SIRI NZITO IMEFICHUKA/NYOTA PAMBA AILIYEPEWA RED CARD VS YANGA ALITUMWA KUMVUNJA BOKA?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024
  • Simba | Simba leo | Simba leo vs coastal union | Simba leo live | Simba tv leo | Ligi kuu nbc leo | Kikosi cha simba leo vs coastal union | Kikosi cha simba leo vs coastal union | feitoto kutua simba | usajili wa feitoto simba | yanga | yanga leo | Yanga live leo | wachezaji wa yanga leo | Full match highlights coastal union vs simba | Mashabiki wa simba leo | Mashabiki wa yanga leo | Usajili wa feitoto simba |feitoto kutua simba | Uhamisho wa feitoto kwenda simba | Feitoto kwenda simba | Feisal salum kutua simba | Habari za michezo barani ulaya | uchambuzi simba vs coastal union leo | Sport extra | Boka skills | Kadi nyekundu yanga vs pamba | Magoli ya yanga vs pamba | Habri za michezo leo | Mashabiki wa simba leo baada ya mechi | Utata magoli ya simba leo | Magoli ya coastal union leo | Kocha wa simba baada ya mechi leo | Wachezaji wa simba baada ya mechi leo | Clouds fm uchambuzi | Sport extra uchambuzi leo

КОМЕНТАРІ • 37

  • @HajiJuma-oy1jy
    @HajiJuma-oy1jy 2 дні тому +2

    Simba wajisikia maneno kama haya huwa wakali sana lkn timu inayoongoza hpa Tanzania Kwa mashabiki wenye propaganda bass Simba namba 1😊

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 2 дні тому +3

    Hiyo rough ya huyo mchezaji Salehe Masudi alistahili kadi nyekundu mwanzoni kabisa wala asingepewa kadi ya njano huyo alitumwa siyo kwa uchezi wa hovyo kama ule huyo ni bwege tu.

  • @FaroukBaduwel-jm2dr
    @FaroukBaduwel-jm2dr День тому +1

    Simba acheni ushamba

  • @SalumRwambo
    @SalumRwambo 3 дні тому +2

    Watu wasimba ni wagonjwa kaongelewa mwengine wamejiingiza. Wao tabu kweli kweli

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 11 годин тому

    Tatizo la wandishi ndy ni waongowaongo wanatunga vitu vya uchonganishi tuu. Je Debora wa Simba alifanyiwa rafu mbaya je alitumwa nanani?mbona hilo husemi?acha upuuzi wako

  • @ImanNandonde
    @ImanNandonde 2 дні тому +1

    Mnaumia sana sanda

  • @damianmwita4876
    @damianmwita4876 2 дні тому +1

    Adhabu ya kumchezea mwenzake vibaya kwa makusudi akapata majeruhi akakaa nje,irekebishwe,isiishie tuu kupewa red card ila na yy ajae nje mpaka alieumizwa apone warudi wote uwanjani,hii itakomesha kbs tabia hiyo ya kijinga.

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 4 дні тому +3

    Hakuna ni la kwao Simba haimwogopi Shadlack labda ni mipango ya GSM. Yanga na Pamba namna watakavyofanya maigozo kupata penalty na magori mengi ili wawe mabingwa Allah atawasalitisha na hamtapata la Shari 4:48 mnalolikududia inshaa Allah

    • @matrida.lunyilija5196
      @matrida.lunyilija5196 4 дні тому +1

      Pole dunduka,huku umefata nn sasa

    • @isackshinda2597
      @isackshinda2597 3 дні тому +1

      Malipo na hapahapa duniani. Anayedhamini uovu katika michezo. Walahuyo bokha hajachezewa rafu ni kampango Fulani hivi la kujikusanyia point bila jasho. Timu zote zilizofadhiliwa na hiyooo! Nani asiyejua kinachoendelea?Maliponi hapahapa duniani

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 3 дні тому

      Shadrach siyo shadlak

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 3 дні тому

      Ili mtoke safe na coastal no mipango ya mo?

    • @martinemaganga5253
      @martinemaganga5253 2 дні тому

      Kwahiyo MTU anafanya maigizo kuumiza mwenzake?

  • @SULEIMAN-l8v
    @SULEIMAN-l8v 2 дні тому

    tv online michongo hujielewi😊

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 11 годин тому

    AOGOPWE BOKA KWANI NI WASIOGOPE MABURURU? ACHA UJINGA WAKO

  • @boazgodfrey865
    @boazgodfrey865 3 дні тому

    Wasenge nyie,ashindwe kuvunjwa chama,aziz ki,pakome na max waliotishio zaidi wamfuate mtu anaerukaruka? Na hiyo kwann isifanyike dakk ya 80 kam ilipangwa simba maan pamba wangelikuwa salama muda umeenda

  • @JohnErnest-o8b
    @JohnErnest-o8b 3 дні тому

    Huyu jamaa anaongea mavi matupu kwan sie malangapi kabla ya kukutana yanga hua yatokea kwa wachezaji wa Simba inamaanisha kua hii ndomichezo wanayoifanyaga tim ya nyumamwiko pia mwandishi unavina saba na wiko wa nyuma kwan wewe inakuumann lafu umechezewa wewe au umetumwa maana Simba anahusikaje kwenye tatizo hilo

  • @KennedSangson
    @KennedSangson 3 дні тому

    Kwanini usiandike alipata kadi ili asaidiwe yanga

  • @AkramJuma-b5r
    @AkramJuma-b5r 2 дні тому

    Lkn mm naona huyo hajataja jina la mtu lkn ety

  • @madarakaiddi
    @madarakaiddi 2 дні тому

    WADANGANYIKA😊

  • @AshaAmiry-x6v
    @AshaAmiry-x6v 2 дні тому

    Msenge wewe haijatajwa timu gan imemtuma saleh wala hajatajwa jina la mtu aliyemtuma umewashwa kwel au ni wewe?

  • @shamissuleyman4894
    @shamissuleyman4894 3 дні тому

    Ww muongo timu yenyewe ni tawi la yanga mdhamini wake ni gsm ni mpango tu wa yanga kuwapunguza kisha kutengeneza magoli mengi

    • @YusuphJuakali
      @YusuphJuakali 3 дні тому

      Kama ni tawi la Yanga kulikuwa na haja gani ya kuwapunguza, si wangefungwa hivyo hivyo wakiwa kamili. Halafu Simba alikula tano, afadhali hao Pamba.

  • @dannykimoko9293
    @dannykimoko9293 4 дні тому

    Acheni uongo wenu wanafiki nyie inahusiana nini pamba na yanga ije Simba??

  • @kiboshokiboshomungumkubwa7789
    @kiboshokiboshomungumkubwa7789 3 дні тому

    Afungiwe mechi 5

  • @rwezimulastephen3713
    @rwezimulastephen3713 2 дні тому

    Acha majungu

  • @regnbertymgina7164
    @regnbertymgina7164 2 дні тому

    Hakuna mtu mpumbavu eti apate kadi kwaajili ya timu nyingine,chanel hii niyamatapeli

    • @wellygroup2348
      @wellygroup2348 День тому

      Alex Song alifanya rafu kwenye national team!
      Drc congo semi final dhidi ya Egypt afcon 1996

  • @AbutwalibuMohamedy
    @AbutwalibuMohamedy 4 дні тому

    Unajuwa kuropoka akili mgando

  • @KennedSangson
    @KennedSangson 3 дні тому

    Inawezekana wewe nishoka

  • @ramadhandiwani3410
    @ramadhandiwani3410 2 дні тому

    Wacha we hizo ni Fitna

  • @mhande1219
    @mhande1219 3 дні тому

    Ujinga mtupu