EDNA PART 45 | ROMA NI MWENDO WA KUJILIA NYAMA KWA EDNA | EDNA NA LANLAN MATATANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 153

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 4 місяці тому +10

    Asante sana Lucas kwa mwendelezo wa edna na Roma kwa upande wangu mimi edna atambeba mimba 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao wote wanafamily

  • @JackHassan-t6l
    @JackHassan-t6l 4 місяці тому +9

    Mimi macho macho nikisubiri Edna 😂😂😂 ahsant lukas kwa simulizii hii tamuu

  • @FatmahHgfy
    @FatmahHgfy 4 місяці тому +7

    Nakupenda sana kaka utucheleweshei Raha asantesana

  • @Salhah-v9h
    @Salhah-v9h 4 місяці тому +10

    Leo hakun kulala ❤❤❤😂😂 aisee tumpenda saan Kaka yetu RUMBASI🎉🎉🎉🎉😂😂 EDNA atapat mamba bila kupitia kweny mafunzo yoyote😂😂 mutoto atamupat ten wakiume😂😂😂❤❤❤❤❤❤

  • @FatimaRamadan-s4f
    @FatimaRamadan-s4f 4 місяці тому +7

    Thanks my love you ❤❤❤ chukua mauwa Yako 🎉🎉🎉

  • @aminah9557
    @aminah9557 4 місяці тому +8

    Shukrani sana kaka lucaxy kweli wewe ni mtu wa kutimiza ahadi

  • @furahangoty5059
    @furahangoty5059 4 місяці тому +9

    Shukran Lucas sanaaaa🎉🎉🎉🎉🎉 kazi nzurii

  • @mourine-o3
    @mourine-o3 4 місяці тому +8

    Dennis waachane na sisi tulee mimba kwa amani vita tutaendelea baadae

  • @KaviraDivine
    @KaviraDivine 4 місяці тому +4

    Ayiiiiiiiii na enjoy sana Ila nasubiri ujauzito wa Edna ndo furaha yangu ita zidi sana etiiiiii

  • @AminaOmar-z9b
    @AminaOmar-z9b 4 місяці тому +6

    Yani naomba Duwa kwa ajili ya kaka lucas had nasahau na kumtaja Roma daah nime furah sana Allah akubaq mnoo na akupe afya njema man napeda simuliz ila nawazya usije umwa na kifuwa smliz 2 kwa siku c mchezo mm kwa mawazo yagu edina ni malum kwa Roma hivo tutaitwa aunt bila mafuzo 🫣

  • @OmanBahla-i5g
    @OmanBahla-i5g 4 місяці тому +6

    Wao wamemuweza kwa kia dhaifu na kuwa ulimwengu wa mapenzi wangemuendea kimapambano hata jivu lisingali baki

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 4 місяці тому +24

    ❤❤aisee qenye maji palikua patam sana, nazani hapo ajiaandae kulea ujauzito imo tayali kwa i sasa atakiendelea namshalit roma tayal atatulia nakupunguza mchpuko.plz lka hapa🎉🎉🏃

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 4 місяці тому +4

      Ambae hakuipata like yangu nistue 😂

    • @Fathum763
      @Fathum763 4 місяці тому +3

      Natamn iwe kwel iyo mimba❤😅😅

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 4 місяці тому +3

      @@Fathum763 nihakika so bule kutetema km mayare

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 4 місяці тому +6

    Mi nakesha na roma na edna haphapa sibanduki ad majogoo

  • @kalinyolawarrensimiyu
    @kalinyolawarrensimiyu 4 місяці тому +6

    🎉🎉🎉n muomba mungu EDNA habatae mimba

  • @MoniraMonira-dg3cd
    @MoniraMonira-dg3cd 4 місяці тому +6

    Duuh jmn nimechelewa ila sijakata tamaa nimefika ata ivyo ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @nurianaramadhan
    @nurianaramadhan 4 місяці тому +11

    Ni mwendo wa kuosha vyombo huku tukipata burudani,,,Ila Lucas wengine hatunaga wapenzi na hatujui kunyonga aisee😂😂😂😂😂😂unavyo ipatia ile sekta yakupelekewa moto dah

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 4 місяці тому +6

    Wow asante sana lucas ❤❤🇰🇪🇰🇪

  • @lucyweissenbock686
    @lucyweissenbock686 4 місяці тому +7

    Nilisikia Edna akiomba maji na pia nahisi akipita mimba bila mazoezi

  • @RehemasiryaKabahasha
    @RehemasiryaKabahasha 4 місяці тому +9

    Acha nisikilize mama kijacho mtarajiwa😂😂

  • @OmanBahla-i5g
    @OmanBahla-i5g 4 місяці тому +8

    Tunangoja mapacha yaani Raha tupu😂😂😂❤❤❤🔥🔥🔥🙏

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 4 місяці тому +6

    Banduwa bandika katamuti pandamuti minaona Edina atabeba mimba kunawanaume nyumbani anakura taratibu wakubwa wanaerewa kwahio mucepuko nawanyumbani sisawa Lukasi🎉🎉🎉🎉

  • @YusraBadru
    @YusraBadru 4 місяці тому +6

    Jamny jmny jmny❤❤

  • @jasminmohagthari3730
    @jasminmohagthari3730 4 місяці тому +12

    Aweeeeh watu wa gufl atulali leo tutajuana nao asubuh ao waarabu😅😅😅ila edna atapata mimba ata bila mafunzo ya kijin unakumbuka lanlan alimtilia edna nguvu add akazimia tuskilizie mdundo mtaikumbuka hii coment mahi zangu😅

  • @SuuJaphary
    @SuuJaphary 4 місяці тому +8

    Wakuwahi twende kazi🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @PerpetualWanyama
    @PerpetualWanyama 4 місяці тому +12

    Jamn nimengoja sana Asante kaka lucasi mnipe like

  • @mariethamasika9125
    @mariethamasika9125 4 місяці тому +7

    One minute comments nyingi😂😂😂😂.... thanks brother kwa kutimiza ahad

  • @aishasalim-9036
    @aishasalim-9036 4 місяці тому +6

    Tunakula Tunaskiza simulizi alafu tuleee ndio tulale cjw nimeeleweka ama Acha tu twende nalo babaa 😂

  • @FloraManeno
    @FloraManeno 4 місяці тому +6

    Nahisi atakuwa bi wema alizaa mapacha na hakujua

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 4 місяці тому +3

    Jamani nimechelewa ila nipo ndani ya mzigo wa Edna na mwamba Roma❤❤❤❤

  • @ReginaJumanne
    @ReginaJumanne 4 місяці тому +8

    Jaman nimewah huku Leo nakesha sibakishi kipolo jaman habali za uck mabibi na mabwana 😂😂😂😂

  • @TyT-h5l
    @TyT-h5l 4 місяці тому +3

    Mmh... mm nahisi Edna atapata mimba bila ya kupitia mafunzo

  • @ElaineAkimana
    @ElaineAkimana 4 місяці тому +6

    Jamani jamana uyu Edna kawa mzowefu acha nikae Lucas Mungu akubariki saana maana tuna pata burudani yakutoshaa

  • @mariammalembo5569
    @mariammalembo5569 4 місяці тому +6

    Wakwanza Leo jamani❤❤🎉

  • @SurprisedBirchForest-tr3gz
    @SurprisedBirchForest-tr3gz 4 місяці тому +6

    Zena ❤❤❤❤❤❤❤

  • @bahatifransis9019
    @bahatifransis9019 4 місяці тому +7

    Nime wahiiii

  • @LeahIbrahim-ib4ss
    @LeahIbrahim-ib4ss 4 місяці тому +2

    Ndoa ya Edna na Roma ilishapangwa kabla ya wao kukutana na Edna atabebe mimba bila mazoezi yoyote,., gonga like kama tunakubaliana❤️🥰

  • @thukamjuma6809
    @thukamjuma6809 4 місяці тому +8

    Woow

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 4 місяці тому +3

    Cwezi lala aki acha nikeshe uku leo

  • @UmySele
    @UmySele 4 місяці тому +5

    Kojo ilo Edina mimba lazima😅😅😅😅

  • @hafsasaid9666
    @hafsasaid9666 4 місяці тому +5

    Daa leo umetucheleweshea lakin simbaya

  • @florenceakothotieno3673
    @florenceakothotieno3673 4 місяці тому +9

    Kweli patamu,hebu gogeni likes jameni😂😂😂

  • @Hawaa-rc2hi
    @Hawaa-rc2hi 4 місяці тому +8

    👏👏👏👏👏👏 wooyooo

  • @AliphonceIrene
    @AliphonceIrene 4 місяці тому +12

    Nipo mbioni jani tayali nimefika naombeni like zangu nimewai leo

  • @Sherry-b3u
    @Sherry-b3u 4 місяці тому +7

    Wakwanza

  • @RitaannyManegabe
    @RitaannyManegabe 4 місяці тому +4

    ❤❤❤❤❤🎉Roma nakukumbali kinoma sana,na kumbali roma gonga like yako apa

  • @LeeYanOm
    @LeeYanOm 4 місяці тому +7

    papa adi nilikua naona uvivu kula sasa apa ngoja nisogee kwa meza nikule uku nakula😂

  • @LizzyKai-f9p
    @LizzyKai-f9p 4 місяці тому +4

    Nahic hivyo🎉🎉🎉❤

  • @MwajumaToh
    @MwajumaToh 4 місяці тому

    Saizi ndio namaliza kusikiliza loma hongela tuko pamoja🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ceciliagerard-gp2xm
    @ceciliagerard-gp2xm 4 місяці тому +5

    Nimewahiiii❤🎉🎉

  • @haluwaharuni4564
    @haluwaharuni4564 4 місяці тому +2

    Lakini kaka lucus kumbuka denis,lekcha nkizwe walirahisishiwa na roma juu kaa sio yeye wasingemuuwa roma

  • @MadinaRashid-v5n
    @MadinaRashid-v5n 4 місяці тому +3

    Wana Lucas nimechelewa jaman

  • @FloraManeno
    @FloraManeno 4 місяці тому +4

    Mimi kwa watu watatu nawasiwasi na denisi tuu lakn wale wengine ni machawa pia ni bendera fata upepo

  • @Kellyperry947
    @Kellyperry947 4 місяці тому +7

    ᴮʷᵃⁿᵃ ᵉᵉʰ ᵐᵃᵐᵇᵒ ˢⁱⁿᵈⁱᵒ ʰᵃʸᵃ😅😅😅😅

  • @SofiaKhamis-o1k
    @SofiaKhamis-o1k 4 місяці тому +5

    Wakwanza jmn❤❤

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 4 місяці тому +1

    Edna sasa mambo nilami ongera 👏 wifi😁🤜

  • @maseleenaesleen8149
    @maseleenaesleen8149 4 місяці тому +1

    Hapo kwa kuomba maji nilicheka kama chizi😂😂😂

  • @ShadiaKarya
    @ShadiaKarya 4 місяці тому +5

    😢😢😢😢 nimechelewa Sanaa na leo ndio maan sipendi kuogea na simu 😢😢😢 😂haya twende kazi nipo na Edna mpka kielewek

    • @Eldaheliya-zl5to
      @Eldaheliya-zl5to 4 місяці тому +1

      Hahahah mm sipokei simu kabisa akizidisha namkatia sababu yaEdna

    • @ShadiaKarya
      @ShadiaKarya 4 місяці тому

      @@Eldaheliya-zl5to wanakera bana 😔😓

  • @marykabuto
    @marykabuto 4 місяці тому +6

    Wapili

  • @EstherMlai
    @EstherMlai 4 місяці тому +1

    Wololo yaye.... Ishakua tabu bt hata km Lanlan na mamake wako hatarini na mwamba Ako china kusaidia lmz hata family yake ataisaidia akiwa mbali

  • @lizzygabriel9601
    @lizzygabriel9601 4 місяці тому +2

    Wow tunakupenda lucas, kama seventeen alibeba mimba nahisi Edna pia ataweza kubeba mimba

  • @AmbaMelly
    @AmbaMelly 4 місяці тому +6

    Tendeleee

  • @Eldaheliya-zl5to
    @Eldaheliya-zl5to 4 місяці тому +3

    Nilikuwa nishalia lucas kisa Edna sijala jamani 😂😂😂

  • @FatmahHgfy
    @FatmahHgfy 4 місяці тому +4

    Tafadhali naomba awashinde

  • @sallyomar8930
    @sallyomar8930 4 місяці тому +5

    Wa kwanza ❤❤❤❤

  • @ChristianElias-u2j
    @ChristianElias-u2j 4 місяці тому +6

    Kaka Luka tutakuja kufa na kuchungulia hko UA-cam mbn mda umebadilika

    • @Eldaheliya-zl5to
      @Eldaheliya-zl5to 4 місяці тому

      Hahahahah mm nimeshindwa kula kabisa jamani ilipofka saa mbil

  • @NafuuMohammad
    @NafuuMohammad 4 місяці тому +4

    Wawooo 🎉🎉🎉❤

  • @MwanakomboMangwe
    @MwanakomboMangwe 4 місяці тому +3

    Nimekumbuka ule mchoro Athena aliochora ile siku akasema kuwa tabasam la huyu mwanake liko n ushindi lkn tabasam lilikuwa n majib mawili
    Ushindi au kufeli ndio leo naelewa zaid

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 4 місяці тому

      Umeonaee ...

    • @MwanakomboMangwe
      @MwanakomboMangwe 4 місяці тому

      Ndio naelewa Zaid y san sas​@@MwanatumuJumaa-rj4fg

    • @AnnaMsumule
      @AnnaMsumule 4 місяці тому

      Nikweli kabisa mcholo ule nataalifa ya leo nahisi kitu ❤❤

  • @Sss-b9w6f
    @Sss-b9w6f 4 місяці тому +5

    Wakwanz ❤❤🎉

  • @YasintaHongela-j4s
    @YasintaHongela-j4s 4 місяці тому +2

    Ndiyo Lucas Edna anauwezekano makubwa wa kushika ujauzito kwani alishatabiriwa kuwa make halali wa Roma toka zamani

  • @rahimaomarybabu1808
    @rahimaomarybabu1808 4 місяці тому +1

    Inshallah tutaonanaa inshallah mwenyezi Mungu

  • @Nattyjay294
    @Nattyjay294 4 місяці тому +1

    Edina pekeake ndio atakuwa na kichefuchefu Cha mimba😂😂

  • @khadijahamisi6558
    @khadijahamisi6558 4 місяці тому +3

    Wachaa mambo ni🔥🔥🔥😍🥰😘😍🥰🙏🙏🙏

  • @FaithNdenge-k9i
    @FaithNdenge-k9i 4 місяці тому +5

    Hatimae imekuja wow🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

    • @FaithNdenge-k9i
      @FaithNdenge-k9i 4 місяці тому

      EDNA anaeza kubeba mimba juu ananguvu ya ziada

  • @AïshaUwera-f3w
    @AïshaUwera-f3w 4 місяці тому

    Ahsante sana lucas simulizi ya Ednani nzuri ikichelewa huwa najihisi kukosa raha ningependelea kuipata kila siku hadi mwisho

  • @Joycetatu
    @Joycetatu 4 місяці тому +4

    Hoyooooooiiii🎉

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 4 місяці тому +2

      Leo hahahaaa hawa mapacha wamejua kucheza naami za wadau🤣🤣

    • @Joycetatu
      @Joycetatu 4 місяці тому

      @@TeklaNdekeja patamu xaii

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 3 місяці тому

    Yani tunazidi kusonga mbele MashaAllah ❤️🇴🇲🇴🇲 Edna kumbe naww unaombaga maji 🤣🤣ileshow simchezo mie naomba edna ndio abebe mimba jamani❤❤😂😂

  • @RehemasiryaKabahasha
    @RehemasiryaKabahasha 4 місяці тому +5

    ❤❤❤🎉

  • @salmarajabu1626
    @salmarajabu1626 4 місяці тому +1

    Asante

  • @Igbudujr
    @Igbudujr 4 місяці тому

    Lucas unanikosha sana ,pls hii simulizi isiishe iwe kam isidingo maan nimeipenda sana hata sitaki iishe ,hakuna simulizi inayoonesha reality kam hii yani kila
    Kitu kinaonekana like no fiction at all👏

  • @UmDonia
    @UmDonia 4 місяці тому +2

    Mm nimeota Edina amebeba mimba ya roma😅

    • @ManisaboSifa
      @ManisaboSifa 4 місяці тому

      Polesana rafiki mawazoyako

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 4 місяці тому +3

    Atabeba mimba kisha ya mapacha

  • @kingbtz.8752
    @kingbtz.8752 4 місяці тому +2

    uwezekano upo kumbuka ana nafinsi ya pacha wake

  • @Elizabeth-87
    @Elizabeth-87 4 місяці тому +1

    Vile nimefuatilia hii simulizi ya Edna nathani ni yeye atabeba mimba juu tukubuke pale mtoto wa edna wa kufikia mama yake mzazi kunanguvu alimuingizia ili iwe lahisi kumtabuwa mama yake na vile alikutana na edna kuma miyoyozi ilitoka kwa macho yake na ikamuingia edna habi akapoteza fahamu nathani hiyo kitu dicho kitafanya edna apate mimba kabulaa ya wanawake wa roma
    Ni lizzy niko Lebanon kuzaliwa ni kenya 🇰🇪 ❤❤

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 3 місяці тому

    EDNA Ata pata mimba bila mafunzi yoyote maana kukutana kwao kulipangwa tangu zamani😊

  • @sakinapili1569
    @sakinapili1569 4 місяці тому +1

    Edna angojeyi mafunzo yakijini damu yake iko special kama ya 17

  • @Yasminemuthoni
    @Yasminemuthoni 4 місяці тому +3

    ❤❤❤❤

  • @hafsasaid9666
    @hafsasaid9666 4 місяці тому

    Edna kapole kama nungunungu yan kam hakajui kitu kumbe nyuma ya pazia kanaongoza mpaka wababu wehuogopi 😢😂😂kananguvu ya ziada haka sihatujajua bado wacha tuendelee kusikiliza

  • @MwanaMpole-mo5di
    @MwanaMpole-mo5di 4 місяці тому +1

    Ndio naona sahizi

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 3 місяці тому

    Yeeeeh Mtoto wa bi wema😂😂😂 anatuchanganya

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 4 місяці тому

    Amina 🙏 Lucas

  • @AmbaMelly
    @AmbaMelly 4 місяці тому

    Jaman jaman Ngoma inakuwa ya moto Edna mwangalieni katika jicho la tatu

  • @KasukuluKihusa
    @KasukuluKihusa 4 місяці тому

    Jamn jameni kaka Lucas tunashukuru sana😅😅😅😅😅😅😅

  • @UmDonia
    @UmDonia 4 місяці тому

    Ivi jmn Kaka Lucas mpka sasa Roma na Edina bado wanaishi Tanzania hii jmn mm nauliza au ndio simulizi Tu🤔😔

  • @anthobarengeke3200
    @anthobarengeke3200 4 місяці тому

    Mimi naona Edna atabeba mimba hata bila kupitia mafunzo.yakijini.

  • @AnnaMsumule
    @AnnaMsumule 4 місяці тому

    Mwenzenu nilikua najiuliza kwanini simulizi unaitwa EDINA lakini Loma ndokipaombele kwenye Simulizi sasa umeelewa japo kidogo huwenda EDINA ndokiongozi mkubwa Ila hajijijua tu Yeye ninani Na ROMA niKama Bodigadi tu wenzangu mejifunza nini kwa kipande hiki😂😂😂😂😂???

  • @jasecsjasecs5775
    @jasecsjasecs5775 4 місяці тому

    Edina ndie muogosi wa dunia

  • @AnanaAnana-r5v
    @AnanaAnana-r5v 4 місяці тому

    Edina atabeba kibendi bila dawa youote

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 4 місяці тому

    😂😂😂Kaomba alafu hajapewa maskn

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 4 місяці тому +1

    Lakini Edna anamkwaza Roma kila wakati,huwa anaparamia mambo asiyoyajua athari zake na yanapomgharimu anayehangaika ni Roma,na huyo Desmond afadhali aondolewe tu hicho kidude chake, maana kinasababisha awe na kiburi kisicho na sababu,aingie mbinguni kuliko kiungo hicho kumkwaza,senzi kabisa

  • @bigirimanaaisha9813
    @bigirimanaaisha9813 4 місяці тому +5

    Wawoooo