Allah akuhifadhi shekhe Mselemu Ally,Hakika umejaaliwa elimu ya Tafsiri na Allah,Allah akupe kheri zote anazozijua yeye na akuepushe na Shari zote azijuazo yeye ALLAH, inshaa-allah
Aslamu alaykum warhmatullah wabarakat shekhe wetu naomba usaidizi naomba dua zako nimepata mitihani na nipo safarin kurudi pia imekuwa vigumu kwa Sasa sijui ya ALLAH mbeleni inshaallah kheri
Kila Sheikh anapotoa mawaidha yenye suratul fatiha akatanguliza bis'millahi Rahman Rahim ambayo wengine baadhi wanasema alhamdu lilahi rabul alamiyna ndiyo ayya ya kwanza na hiyi hadith wanapoisoma huanzia Kwa alhamdu Kwa hivyo Kwa vile mahaba yangu ni makubwa Kwa neno bis'millahi Rahman Rahim na anayeitumia kiukweli ninampenda na huwa mawaidha yake yote Mimi nikipenzi yake
bismillah katika suratul fatiha ni aya na ndio aya ya kwanza ila katika sura nyengine sio aya. hakuna anaesoma akawa hasomi bismillah labda kuna watu wakiswai swala za sauti wanasoma bismillahi kwa sauti ya chini na wanasoma alhamdu kwa sauti ya juu ndio unadhani hawasomi lkn wanasoma pia bismillah ikwa sababu wasiposoma itakuwa suratul fatiha haijakam9lika na hivyo rakaa itakuwa pungufu na swala itaharibika. Allahu aalam

Jazaakallah Khairan Sheikh!
Allah akupe baraka ya umri na akuhifadhi Duniani na Akhera akukidhie haha zako.
ALLAH atufanyie wepesi ktk swala zetu ziwe zenye mazingatio.. amiina 🤲
Maasha Allah tabarakallah walhamdulilahi Rabiry aalamin
Yaa ALLAH naomba utupe umakinifu kwenye ibada zetu Yaa rabil aalamiyn
Shukran jazila
MashaALLAH.
Allah akuzidishie umri mrefu tuendelee kuelimika kupitia kinywa chako cha maneno matamu inshallah.
Shukran sana sheikh
Aslamu alaykum warhmatullah wabarakat shekhe wetu naomba usaidizi naomba dua zako nimepata mitihani na nipo safarin kurudi pia imekuwa vigumu kwa Sasa sijui ya ALLAH mbeleni inshaallah kheri
Pole sana mtihan gn
@@Pili-n3l shukuran yaa shekhe alhamndullilah rabil aalamiyn namshukuru ALLAH amenitatuliya Mitihani tu ya kidunia ya kudhulumiwa
Shukran shekhe msellem
Shukran ya sheikh.
Shukrani jazila
Allah bless you
MANSHAALLAH tabaraka RAHMAN umengara na nuru ya ibada kweli
Shukrani yarabi
Masha****Allah
Allah atupe umakinifu kwa swala zetu yarabil
Shukran Allah akulipe kheri
Maashaallah shekhe wetu shukurani
Asant shekh wangu

Asant wangu