JAMAA WAMEBUNI KIVUKO KWA MADUMU NA KAMBA, KINABEBA ABIRIA 30 NA PIKIPIKI 6

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лис 2024
  • Kutoka Bariadi mkoa wa Simiyu kuna hawa vijana walioamua kuokoa jahazi kwa kuvusha abiria na mizigo kwa kutumia chombo walichokibuni kwa madumu na kamba kwa kuvuta kwa mikono yao, kinauwezo wa kubeba abiria 30 na pikipiki 6.

КОМЕНТАРІ • 219

  • @abdallasaleh2303
    @abdallasaleh2303 3 роки тому +17

    Mm nimeipenda vijana wenzangu kujitafutia riski zao Kwa Halali na Mungu awatilie baraka ktk utafutaji

  • @nassorzahranhemed5915
    @nassorzahranhemed5915 3 роки тому +6

    Mtoto wa kiume usipofanya kazi utaolewa❤️❤️

  • @didimhutila8985
    @didimhutila8985 3 роки тому +45

    Mzee baba angekwepo angejenga daraja fasita sana!viongozi wengine pimbi sana. (Jpm)for life.

    • @mrconfidential4425
      @mrconfidential4425 3 роки тому +4

      Mzee umeambiwa kivuko kina mwaka mmoja so piga mahesabu yako hapoo

    • @didimhutila8985
      @didimhutila8985 3 роки тому +1

      Nani apige hesabu sasa?mzee baba chichiemu alifukua na wamemuua, kwani mzee wa musoga si alishasema kama haijafia yeye haifi teja?

    • @didimhutila8985
      @didimhutila8985 3 роки тому

      We ezi za mzee wa musoga ungeweza kuvaa shati la fisiemu kaliakoo?

    • @didimhutila8985
      @didimhutila8985 3 роки тому

      Na baada ya jiwe sie nchi zote tulikuwa tunasalimiwa kwa heshima.

    • @didimhutila8985
      @didimhutila8985 3 роки тому

      Pumbavuuu nyie!tobo la choo kageukia kwenye miziki eti ooohz diamond ulikuwa husapoti &alitaka diamond kuasaporti kwa lipi?

  • @kinyogoli
    @kinyogoli 3 роки тому +48

    naomba namba ya huyo jamaa nataka kumpa ushauri ili asitumie nguvu sana, nadhani watafurahi sana #MillardAyo

    • @noeljosee8384
      @noeljosee8384 3 роки тому +2

      That's innovation , wanatengeneza pesa sana

    • @tabuboone934
      @tabuboone934 3 роки тому +1

      Kweli wanatengeneza hela nzuri lkn ni kazi ngumu hiyo sehemu wangejenga choo na kuweka ndo ya maji kuosha mikono nawakalipiza mtu Ali tumia choo!!

    • @محمدالقايد-د6ب
      @محمدالقايد-د6ب 3 роки тому +1

      Wanaakili Sana jamaa

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 3 роки тому +21

    "Wangefanya nini ikiwa hawaijui kesho yao?" - Mrisho Mpoto
    Wakubwa wanazurura na mashangingi na kupeana zawadi za magari huku wengine hawana daraja.

  • @zomasamweli
    @zomasamweli Рік тому +1

    🤣🤣 ndugu mtangazaji umenikimbusha sana hicho kivuko na Mimi nimevuka hapo mara nyingi Sanaa,,, nilikuwa natoka dutwa naenda gasuma

    • @zomasamweli
      @zomasamweli Рік тому +1

      Like zangu jamani nimekuwa wa kwanza

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 3 роки тому +81

    Hizi ndio habari tunazo zitaka sio kumfuata zari makalioni kamaambaye n mtu waajabu n watoto wake tunataka mambo kama haya

  • @anoldjose7793
    @anoldjose7793 3 роки тому +52

    Hawa sasa ndo wasomi😂😂😂

  • @hassanhamudy6639
    @hassanhamudy6639 3 роки тому +6

    Moyoni adi nimefrai sanaaa......tujifunze kuona fursa kwenye changamoto nasio kulaumu na kutukana serekali Sisi kama vijanaa niwapongeze Sana wapambanaji wenzangu

  • @lucybundala6435
    @lucybundala6435 3 роки тому +12

    Mungu aibarik kazi ya mikono yenu vijana wabunifu

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 роки тому +10

    Ubunifu 👏👏 Bora nipande hiko kivuko kuliko hilo daraja

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 3 роки тому +2

    Safi sana ndugu zangu huo ndio ubunifu wakugeuza fikra akinifu kua Pesa nimeipenda sana hiyo

  • @abdulysaidi7746
    @abdulysaidi7746 3 роки тому +11

    Good idea kwa kweli mngu abariki

  • @cyizamwana2135
    @cyizamwana2135 3 роки тому +1

    These guys are great! Proof of " necessity is the mother of invention "
    Good job Tanzanians

  • @josephinanikwelimdacki3330
    @josephinanikwelimdacki3330 3 роки тому +2

    Asante Mungu kazi aliyo itaka mueshimiwa

  • @zulpherothman6060
    @zulpherothman6060 3 роки тому +3

    Mungu ambariki sana uyo kaka

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 3 роки тому

    Hongereni sana vijana kwa ubunifu mkubwa mlioufanya mmefanyakazi nzuri sana kuliko wale vijana wanaokaa na kukaba watu na kuwaibia Mungu awe nanyi awakinge na hatari zote za mwili na roho.

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 роки тому

    Hongereni sana. Mkiendelezwa mtafanya makubwa

  • @pendokatonge1183
    @pendokatonge1183 3 роки тому

    Mungu awalinde Sana kwa sababu mnafanya kazi na sio kuiba Mungu Awabariki Sana na awalinde daima Damu ya Yesu iwafunike.

  • @vicentfuniture8889
    @vicentfuniture8889 3 роки тому +3

    Hapa ndo pale mzungu anamuogopa mbongo ndo maan anamnyima knowledge Sisi lazima tujivuniye tunaweza hongereni Sana💪💪💪

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 3 роки тому +1

    Ubunifu wa hali ya juu...Bravoo guys!!! Mungu abariki kazi za mikono yao

  • @suleimansultan3333
    @suleimansultan3333 3 роки тому

    Hongereni sana Vijana kwa ubunifu mjitahid muifunge mashine musitumie nguvu mtaumia vifua

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 роки тому +5

    MUNGU 🙏 kaibariki Sanaa Nchi 🇹🇿 yetu Tanzania tuna vipaji ving sanaaaa tatzo vitendea kazi

  • @sakaraboy8951
    @sakaraboy8951 3 роки тому +16

    Ubunifuuuu.......vijana wa kitqnzania,,,,,wakiwezeshwaaaa wanaweza zaid ya hv,...

  • @johnmasanja1762
    @johnmasanja1762 3 роки тому +3

    Waaaoh, hiyo iko good sana, niliwah kupta mke wng na mtoto wng, kipndi unavushwa na mtu, kidogo niende na maji, lakin hii no nzur sana

  • @emmanueljoseph2576
    @emmanueljoseph2576 3 роки тому +11

    Nilipita hapo bila wasi hongereni Sana mliokoa safari yangu

  • @sankofaman4112
    @sankofaman4112 3 роки тому +5

    Safi sana. Hata ferry ya mombasa zamani ilikua ni ya kuvuta kwa kamba.

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 3 роки тому +7

    Vijana kama hawa ndio wanastahili tuzo ya B.E.T

    • @huntgame456
      @huntgame456 3 роки тому

      Dah nimecheka hadi jamaa kageuka ananiangalia

    • @cottonpamba6718
      @cottonpamba6718 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣 mwamba umenichekesha kisenge

    • @tatotato506
      @tatotato506 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @salharamazansuleiman8957
    @salharamazansuleiman8957 3 роки тому +1

    Watanzania wana vipaj jaman mashallah na mbunge ipo siku atavuka badae ikitokea bahat bay wamekufa na kivuko utaon atavyo laan vikali

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 3 роки тому +2

    Mashallah mungu awajaaliye vipaji zaidi

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 роки тому +2

    Ahsante bro kwa kaz nzuri

  • @neemacharles9848
    @neemacharles9848 3 роки тому

    Mungu awajarie riziki yao hongereni sana vijana kwa kuwasaidia wananchi

  • @calisahharoun6346
    @calisahharoun6346 3 роки тому +2

    Big up

  • @severinemabirika2249
    @severinemabirika2249 3 роки тому +11

    Akili ni nini?
    Akili ni kile kitu alichonacho mtu ukiondoa kile alichofundishwa darasani ....hawa jamaa wana akili wewe na Degree, Masters, Phd yako bure tu
    ?

  • @benleyan
    @benleyan 3 роки тому

    Safi sana vijana ila muwe makini na uzito. Msizidishe uzito hata mkipewa pesa nyingi

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 3 роки тому

    Big up sana kwa huo ubunifu,mwenyezi mungu awabariki.

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 3 роки тому

    Safi good idea

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 3 роки тому

    Wizara, halmashauri, fumbueni macho jamani. Mwenyezi Mungu tubariki Watoto wa Tz

  • @deograciakashaigili5973
    @deograciakashaigili5973 3 роки тому +19

    Apewe zawadi na Serikali kwa ubunifu wake huu..

  • @herbethsentozi5647
    @herbethsentozi5647 3 роки тому +17

    Jamaaa hakufanikiwa kupata shule....lakin the way anavyojibu maswali...ninkisomi zaidi...

    • @mansixwilliamofficial5496
      @mansixwilliamofficial5496 3 роки тому +3

      kwani mtu mwenye elimu ni mtu wa namna gani? au wewe unafikir kubadilisha madarasa ndo Elimu

    • @khaliphamajid270
      @khaliphamajid270 3 роки тому +1

      Hiyo inaitwa shule ya hekima.
      Wengi Walio enda shule wanayo madigree lakini hawana hekima.

    • @wazirmlogi7532
      @wazirmlogi7532 3 роки тому

      Yani sanaaaa

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 роки тому +2

    Hongereni baba hiyo ndo fly over yenu mnatakiwa mjivunie hakuna akili ya mchina hapo

  • @josephsighis8185
    @josephsighis8185 3 роки тому +1

    Dakik 2 kufika upande wa pili, akibeba watu 20, 20x500=10000
    Elfu 10 kwa daki 2 very good income

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 3 роки тому +4

    Mungu awape wepesi kwenye kazi zenu ....🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @josephinanikwelimdacki3330
    @josephinanikwelimdacki3330 3 роки тому +3

    Kaka anajibu vizuli sana

  • @saudmohammed3390
    @saudmohammed3390 3 роки тому +1

    Kazi nzuri vijana kazaneni zaidi kutafuta rizq

  • @jumannemchezela2834
    @jumannemchezela2834 3 роки тому

    Noma sana

  • @jamesshaw4011
    @jamesshaw4011 3 роки тому +5

    Jamaa ni mashujaa sana serikali iwanunulie kitu cha maana wakimiliki jamani hao ndio mashujaa yani tuwathamini

  • @happynesbaemuhappynes8813
    @happynesbaemuhappynes8813 3 роки тому +3

    MashAllah wabunifu bora

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 3 роки тому +2

    Safi sana' vijana chapeni kazi.

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 3 роки тому +1

    angekuwa maghufuli angeona hivo tayari angewasaidia watanzania wanao ishi huko kujenga daraja mungu simama nabtanzania kwama mara 2 wasameh kama wamekukosea pahala hadi ukamchukuwa rais wao mwema mungu tunakuomba sana

  • @valenakomba4453
    @valenakomba4453 3 роки тому +2

    Hiyo inaita PAntoni. Safi sana vijana mnastahili SIFA. Mtu akija kutaka ujuzi wenu basi Anunue.

  • @symphoriansweetbert4983
    @symphoriansweetbert4983 3 роки тому +1

    angekuwepo uncle magu angefanya jambo

  • @maxwellking9399
    @maxwellking9399 3 роки тому

    This is what so called innovation and creative thinking at work.
    Sasa mbona hawa vijana majina yao hayaanzi na title na mbwe,mbwe za sijui Prof au Dr au Eng. kama wale wengine wenye mavyeti waliojazana kule Wizara ya Ujenzi? ambao kazi yao ni kuzurura kwenye miradi isiyo na tija na Ma V8 yenye viyoyozi?

  • @bongobongo1755
    @bongobongo1755 3 роки тому +24

    Mpaka watu wafe ndio utaona mbunge analeta usenge wake

  • @irangalimbu7349
    @irangalimbu7349 3 роки тому +1

    Safi Sana ndungu Zang wa balyadi

  • @alexjackson6608
    @alexjackson6608 3 роки тому +3

    Every body is genius.....

  • @husseinloyy1912
    @husseinloyy1912 3 роки тому

    hongereni masela...jpm alileta mageuzi ya akili

  • @saidsyande3728
    @saidsyande3728 3 роки тому

    Hongereni sana

  • @motwashmotex3783
    @motwashmotex3783 3 роки тому +1

    vijana wa kitanzania tuungane tuache kuwa flowers wa habari za kina kigogo14 lisu veronica nk nk
    habari zao zinatugawa watanzania na kuchochoe hasira na chuki bali tuwe flowers wengi wa habari km hizi za kina miradi ayo maana ni habari ambazo kijana asiye na ajira anaweza kupata njia moya ya kutumia furusa kujiajiri na kpata hela nyingi hebu fikiria hawa vijana wanaanza kazi saa 12 asbh hadi saa 4 usiku mtu analipa 500 piki piki 100 bado mizigo je kw siku wanaingiza pessa kiasi gani?

  • @emanuelpetro7413
    @emanuelpetro7413 3 роки тому +3

    Duuh! Ayo TV ni noumaaaaa,nawakubali mno jamani kazi zenu zinaukweli tupu siyo wengine Mara Mali za magufuli zapigwa mnada,Mara ooo Samia amteuwa Makonda ukuu wa mkoa kumbe uongo mtupu Milard Ayo pigeni kàzi

    • @williammagige3712
      @williammagige3712 3 роки тому

      wabunge wamekaa tu mpaka wasikie uchaguzi wanajitokeza

  • @exavioursimiyu5647
    @exavioursimiyu5647 3 роки тому

    Naunga mkono muzalendo WA kenya

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 3 роки тому

    Hongereni vijana Mungu awafanikishe mfikie hatua yakuwa na meli, serikali ya kijiji hacheni wizi vijana wanasaidia wananchi kuweza vula alafu nyie ambao mnadhamana mnataka wawape kidogo wanachopata acheni hizo

  • @autorashautoelectrician2205
    @autorashautoelectrician2205 3 роки тому

    Sasa majitu mentioned yaio kua mabunifu yatatoka maleficent yaje na vifungu vyasheria apo mpaka uduma isitishwe badala wapewe saponins ao vijana nawezakupewa kes mangu wasaidie vijana hawo na viongozi wetu waongeze busala wasiwatibue awa vijana waepushie matukio atarishi katka kazi yao amina!!!

  • @mawazoaliselemani
    @mawazoaliselemani 3 роки тому +1

    Hongereni..ila ni ubunifu ulitakiwa ufanyike miaka arobaini iliyopita.

  • @samwelmangi843
    @samwelmangi843 3 роки тому +2

    Hakika vijana hawa wanastahili pongezi, ujumbe huu uwafikie wenye dhamana na uchukuzi waone umuhimu wa kujenga madaraja ama kuweka vivuko kwenye maeneo hatarish kama haya! Kongole kwenu vijana mnaitumia changamoto Kuwa fursa

  • @rumyxhaelkoka8329
    @rumyxhaelkoka8329 3 роки тому +1

    Good idea ❤❤

  • @edwardemmanuel5552
    @edwardemmanuel5552 3 роки тому +4

    Wanastahili pongezi kubwa mno na ningeomba wapelekwe chuo cha Uinjinia wa vyombo vya majini waboreshwe ili tupate wataalam wa kutengeneza Ferry

    • @tabuboone934
      @tabuboone934 3 роки тому

      Iko Sawa Hawa ndo wanahitaji kuendelezwa na serikali ili waje kujenga nchi yetu

    • @edwardemmanuel5552
      @edwardemmanuel5552 3 роки тому

      @@tabuboone934 kweli kabisa

  • @dicksonshindika4577
    @dicksonshindika4577 3 роки тому +9

    Afuu Kuna jamaa mmoja amemaliza degree ya engineer nae ana dai serikali impe ajila Tena anaifokea kila siku, si Bora achome Moto vyeti

  • @hatuazahshindimaishanitv608
    @hatuazahshindimaishanitv608 3 роки тому

    Hawajama mungu awabaliki

  • @hadjamlkong0851
    @hadjamlkong0851 3 роки тому +1

    Umenena aswaa izindio abari za kuskilizwa

  • @abbasnguma6646
    @abbasnguma6646 3 роки тому

    Niwabunifu sana,hata daraja likijengwa watafanya kingine kupata kipato.akili yao inaona nafasi na wanaotumia,vijana wengi mijini wanabaki kulalama hakuna kazi na kuna nafasi kibao.

  • @leverimlaki5667
    @leverimlaki5667 3 роки тому +1

    Hii ndiyo elimu ya kumkomboa Mtanzania kiuchumi. Achana na degree ambazo hazina ubunifu wa namna hii. Hii ndiyo elimu.

  • @boazkimaka259
    @boazkimaka259 3 роки тому

    Kizazi sana baada ya dakika mbili anaingiza money well done

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 3 роки тому

    Nimesha wahi kuvuka hapahapa nilikua naenda kivule frem Kumi nikakuta huo mto cjui unaitwaje nimeusahu ila unatisha maji yalikua mengi adi naogopa

  • @methodjm
    @methodjm 3 роки тому +14

    Nimependa alivoshaur daraja lijengwe.

    • @antoinekatembo8520
      @antoinekatembo8520 3 роки тому +3

      Kabisa, jamaa hana tamaa ya hela alafu pia ni mzalando...!

  • @lenatz5591
    @lenatz5591 3 роки тому +1

    Nice👏

  • @nadewakala5089
    @nadewakala5089 3 роки тому +4

    Tanzania hiyo viongozi wapo

  • @heridadia9634
    @heridadia9634 3 роки тому +1

    Tanzania

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 роки тому +4

    Ila nchi hii umasikini bado mkubwa sana

  • @jamesgitahikahuro2443
    @jamesgitahikahuro2443 3 роки тому

    Ferry

  • @msamgunda7684
    @msamgunda7684 3 роки тому

    Upo uwezekano wa kuifunga injin itakayo kivuta hicho chombo.

  • @bahatirobart7380
    @bahatirobart7380 3 роки тому

    Wa kwetu kabisa gasuma a.k.a mwaubingi

  • @Winstonfying
    @Winstonfying 3 роки тому

    Si salama, kuna kivuko cha namna hiyo kilishaua siku za nyuma hapo, wawezeshwe katika usalama zaidi

  • @kudoja_fish_shop9592
    @kudoja_fish_shop9592 3 роки тому +1

    Akamatwe haraka sana apigwe marungu saba mara sabini ugoko atupwe kwenye karandinga sababu huyu ni muuaji anajaribu kuua watu kwenye mamiti yake na madumu

    • @kacherosimba5762
      @kacherosimba5762 3 роки тому

      Hata wewe uka pimwe kama mkude😂😂😂😂

  • @mashakamagembe1188
    @mashakamagembe1188 3 роки тому +3

    Kwetu kwetu kwetu huko

  • @masoudkatiba1484
    @masoudkatiba1484 3 роки тому

    Hivi ndivyo vijana tunatakiwa tuwe , na siyo kuiba masufuria na kuku.

  • @yusufumajinge59
    @yusufumajinge59 3 роки тому +2

    Ndiyoo,nimependa hili kazi ya hawa jamaa,ujuz mzuri

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 3 роки тому +2

    Kwani huyo mmbunge anasemaje

  • @mosesmwailenge5192
    @mosesmwailenge5192 3 роки тому +1

    Safisanaaa 👉🇹🇿

  • @prettynayally2177
    @prettynayally2177 3 роки тому +4

    Muwelage na namb za watu wabunifu kmaa hawa tunawataft hawa ndo watu muhim

  • @mwalimuhema4669
    @mwalimuhema4669 3 роки тому

    Sasa Serikali ya kijiji mnataka nin jaman...ndo kodi au ??? Mifuko miwili ya Cement kwa wiki jamani....Waacheni bhana

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 Рік тому

    WASOMI WA TZ KAZI YAO NI MBWEMBWE TU, LAKINI KUSAIDIA CHANGAMOTO HATA NDOGO ZA JAMII INAYOWAZUNGUKA HAWAWEZI

  • @kaswalala122
    @kaswalala122 3 роки тому +1

    Ni idea nzuri sana na ni msaada mkubwa sana lakini je' mto ukijaa hiyo boat haisukumwi na maji?

  • @bekaboy2646
    @bekaboy2646 3 роки тому +1

    Nimewapenda bure

  • @vonexmobile9116
    @vonexmobile9116 3 роки тому +1

    Hiyo ndo inaitwa flyover ya Bariadi

  • @kimsaid7643
    @kimsaid7643 3 роки тому

    Serikali ipo tu na wenyewe wanavuka hapo!? Au wanafurahia hiyo boat Sasa siku ikiuwa wakae kimya hivyo hivyo

  • @athumaniwazirisengoli4321
    @athumaniwazirisengoli4321 3 роки тому

    Safi sana vijana mmebuni vzr hongereni sana

  • @selestininchimbi5261
    @selestininchimbi5261 3 роки тому

    We masta

  • @celinamputacelinamputa3577
    @celinamputacelinamputa3577 3 роки тому

    🤔🤔

  • @amiriabud6521
    @amiriabud6521 3 роки тому

    MV. Matanda duh