KUMBE DIVA HAKWENDA KWENYE MSIBA WA DIDA/ MAIMARTHA ATOBOA SIRI NZITO/ HAKUNA ALIYETEGEMEA DAH!!
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Maimatha Afunguka Siri Nzito, Kumbe Diva Hacienda Kwenye Msiba Wa Dida
SUBSCRIBE Sasa Kama Bado Hauja SUBSCRIBE Ili Uwe Wakwanza Kupata Habari Zote Za Burudani Na Michezo Ambazo Tutakuwa Tukikusogezea Kila Siku Inayoitwa Leo :)
Dida Afariki Dunia
Alikiba
Harmonize
Diamondplatnumz
Wasafi
Zuchu
Mwijaku
Wasafi Festival
Nandy Festival
Jua Kali Leo
Music
😮😂😂😂❤
Unavyosema anajisifu niko na live show kwani uongo kipindi chake tunakijua na tunampenda. Wewe lia njaa na wivu unatakia nini maisha ya mwenzio km kaenda msibani au hajaenda hujui dharura zake kwani weww misiba mingapi hatujakuona mbona hakuna mtu kazungumza
Diva si muongo na watu wanampenda kwa ukweli wake na uwazi weww ndo muongo na kusingizia watu kwenye vipindi vyako visivyodumu!
Kwani diva na dida ni tofauti
Unajitahidi uwe mweupe kama diva lakini mkorogo unadunda. Unatakia nini km anagombana na watu unafuatilia maisha ya mwenzio
Weee maimArtha ni mpumbavu wadanganye wasiojua bei za magari Harrier ni milioni 5 wadanganye watu wa vijijini. Wewe ndo unamsumbua diva sio diva anakusumbua wewe wivu tu unakusumbua miaka ulokuwa mtangazaji huna cha maana ulichofanya ujinga tu!
Ukweli unauma. Ukimwaga mboga, wenzako wanamwaga ugali.
Kumbe mnaenda msibani kuangalia nani kaenda? Umepigwa palepale umezoea kuwasema wenzako
Ndiiiiiiooooo
Umekazana ana ukimwi ana ukimwi kwani si maradhi km maradhi mengine kwanza maradhi ni siri ya mgonjwa akikushtaki mdomo wote utakwisha na hela za kuwapa mawakili wakutetee huna!
Sasa si unajua kama yupo wasafi kwanini usinfate huko huko wasafi
Mwacheni Dida apumzike
Mchokozi wewe ulimuaza mezio kwanini utume ki video chamuda