MCHAMBUZI AMBOKILEE APAGAWA GOLI LA DUBE/HILI NI GOLI MUHIMU KWA YANGA/ROBO FAINALI CAFCL SIDHANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 53

  • @yusrairakoze3966
    @yusrairakoze3966 21 годину тому +2

    Mimi kweli uyu mchambuzi huwaga simkubali mana anakauli chafu sana kwenye kinywa cake iyo kazi ya uchambuzi siyo yake kabisa

    • @Hezron-z9c
      @Hezron-z9c 19 годин тому

      Alipokua Abood media,, alikua anajua kuongea na kuchambua mpira,, Ila saivi alipoenda Efm,,saivi anaropoka ropoka na anaongea hovyo,,nadhan ameshalewa PESA za Majizoo

    • @IsabelaConstantino-ns7kx
      @IsabelaConstantino-ns7kx 16 годин тому

      Na mm pia anajichanganyagaaa

  • @MaryKagoma
    @MaryKagoma 22 години тому +2

    ulisema tunafungwa haya sasa tumefungwa.

  • @hamzajuma7063
    @hamzajuma7063 22 години тому +1

    We ni mnafiki broo

  • @AllyMuyaz
    @AllyMuyaz 21 годину тому +1

    Jibu swali tumefungwa na Mazembe au

  • @TibaMasoud
    @TibaMasoud 18 годин тому

    Kichwa cha habari akiendani na yanayozungumzwa hp mnafer bro

  • @FrankFanuel-r3k
    @FrankFanuel-r3k 9 годин тому

    Unafosi kwenda mjini kupitia media unapenda mikia hadi unaumwa,yanga tulimtibia yacouba, mapinduzi na wakapona

  • @PierreBukasa-fu3yx
    @PierreBukasa-fu3yx 5 годин тому

    Wewe ushasema ww ni nani? kacheze wewe, unawaita wenzio wachambuzi wa mchongo, wewe ni wa kununuliwa, hovyooooo,😮😮

  • @leonardlubala393
    @leonardlubala393 21 годину тому +1

    Na mshangaa huyu mchambuzi anaye laumu uongizi na utatuzi wake eti wasajili wachezaji wenye uwezo karibu na hao wachezaji anao sema wamechoka.
    Kwanza namshangaa kwa kusahau usajiri wa timu kuna idadi inayo ruhusiwa pia usajiri ni gharama pesa nyingi ina hitajika pia wachezaji waziri kila timu huwa ina wa hitaji hivyo kuna ushindani wa kuwa pata na kuwa sajiri hilo lote haoni.
    Hoja zake mbona soon hata kwa timu kubwa duniani kote kama hufanya kama anavyo shauri naona hajui anacho taka kuwaeleza anao taka wamsikie

  • @MariaMnthax
    @MariaMnthax 21 годину тому

    Wana yanga wezangu msitukwane ambokilee kwasababu anatembeya naupepoo tumusemeetu nayeye nibinadamu kama sisi

  • @MaikoMamboleo-dv9nn
    @MaikoMamboleo-dv9nn 22 години тому +1

    Ww nimnafiki

  • @HangiNgholo
    @HangiNgholo 20 годин тому

    Huyu jamaa tatizo anaongea sana ndio maana anajikuta anazungumza ukuma

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 21 годину тому

    Wachambuzi WA bongo woooite, wabahayishaji!

  • @doricehungu5817
    @doricehungu5817 18 годин тому

    Huyu Tena mmempa Mike jamniii

  • @reinfridlipili5666
    @reinfridlipili5666 13 годин тому

    Moja ya wachambuzi wapumbavu

    • @PierreBukasa-fu3yx
      @PierreBukasa-fu3yx 5 годин тому

      Yani katika wachambuzi wapuuzi haijawahi tokea ni huyu mpuuzi, dube amuombe radhi baaresa kwani ni baba yake, hovyoooo kabisa wewe,

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 18 годин тому

    Halafu mwanaume unachonga nyusiii jiangalie

  • @mussai.sillas3796
    @mussai.sillas3796 21 годину тому

    Sasa hawakushinda hao Mazembe

  • @sadathboutique6253
    @sadathboutique6253 17 годин тому

    Uyu mchambuzi hana akili ata moja na kichwa chake km box

  • @elishagregory1595
    @elishagregory1595 22 години тому

    Yani hiki kiumbe kiongo hatari sana

  • @brycesonmathias6112
    @brycesonmathias6112 21 годину тому

    Kwani Bahresa Santos Laana? Una maana Mchawi?

  • @NeemAmianaMramiFamily
    @NeemAmianaMramiFamily 20 годин тому

    Kwahiyo miaka yote YANGA asipofika robo club bingwa inamana pia wana YANGA pia walisema labda tucheze na malaika hiyo miaka iliopita au kisa Hilo neno limesemwa kipindi hiki muone domo mimate kibaaao
    Nenda ukawe wewe au unda timu yako basi

  • @johnwallace9842
    @johnwallace9842 6 годин тому

    Kwa mwenda naungana na wewe kwanza hanakiwango mbele ya kibwana

  • @afrahaselemani1170
    @afrahaselemani1170 19 годин тому

    Mbona kama ni mjinga huyu mzee

  • @Yassin-z6o
    @Yassin-z6o 19 годин тому

    Acha kauli za uchonganishi mpuuzi mkubwa. Ongelea mpira, acha kubwabwaja.

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 18 годин тому

    Mwanya kama taa za fuzooo mpumbavu, mike inakulevyaaa,

  • @johnwallace9842
    @johnwallace9842 6 годин тому

    Wewe muongo na mnafiki,leo unamponda dube wakati wewe ndoulikuwa unamsifia hivi juzi tu

  • @nicolastshilobo8304
    @nicolastshilobo8304 19 годин тому

    Uliongea tuta fungwa sisi Yanga...wachezaji wetu una waona wote ovyo ..auna ulolote

  • @HamadiMgeja
    @HamadiMgeja 20 годин тому

    Yaan huyu jamaa nimakaliyo ya kuku kabsa

  • @HamissiMaulidy
    @HamissiMaulidy 20 годин тому

    Kwlii mjeluman

  • @FarajaLutego
    @FarajaLutego 21 годину тому

    Yani ulisema ukajimaliza yan Hanna jema kwako unafik tu

  • @JonasGaspal
    @JonasGaspal 22 години тому +1

    Wewe ulisema leo tunafungwa nyingi zikuwapi sasa wewe usijifanye unajua kuongea mgonjwa wewe

  • @stevenkikamba5560
    @stevenkikamba5560 20 годин тому

    Hapa hamana mtu hapa

  • @mussai.sillas3796
    @mussai.sillas3796 21 годину тому

    Sasa umeanza porojo. Kwa hiyo yanga wanafeli kwasababu Mashabiki walisema wacheze na malaika?

  • @DrjosephKingo
    @DrjosephKingo 19 годин тому

    Huyu mchambuzi inabidi tufanye mpango wa kumdunda ndiyo atakuwa na adabu. Tumfuste nyumbani kwake tukamtandike mbele ya mkewe üumbavu kabisa huyu

  • @JacobJohn-hn3fl
    @JacobJohn-hn3fl 21 годину тому

    Unaita wachezaji takataka wewe kwenye uchambuzi umefanya nini ? Nenda na wewe super sport kachambue tukuone

  • @SumiziBalungula
    @SumiziBalungula 21 годину тому

    Huyo anatafuta kk

  • @HidayaOmare-hj6cp
    @HidayaOmare-hj6cp 22 години тому

    Mtangazaji mwambie huy baba aache unafki

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 20 годин тому

      😂😂Bado na Mzee WA Jambia Oruma

  • @NyangilaMwessanyangila
    @NyangilaMwessanyangila 21 годину тому

    Kati ya watu wa ovyo ni pamoja na wewe, tunaanza kufikilia hata wanaowapa kazi hizi wajitafikari hatuwezi kuwa na watu wa namna hii.

  • @NeemAmianaMramiFamily
    @NeemAmianaMramiFamily 20 годин тому

    Yani Hawa wachambuzi wa hapa bongo tz kama ingelikua wanaongea English mwanzo mwisho Dunia ikawasikia Yaani wangetutia haibu sana
    Mana baadhi Yao ni wachambuzi wa hovyo hovyo kabisa kama huyu na sisi pia tumwambieni kama akinuna anune tu
    Embu tumchunguze cv yake ya uchambuzi
    Mana anatutia Aibu sana huyu na wenzake baadhi Yao
    Ni wachambuzi wa hovyo sijui wametokea wapi Hawa jamani daaah.

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 20 годин тому

      Wasamee TU wanatafuta ugali ndokina Oruma hao

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki 16 годин тому

    Unajua wewe ni mchambuzi ambaye wengi wanaweza sema unaongea vibaya lakini mara nyingine unafumbua macho uongozi wa time zetu ila mara nyingine tena unaongea mbovu

  • @PeterMussa-sm7if
    @PeterMussa-sm7if 21 годину тому

    Haaaaa yanga atapigwa tatu

  • @nicolastshilobo8304
    @nicolastshilobo8304 19 годин тому

    Mpuuzi wewe..ulisema tuta fungwa

  • @nejamsalo9287
    @nejamsalo9287 19 годин тому

    Kumbe wewe ni mpuuzi

  • @peterzacharia3321
    @peterzacharia3321 21 годину тому

    Mpumbavu

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 17 годин тому

    Unaongea nn ss wewe????? Mfyuuuuu

  • @PrisilaKatobe
    @PrisilaKatobe 21 годину тому

    mnafiki wewe

  • @masanjanyaga7722
    @masanjanyaga7722 19 годин тому

    Lijinga

  • @eliaichimsuya2266
    @eliaichimsuya2266 21 годину тому

    Aibuu imekushika ulisema tunafungwa