MKATE wa MZINGA wa NYUKI kwenye JIKO la MKAA Kwa Mahitaji RAHISI Sana

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Mkate wa mzinga was nyuki. Jifunze jinsi ya kupika mkate wa mzinga was nyuki kwenye jiko la mkaa wenye mahitaji Rahisi Sana kwa kila familia
    MAHITAJI;-
    Unga wa ngano (robo kilo)
    MAZIWA (150ml)
    sukari (Kijiko 1 cha chakula)
    hamira (vijiko 2 vya chai)
    chumvi (Kijiko 1 cha chai)
    baking powder (robo Kijiko cha chai)
    ndimu 1
    siagi (Kijiko 1 cha chakula)
    maji (130ml)
    sukari 200g
    #mkate #mkatewamzingawanyuki #belsfarmkitchenswahili
    #jinsiyakupikamkatewamzingawanyuki
    #mkatekwenyejikolamkaa

КОМЕНТАРІ • 4