Asante Sana ndugu unanikimbusha kwetu mboko...ingekuwa heri uwe na tafsiri na kusema hii ni cite ya ngapi...Asante Sana Asante kwetu bolomba..aaaah ngaiiii
Maboko , c 'est le milieu entre uvira et baraka on s'arrêtait à mboko pour se reposer pendant le long voyage pénible de baraka pour uvira ou Bukavu .que Dieu vous protège
Mungu anazidi kukubariki kaka kwakunikumbusha nyumbani kwetu duuuh u know how many years since I came there its been 20 something years ago lol really appreciate your video sikufaham tatizo laba ninge ku reward something like money or anything else that can make u happy and stronger for what u've been busy with
Connais-tu mon beau village?c'est le MBOKO bulumba ,mazingira yenye kuvutia na mandhari ya kitalii.nitakusifu na kukutukuza mboko mji wangu.Mungu ibariki mboko,wabariki wanamboko kwa pamoja ili kila alie nje afikirie kuinua mji huu.
bjr quand vous faites montre cet image votre admistracteur de la cité qu'est ce qu'il pense une future ville vil avec une urtbanisation des ordonnées meme des routes qui font avec malheureux
@@BulumbaTV ujitaidi uwe serious kwakurikodi bro sisi wamoja atufahamu hata na fasi kwahiyo ujitaidi ukamate vizuri ili watu warizike bro Asante kwakunisikiliza
Minatoka GOMA man, mais mboko nilikuwa ata n’asihijuwe, RDC MUNGU ANTUPEMBA 🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️❤️❤️
Asante Sana ndugu unanikimbusha kwetu mboko...ingekuwa heri uwe na tafsiri na kusema hii ni cite ya ngapi...Asante Sana Asante kwetu bolomba..aaaah ngaiiii
From United stety of America nafurai sana kuona kijiji chetu
mmenikumbusha mbali sana mji wetu huu babu yangu alikuwa chief songoro risasi wa tatu
Thank you so much BTV to make use happy we are together and we will continue to support you guys.
Daaah,nimeiona mboko yetu,machozi yamenitoka kwa furaha asante ndugu yangu uliyefanya kazi hii kubwa yakurekodi video hii,Mungu akutie nguvu
Aksanti sana ndugu mpendwa KWA kazi unayo ifanya
From united state of America Nipazuri kweli tambarare nzuri kabisa home is home lazima niwekeze Hapo nyumbani Asante kwa cameraman
Sana kaka Dully huko ndiko nilikotoka mboko boys
Ferguson.
Eh Mungu wangu...kwetu Ubembeni pazuri sana...niliwai pita apa nikiwa mtoto nikienda mpaka Kilembwe..
Kwetu Congo #babembe village
Nakukubali sana grand yangu d.s kwakazi yako god bless you
Maboko , c 'est le milieu entre uvira et baraka on s'arrêtait à mboko pour se reposer pendant le long voyage pénible de baraka pour uvira ou Bukavu .que Dieu vous protège
Home is home can't forget this land
Woww mboko kwetu kaka ubarikiwe sana😍🥰🥰
Kwa nawatu uku mungu bariki mboko yetuuu
Keep it up 👍!
Un bon reportage. Ca me donne envie de rentrer dans mon village.
Yes I like this
nakubali father D umetisha kinyama
Asante kwa vidéo iyi vraiment
Mungu anazidi kukubariki kaka kwakunikumbusha nyumbani kwetu duuuh u know how many years since I came there its been 20 something years ago lol really appreciate your video sikufaham tatizo laba ninge ku reward something like money or anything else that can make u happy and stronger for what u've been busy with
Courage Big man
big up sana father D
Mboko yetu tunaipenda sana tunataka maendeleo kabisa
Dully on fire🔥🔥🔥
Connais-tu mon beau village?c'est le MBOKO bulumba ,mazingira yenye kuvutia na mandhari ya kitalii.nitakusifu na kukutukuza mboko mji wangu.Mungu ibariki mboko,wabariki wanamboko kwa pamoja ili kila alie nje afikirie kuinua mji huu.
Asante sana kwa coment zako
Una tisha KABISA ni kali sana
Nakumbuka home kabisa siku nyingi
Apo nipasuri kujenga atakama sokwetu
Nyumbani ni nyumbani
Napaona kweli
Nyumbani ni nyumbani kweli
Umbuka mboko .
Jameni tuhonesheni ata kubembe pia
Usi jali
@@BulumbaTV tunangoja
Big up
bjr quand vous faites montre cet image votre admistracteur de la cité qu'est ce qu'il pense une future ville vil avec une urtbanisation des ordonnées meme des routes qui font avec malheureux
Home is home Ushago ndo.nyunbani we can't feel shy.Every human being has its grandpa village.
NYUMBANI MBOKO .
CHILYA CHANE 🙉
Naweza kuipata aje, iigiye kwene simu nasikiya raha saaana
Unaweza kama nikipata namba yako ya WhatsApp
Unaweza
@@BulumbaTV ujitaidi uwe serious kwakurikodi bro sisi wamoja atufahamu hata na fasi kwahiyo ujitaidi ukamate vizuri ili watu warizike bro Asante kwakunisikiliza
Tuma namba zako tukusaidiye mchango wapesa mimi niko America kuchuti kijiji chetu mboko nafurai sana
+243977984306
Mboko 4 live
Asante sana. Lakini sikuiona Bulumba
Ndio Bulumba iko Mu mji wa mboko 2023
Apo ni 2020
Poa
Mwaaaaaaaaaaaaaaa napenda nyumbani