Mizengo Pinda ataka wana CCM kuepuka maneno ya uchochezi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • Waziri Mkuu Mstaafu ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa, Mizengo Pinda amewataka wanachama CCM wanaotaka kugombea nafasi yoyote kujiepusha na maneno ya uchochezi yanayoweza kuharibu mahusiano baina yao.

КОМЕНТАРІ •