bujrah anafaham na ashafanya sana ivo bt content kama hiz za kuelimisha jamii zote ni vzr kutumia lugha ya taifa na kudokoa maneno flan ya lugha zngne kama anavofanya mzee wetu Majid npoa sana 🫡🫡🫡👑👑 👑
Wording and approach might have differed but as long as we share the same course nnaamini mamlaka ya jimbo media will check into your concern,otherwise,thanks for finding it imperative to explain
Thezea kizungu cha mzee majid wewee😂hadi rahaa ❤
Mbuzi na chui ndio wamebaki kwa nyumba Sasa 😂😂😂
Likes zangu am the first one to comment
Beka anatukera na Hiko kiluga chake hatufahamu bwanaa!
My people ❤
Beka utia aibu jamani 😂😂😂😂 adabu huna kabisa mzee wanimtimuwa mchana kweupe 😂😂😂
Beka ww n 🔥🔥
Duuh bujra mtoe Bekah ana gubu sana
Mzee majid kimombo anacho beka zii 😅😅😅
😂😂😂 kazi nzur ila hyu mzee namhurumia Beka hafiki mbinguni 😅😅, part 2 twasubir
Like kwa mzee majid
Ukiacha mkeo mkono tu,kuibiwa uko!😂😂😂 wanaume mpooo???😅#kazi safi jimbo❤❤❤
Beka mungu yuakuona sipoa maskini
Aki beka wamtaka mzee majid
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ni maji na umeme ndio vimeachwa
Beka uchipata msicha wakugomba chiswaili badilisha lugha😅😊
On fire😂😂😂
mzee gakakushinda ukaambwa piga mitu😂😂😂
Mzee majid kanihuzunisha beka mkali!!
Huna haya wala hujui Vibaya utakujajua siku Kakayako atakapo Rudi ndio uwambie kuwa nyumba ni yako nae hame na mkewepia
Gd jb beka nkazi lakin ingekua kweli wallah ungelaniwa unawafunza wengi juu Kuna watu wengine wako hivo kweli
Phia tiribe
Lete part 2 kaka
😂😂😂😂what goes around comes aruond ofwiii
Part 2 pliz
Beka wachakudanganya msichana wawatu huna kwako wewe ndie unaelelewa na kakako
Mie nikafiri ni mke wa kaka part 2 😔lkn😋 pambee tuu
Huyu anae ongea kilugha aongee kiswahili sisi wengine tunakosa kufahamu tunapenda movie zenu nzuri lakini samahani
Daaah beka jmn 😢😢😢😢umeniliza wallah
❤🔥🔥🔥🔥
Mzee Majid kichwa hicho 😂😂
Weee mnyau akauka panya akatawala😂😂😂😂😂
🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Beka😂😂😂
Sikupenda beka alivyo mfanya mzee majidi
Beka acha kudanga ya mwanangu
❤❤
😂saf sanaaa
mie beka maneno yake namfahamu kidogo kidogo sababu mengi yafanana na kirundi 😅😅😅hupenda hasa akishaanza lugha yake 😂😂😂
Beka ongea kiswahili 😢😢
Beka siyo vizuri
😢😢😢Masikini babu atia uruma aki😢😢
Hila beka ww pepo utaisikia tu 😂😂
Eti akaarishe na maskini ayae😅😂😂😂
Jmni watuliza ss
Maskini mzee majidi kafukuzwa😢
😢😢maskni beka sio vizur ivo😢😢next plzz
Vipi Ile ya BAROBARO LANGU mbona sielewi ilishia wapi😢
Duh,, Beka ana roho mbaya saana
Nimaingizo sio kweli
Mziki wa nini jamani
😅😅😅😅😅fahali wawili wabakia
Beka punguza kidigo😂
Baro baro langu iliishia vp?
Mzee majid pambee
Hivi hizi like mnazo dai mlicheza part gani kwa hii movie
Wee beka😂😂
😂😂😂😂😂❤❤❤
Ekeni ya pili ama nije skimu niyione life😂
😂😂😂😂😂
Sehemu ya pili inatoka lini?
Wa hamsini na nne bc nipeni ata izo kumi 😂
😩😩😩😩😩😩🤔
Duuh acting zanjina😢😢😂
Mzee i wonder sleep here and you die here 😂😂😂😂
😂
Huyu mwengine hajui Kiswahili wala kizungu au ni vipi?
Lakini beka wewe
Hata kama ni acting lakini director beka kumuita mzee majid ngombe that's not sawa come on
😂😂😂😂😂😮😮😮
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂