Assalamu alaykum warahmatullahi Tunamuomba Sheikh Dr.Islsm atuandalie na kutufikishia historia kamili ya haya makundi ya kiislam kwa majina tofauti yalianza lini na wapi. Shukran
Unajua watu wengi sasa wamekosa ufahamu Ndio maana watu wanaburuta wenzao ni tatizo kubwa sana!!!Shukran shegh ila wajinga sasa hivi jamaa wataanza kukupiga vita ila allah akuhifadhi
ALLAH akuhifadhi shekh wetu duktur Islam Muhammad
أحسنت و جزاك الله خيرا الجزاء دكتور إسلام حفظك الله ورعاك إينما كنت
Mashallah tabarakallah kwa elimu hiyo
Assalamu alaykum warahmatullahi
Tunamuomba Sheikh Dr.Islsm atuandalie na kutufikishia historia kamili ya haya makundi ya kiislam kwa majina tofauti yalianza lini na wapi.
Shukran
Masha Allah darsa nzuri tumefahamu. Allah ibarik fiq
Dr Islam hawezi kumjibu yule ambaye hajamakinika katika ilmu....
MASHA'ALLAH salafi sikikundi maana wao wanajiona niwabora saaan
AMIN AMIN Amiyn
Shukran sana Sheikh wambie hawo masalafiya jadidah kasim mafuta na wenzake
Alhamdulillah kaburini maswala ni 3 hakuna kuulizwa kama ww ni salafi wala sio salafi
Matatuu!!!? ....ni muhim kujuwa kuhus makundi pia ndio maana tunaambiwa tusome
Mafuta ndo sababu ya kuharibika kwa usilamu
Unajua watu wengi sasa wamekosa ufahamu Ndio maana watu wanaburuta wenzao ni tatizo kubwa sana!!!Shukran shegh ila wajinga sasa hivi jamaa wataanza kukupiga vita ila allah akuhifadhi
Basi ipo haja ya shegh kasim mafuta kujirekebisha na mfumo wake!!!!!
Twataka kujuwa manake twa ambiwa hawa ni salafiyin hawapendi hivi na vile mpaka kuongea kwao ni vingine lugha zao tafauti na za sunna
Maswahaba walikua na elimu,uchamungu na ufahamu mkubwa sio zama hizi,,,eti mtu kasoma hata miaka 40 hajafika anapinga wanazuoni 😢😢
Atutaki vyama sisi tunataka KITABU NA SUNNA TU basi. KWAHIYO WOTE wa ahlu jamaa ni Salafi isipokuwa
Huukasim mafuta ninduguo? Mbona anakubebelea kwahiimada
Masheikh wa raddi tu...kweli ??
Dr islam tunasubiri umjibu sheikh qasim mafuta ,,,mbona kimya hadi leo?
Hii dini si ya qassim mafuta hadi aeke ulazima wa kujibiwa... halafu duktur anaheshima kubwa kwaiyo msitarajie anaeza jibizana na qassim mafuta
@@hay3_8kal hawezi jibu ,,,
@@مبغضالبدع-ع9ص nitumie link ya video duktur islam amejibizana na sufi yeyote!!??
Al Majaaz Al Kubra 😂
salafy kimnya hawa comment coz mambo hayakwenda kwa fujo wanazo penda....
MASUFI NI MASALAFI NA MASALAFI NI MASUFI ILA MAJADIDE NA MAHIZBIA SIO SALAFI WALA SIO SUFI