Hizo nyumba ni mzuri ukiziona kwa mbali, lakini inaonesha safety yake kwa wakazi ni mbaya, kwa mfano balcony, railing zake ni rahisi mtoto kupanda kama ndazi na kuangukia nje, balcony railing zinatakiwa ziwe vertically na sio horizontal kama zilivo. Na kuhusu fire safety lazima kuwe na ngazi nyengine ya hakiba, in case of fire. Ikitokea moto popote hapo ngazi zote zinajaa moshi, na moshi ndio unauwa kuliko moto, kwa hiyo kama kuna ngazi nyengine ya ziada ndio hiyo itakaookoa maisha ya watu. Na makosa mengi zaidi nimeyaona kwa hii video kutokana na majumba hayo. Wakulaumiwa ni Architects, hakufuata Building regulations, or building cods. Pengine hajui alitendalo. Kazi mzuri lakini makosa makumbwa mengi ambayo yataathiri maisha ya watu.
Ahsante ,ostadhi kusema kweli Ni ghali
vyumba vidogo sana sanaaa...bei millions 200 plus service charge 130000 kila mwezi ....hayawaniiiii price wallahi
Daaaah Tehran paleeee 3years hapo ktk chuo cha karume KIST...
Hizo nyumba ni mzuri ukiziona kwa mbali, lakini inaonesha safety yake kwa wakazi ni mbaya,
kwa mfano balcony, railing zake ni rahisi mtoto kupanda kama ndazi na kuangukia nje, balcony railing
zinatakiwa ziwe vertically na sio horizontal kama zilivo. Na kuhusu fire safety lazima kuwe na ngazi
nyengine ya hakiba, in case of fire. Ikitokea moto popote hapo ngazi zote zinajaa moshi, na moshi ndio unauwa kuliko moto,
kwa hiyo kama kuna ngazi nyengine ya ziada ndio hiyo itakaookoa maisha ya watu.
Na makosa mengi zaidi nimeyaona kwa hii video kutokana na majumba hayo.
Wakulaumiwa ni Architects, hakufuata Building regulations, or building cods. Pengine hajui alitendalo.
Kazi mzuri lakini makosa makumbwa mengi ambayo yataathiri maisha ya watu.
💯👌
Wazanzibar pekee ndio waeza kununua?
Hapana niyeyote anaweza kumiliki
Mh
Bei rahisi ndio sh ngapi
Nimesikia clip zilizopita nyimba ya vyumba 2 168mill na 3 198mill
@@gwajimagwajima wajinga sana hiyo ndio bei rahisi
@@mariamdimosso621 nyumba zenyewe low quality,hawana kazi za kufanya kuchezea pesa za wachangiaji mfuko
@@gwajimagwajima wajinga watanunua
@@mariamdimosso621 😁😁