Israel na marekani wanania yakuwatokomeza waparestina, huwezi ukawa mupatanishi huku ukitoa cakula kwa waathilika na upande mwingine ukitoa mabomu, inamaanisha kula Leo kesho tutawaua
Huu utakhmini wenu wakati mwingine nautia shaka...Pamoja na kwamba waisraeli ndio wakatili hapa....mbona tusijiulize tulifikaje hapa? Mzigo wa Hamas u wapi hapa? Walete watakhmini wanaoleta balance...yaani wasio wa pande moja

Bbc tunawapata Arusha Tanzania