Am Philip from Kenya ,(mlolongo)congratulation Steve n your team u always make my ......this is pure talent bro hope to see u soon hapa kwetu Kenya ....big up brother
Jamani msiandike god andikeni GOD au God Anza na herufi kubwa pia usiandike mungu ila Andika MUNGU au Mungu kumbuka kuwa ukianza Kwa herufi ndogo maana yake ni miungu so tuweni makini sana
Am Philip from Kenya ,(mlolongo)congratulation Steve n your team u always make my ......this is pure talent bro hope to see u soon hapa kwetu Kenya ....big up brother
From kenya.steve na sele comedians of all time
Nakubali sana kundi zima,Niko Congo DRC 🇨🇩
Stive nakupenda sana bro big up
steve Dogo sele anakaa buza wapi
Nimempenda huyo Dada..anajua kuigza
Sele na Steve mweusi unatixha hogera xna na mungu awabariki mwedekee hivo
😂😂😂 ugali ngazi mbili kama keki? 😂😂 Respect Steve mweusi👏👏
Hatar sana ua-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/v-deo.html
Kazi nzuri sana
9:02 ua-cam.com/video/ObkUUy3PWpw/v-deo.html
Steve, we noma af lipa hela ya karanga syo kuanza kufagia dukan kwa watu
Mimi niko nchi ya Rwanda ninawashukulu sana video zenu zilinisaidia na zinanisaidia kujifunza kiswahili
Asante
Hongera kwa kujifunza kiswahili
Ugali kubwa jamani daah🤣🤣🤣🤣steve hakuna vya bure🤣🤣 steve +sele🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️
Sf sanaa dogo sele na Steve lakn ugar n mwing mungeumaliza kwer
Aiseeeee hiii Kali sana nawakubar sana wana
Mko vzr dogo sele na kubwa jinga
Safi kabisa. Uncle ni mbambe
Yobra mpenda stuff steve n pee aziza
Somo wangu Steve nawapenda tena sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Steve nice job 🇰🇪🇰🇪❤❤😅😅😅😅
Watching from +254
Nzuri sana😂😂
Ninapenda sana kaka zangu
Mohamed natoka misri
Keep going 👏👏👏👏👏
Thus happy birthday part or infact vegetables no sijui itakuja isha kweli njaa kitu mbaya saana wapi like za steve bravo
Ongera commenty from 🇨🇩
Penda sana dadaaaa ❤❤❤❤❤
Kkkk dogo sele na stiven noma kabisa
Jamani msiandike god andikeni GOD au God Anza na herufi kubwa pia usiandike mungu ila Andika MUNGU au Mungu kumbuka kuwa ukianza Kwa herufi ndogo maana yake ni miungu so tuweni makini sana
Duh mmetisha kinoma ilove dogo sele and steve
Hahahaha mnanifurahisha sana jaman hata kama nina stress zinaisha
Uyu kaka na sele wanajua kuigiza
👐👐👐👐 $teve Mweusi ume zidi Sasa vituko😂😂
kweli movie senu sinapendesa
😂😂😂😂Wawa utamaliza kaka🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kazi nzuri kabisa Blaise banyene toka DRC
Kawaidha Kali hio
Hongela kwa kazi
Huyo mdada namb steve npatie asee rangi adim hzo
Steve lipa karanga wewe 😂😂😂 from kenya
Hahahhahhaaahaha Steve hatariiii na Dogo kazi nzur sana
Ugali nganzi mbili kama keki mmetisha .
Big up sana
lipa kalanga steve alf fagia vzr.
Nzuri xan
Duhhh baba ilo nguna.inafurahisha sanaa kazi nzuri soon 1million subscribers god bless you all. Uliahidi wiki tatu tumjue mshindi kaka
Safi sana yy
Dogo unajua 🤟🏾kizazi sana
Jamni huu ugali kibokoooooo 😂😂😂😂😂
Wajifanya kuchukua vtu bila kutumwa utajuwa hujui KONKI🇰🇪
Hongela sana dogo sele ulikariwa na kipaji kikubwa ukiwa bado kijana chipukizi big up sn all grp
Sele uko sawa,, keep up bro
Sele kamuuza Steve. 🤣🤣🤣🤣🤣
Duu!siyo kwa kuchukia huko
Hongera dog sele Nazi nzuli
Nime furahi sana
kazi yako nzuri sitivu mweusi
Nouma sana ua-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/v-deo.html
Kazi nzuri nawapenda
NC kaka nakupenda napenda na group yako
Steve natamani kufanya kazi na wewe
Good vidéo
😂😂ila steve akili zako unazijuwa mwenyewe
Love you from Burundi
nimepend iy
Shukuran!!! Kazi nzuri @steve-mweusi & Dogo sele 🇹🇿 💚
Nakupoge. Natamani namm
Moto sana 🔥🔥🔥
Wacha nianze kicheka kwanza 🤣🤣😂🤣😂🤣🤣 sijaangalia bado
Mwanangu nlidhani matani kumbe kweli wewe mkali mm shabiki wako 254
Hahaha jmni Steve na sele mnanipa furahaa sanaa
Sibora mngechukua dagaa steve😂😂😂
Dah mlichelewa kidogo safari hiii
napeden vidéo Yako ♥️👉
Kipaji kikubwa dogo sele
Noma sana
Nafurai sana apa angola
Munakopaj kwel
Safi sana
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ndani
Steve unatisha Sana kamanda Wangu
Nice one today
Heheheee ua-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/v-deo.html
Kali snaa
Mulifrahishaaaaa jmn
Ugali kama keki dash 😂😂😂😂😂 Steve mweusi ni hatari sana
Hili Steve ni jinga sana linapelekeshwa Na mtoto mdogo ety
Sija pend dog sele😢😢
Jameni dele umetisha
Sele mara mingi unaacha uncle steve hatarini, kazi nzuri lakini, BJ kutoka kenya, ila nawatazama nikiwa saudia
Kaxi nzur sana
Waah ugali mlima😂😂😂 one love from Kenya✌✌
Tena umepasukapasuka kwa ugumu.
@@csato9415 😂😂😂
😂😂😂😂😂
Steve lipa karanga
Hahaha,,mwapendeza kwa kazi yenu🔥
Hongera sana dogo sele
Sele pamoja na steve nooooooooma
Stive wewe ni wa kulilia dagaa kweli😀😀😀😀
More love kwako Steve na dogo sele❤❤❤
KAZI nzuri sana bro
KAZI nzuri sana bro
Nawakubali Sana
unajua dogo
Salute 🇰🇲 comoros
Daaa Steve mweus 😄😄 jamni
😂😂😂😂😂😂stive mshenzi kweli😂😂😂😂
Kenya watching
Hatar ua-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/v-deo.html
Jina lake malebo🤣🤣🤣kalanga!!
waooo nice job 😍😍😍😍
😂😂😂 duuuh ugali wote
Steve kasema nyumbani wanataka kuniua🤣🤣🤣
Mulifanya vizuri kuingiza mtukufu
Vichekesho vyake na Dogo sele ni mno