Maisha bila lengo- Mkemwema choir (Gospel Music)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024
  • #mkemwema #gospelsongs #official #gospel #maishabilalengo
    Karibu usikie na kutazama wimbo MAISHA BILA LENGO wenye kumsifu MUNGU na kukujenga kiroho kutoka kwao MKEMWEMA CHOIR.
    KARIBU SANA TUMSIFU MUNGU
    Usisahau ku LIKE, COMMENT na SUBSCRIBE
    Phone No.:0624405955
    Email:vijanachoirmkemwemakasulu@gmail.com
    Wimbo wa injili kutoka Kwaya ya Vijana, F.P.C.T Kasulu Mjini - Kigoma. Tunaamini ukiusikiliza kwa makini wimbo huu, Utabarikiwa zaidi. Asante na MUNGU wa mbinguni akubariki. Amen!
    _________
    Song: Maisha bila lengo
    Artists: Kwaya ya Vijana, F.P.C.T Kasulu Mjini - Mkemwema Choir
    Video Album: UMEINGIAJE?
    _________
    ►Tazama nyimbo nyingine kutoka katika Album ya Video ya UMEINGIAJE?👇🏽👇🏽
    🔘Hapana ~ • HAPANA- Mkemwema Choir...
    🔘Umeingiaje? ~ • UMEINGIAJE- Mkemwema c...
    🔘Tutafute Kitambulisho ~ • Utafute kitambulisho -...
    🔘Ingolane ~ • INGOLANE- Mkemwema cho...
    🔘Sauti ya Watu ~ • sauti ya watu- Mkemwem...
    🔘Tukae tutafakari ~ • Tukae tutafakari- Mkem...
    🔘Mwanamume ~ • Mwanaume - Mkemwema ch...
    🔘Ni faida gani ~ • Ni faida gani- Mkemwem...
    🔘Wewe ni Mungu wetu ~ • Wewe ni Mungu wetu Mke...
    _________
    ►Tufikie kupitia Kurasa zetu za Kijamii
    🔘Instagram ~ / mkemwemachoir
    🔘Facebook ~ / mkemwemachoirtz
    🔘Twitter ~ / mkemwemac
    _________
    ►Mawasiliano Zaidi
    📞 Simu: +255 755717519
    📩 Barua Pepe: mkemwemachoir@gmail.com
    _________
    Haki zote zimehifadhiwa©2018.

КОМЕНТАРІ • 52

  • @SabrinaAzizi-ch1nm
    @SabrinaAzizi-ch1nm 10 місяців тому

    Mungu aendelee kuwatia nguvu muimbe bila kuchoka mtalipwa siku moja yajaaa❤

  • @piterdoho4672
    @piterdoho4672 Рік тому

    Nyimbo nzuri sana hata hazichuji jaman

  • @ALFREDMTUNDU
    @ALFREDMTUNDU 2 дні тому

    Nawapenda sana, nawafuatilia Toka 2004, watu wa Kigoma

  • @fredyligson6505
    @fredyligson6505 6 місяців тому +1

    Hizi nyimbo Zina upako wa kutosha

  • @Bigiramanamechack-oq8nr
    @Bigiramanamechack-oq8nr Рік тому

    Mungu awa baliki mwaririmvye neza indirimbo yitwa ingorane! Asanteni sana mbalikiwe

  • @christinesombo3522
    @christinesombo3522 Рік тому

    Mungu amibariki sana ❤️🙏

  • @AkiliMasomo
    @AkiliMasomo 6 місяців тому

    Mbalikiwe kwayayenu nayipenda Sana.

  • @yahayakuku5080
    @yahayakuku5080 2 роки тому +1

    Hakika Kama unasikiliza hizi nyimbo huona uwepo wa Mungu ukishuka

  • @dorothymbuere5236
    @dorothymbuere5236 2 роки тому

    SAFI KABISA waimbaji nawapenda KWA uhimbaji wenu waujasili na maneno yasemwayo ni ya kutia moyo. SAFI SANA

  • @danielomori1092
    @danielomori1092 3 роки тому +1

    Naomba Mungu aniwezeshe siku moja nitembelea hichi kikundi. Kazi nzuri kweli.

    • @Mkemwemachoir
      @Mkemwemachoir  3 роки тому

      Mungu akubariki sana! Karibu wilayani Kasulu mjini, mkoa wa Kigoma.

    • @danielomori1092
      @danielomori1092 3 роки тому

      @@Mkemwemachoir Asante nashukuru

  • @abidandastanmaliyatabu1373
    @abidandastanmaliyatabu1373 Рік тому

    Mama k naona wewe ndo umebaki ktk kikundi cha mke mwema wengine ni sura mpya

  • @lukookitoko9590
    @lukookitoko9590 2 роки тому

    Amen Amen Mubarikiwe kwa kazi kubwa

  • @musasteven2954
    @musasteven2954 2 роки тому

    Mko vizuri hongereni

  • @medankiface9532
    @medankiface9532 3 роки тому

    The church where I was Babtisted and received the salvation, and the late Bishop Anthony Bungwa was the one who babtised me. Mungu awabariki sana kwaya ya mkoa wa Kigoma na Tanzania nzima Mke Mwema. Mama K huzeeki aisee

  • @kiyogeraafyayako4006
    @kiyogeraafyayako4006 5 років тому +3

    Kazi yenu njema Sana

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 2 роки тому

    Amen Asante Sana God bless you 🙏🙌

  • @zeldalucas8309
    @zeldalucas8309 3 роки тому

    Ni kweli Yesu ndie mtaaluma wa ndoa

  • @bigboni3660
    @bigboni3660 3 роки тому

    Amin amin

  • @Lord-Kipsang
    @Lord-Kipsang 4 роки тому

    Kasulu iko KIGOMA?Au sio??Safi sana.Barikiwa sana kutoka hapa NAIROBI KENYA.

    • @cejnimedia
      @cejnimedia 3 роки тому

      Mr. Praise the Lord. I have something to discuss with you. And the story is about NGOMMA, May i have your cantact???

  • @lolamhanuzi410
    @lolamhanuzi410 3 роки тому

    Nazidi kuwaelewa watumishi wa Mungu.

  • @janethmanuel3784
    @janethmanuel3784 2 роки тому

    Janelh, peço que o senhor protege vosso grupo de adoração em nome de Jesus amém

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 5 років тому +1

    How I miss this I didn't describe, wonderful song

  • @fredyligson6505
    @fredyligson6505 6 місяців тому

    Naomba namba za mwenyekiti wa kwaya hii au mchungaji wa kanisa hili

    • @Mkemwemachoir
      @Mkemwemachoir  6 місяців тому

      Namba za Mwenyekiti wa kwaya Mkemwema ni 0624405955

  • @mhandomachokolo9064
    @mhandomachokolo9064 4 роки тому

    mko vzr

  • @iradukundaeric2356
    @iradukundaeric2356 6 років тому +1

    Ongela xana

  • @samid090
    @samid090 6 років тому +2

    This what I call gospel. Be able to differentiate the difference

  • @seeyou8864
    @seeyou8864 5 років тому

    Nimewamiss

  • @divinesvesonia854
    @divinesvesonia854 6 років тому +1

    Awe mubarikiwe sana💓💓

  • @beatriceomino7321
    @beatriceomino7321 5 років тому +1

    Be blessed all

  • @eliyanibitanga4770
    @eliyanibitanga4770 3 роки тому

    ❤️

  • @eliudmwamahonje7614
    @eliudmwamahonje7614 5 років тому +1

    Barikiwa ila hamjatambulisha kwaya yenu mpo wapi mkoa gani?

    • @cejnimedia
      @cejnimedia 4 роки тому

      Kasulu mjini, mkoa wa Kigoma.

    • @helenahelena4869
      @helenahelena4869 2 роки тому

      Mubarikiwe sana kwa ya Kigoma kasuru tumebarikiwa mno mpo sahihi kabisa

  • @yvonneirakiza3990
    @yvonneirakiza3990 6 років тому +1

    Ndakumbuye igasulu kabisa

  • @Just5siblingsss
    @Just5siblingsss 5 років тому

    My favorite song