Leo nimemmiss mzee wangu JPM, endelea kupumzika kwa amani baba yangu na kiongozi na mwalimu wangu, ulienifundisha angalau hata namna ya kuendesha familia tu, asante sana, Tutaonana siku moja.
Wah...Poleni sana sana wenzetu. I loved listening to Mzee Rais Magufuli talk and Advocate for the Helpless. Jameni naomba Mungu atupe Amani rohoni zetu kwa wakati huu mchungu hivi.
🤔naona wadhungu wameitana kmataifa uku wanaangalia upendo huu kwa jcho flan iv,,thic iz Tz,wa2wake n wema saana na wenye upendo daima dumu na ha2po tayar kuichezea kamal nchi ye2,,#MAGUFULI HAAIIIII🤝
Fair well president magufuli,l believe wit u Hakuna corona n Hakuna hata Tiba yake ila Mola atuhurumie,,, l was sick covid n l only used vitamins supplements no madawa, hujafa corona nachukizwa na wanao Sema hayo bye bye n rip forever u good deeds will remain to Tanzanians n all over the world
Inna lillahi wa inna lillahi rajin Magufuli, people love u, and we will always luv you, may Allah grant Janna in shaa Allah, we will miss you my hero, we will follow too in shaa Allah, lots of love from Uganda
Seriously kila nikiamka naona kama jana ilikua ndoto, i can't believe that he is diead, 😭😭 , my heart is full of sadness , i have pain that i never felt before , HAVE A SAFE JOURNEY my beloved PRESIDENT.
Hivi Kibaraka Tundu Lissu anajisikiaje akiona umati wa watu ukimlilia Hayati JPM!??? Ewe Lissu acha kukebehi huu msiba, hao mabeberu wanaokufadhili watakutumia kisha wakikuchoka watakutupa kama toilet paper
Kasema eti ,,huu msiba gani ,mnamzungusha mtu mini yote iko nje ya Katiba,,lishoga linaropoka huko Twitter Kama halina akili..siku ataropoka kuwa amemuua oohoo
Nahitaji sasa dunia ione watanzania tunavyoheshimu misingi iliyowekwa na viongozi wetu undugu,kupendana,kisaidiana katika shida na raha Raisi wetu magufuli 😭😭 ni kiongozi wa mfano katika Karne hii
Wazungu ni adui zetu waliona mazuri magufulli yaliokuwa anafanya na waliamua kueleza dawa za kumua mungu anawaona I know what I said above they can't understand they foolish
Leo nimemmiss mzee wangu JPM, endelea kupumzika kwa amani baba yangu na kiongozi na mwalimu wangu, ulienifundisha angalau hata namna ya kuendesha familia tu, asante sana, Tutaonana siku moja.
Wah...Poleni sana sana wenzetu. I loved listening to Mzee Rais Magufuli talk and Advocate for the Helpless. Jameni naomba Mungu atupe Amani rohoni zetu kwa wakati huu mchungu hivi.
Jamani sijawahi kuona raisi aliependwa katika karne hii km baba magufuli..rip tulikupenda lkn mungu kakupenda zaidi forever in our ❤️
None
Kwakweli Ni upendo mkubwa Sana hajawahi kutokekea
Aaa wp ach ushamb
This is just genuine love Tanzaniansto your late president.its just painful 😭
He was dearly loved,thats what it means to serve your country.
🤔naona wadhungu wameitana kmataifa uku wanaangalia upendo huu kwa jcho flan iv,,thic iz Tz,wa2wake n wema saana na wenye upendo daima dumu na ha2po tayar kuichezea kamal nchi ye2,,#MAGUFULI HAAIIIII🤝
Nimefahamu short hand
Mimi nawaza kitu kichwani kwamba huyu mzee wetu Magufuli Alikataza chanjo tusiletewe Sasa saivi hayupo itakuwaje yaani hata sielewi kitakachotokea
Lala salama Great Magufuli. Always in my heart Baba
Baba ulale salama, dad ulale salama in Chege's voice.....Mungu ampe pumziko la milele
Mwenyeezi mungu akuweke mahali pema haitatokea kwa Kiongozi kama wewe Baba pepo unayoo
Lalala salama Baba Jp Magufuri from Rwanda🇷🇼 Mungu Baba Ubaliki Tanzania na wana Nchi kwaujumla
Hakika ulikuwa kipenzi cha watu,nenda baba umecha umepanua akili yangu mpaka najishangaa,Mungu akuweke mahali pema peponi.
Mungu wetu unae jua zaidi ya sisi.... Naomba ukinge machozi ya watanzania n kila mtu alo guswa na msiba huu.... Naumia sana😭😭😭😭lala salama baba yangu.
From Kenya more love ♥️♥️
Fair well president magufuli,l believe wit u Hakuna corona n Hakuna hata Tiba yake ila Mola atuhurumie,,, l was sick covid n l only used vitamins supplements no madawa, hujafa corona nachukizwa na wanao Sema hayo bye bye n rip forever u good deeds will remain to Tanzanians n all over the world
Haukuwa rais tu bali mwalimu .Umetufunza na kutukomboa kifikra.Asante sana
Inna lillahi wa inna lillahi rajin Magufuli, people love u, and we will always luv you, may Allah grant Janna in shaa Allah, we will miss you my hero, we will follow too in shaa Allah, lots of love from Uganda
He was a true leader.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤲🤲Waliyo soma chuo cha thaqeb mwanza kilmahewa sokoni enzi za chufu na hussen ustath adam na issa na ustathi almas tukutane hapa😊
Ni ngumu kusahau R.I.P JPM🙏
Seriously kila nikiamka naona kama jana ilikua ndoto, i can't believe that he is diead, 😭😭 , my heart is full of sadness , i have pain that i never felt before , HAVE A SAFE JOURNEY my beloved PRESIDENT.
😭😭😭 Ni ngum kusahau Ila binadam niwabaya Sana saivi Tz tunaishi Kama yatima inaumiza Sana . Yamwenzako yasikie Ila yasikukute
Lala salama baba Mungu ailaze roho yako mahalapema 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Watanzania kweli wamemlilia rais wao... Haya ni majonzi majonzi mazito... Poleni ndugu zetu
Baba yetu Magufuli tunakupenda sana,pumzika kwa Aman baba 😭😭😭
Pumzk salama jpm
From Kenya I feel it ,, too sad indeed ,,alikuwa raisi mwema
Wow this man was loved by his people,
Mungu angalia tu maumivu ya watanzania
Naumpokee mtumishi wa Watanzania wachapakazi
Pumzika kwahamani kipenzi Cha watu mungu wetu awe pamoja nawe milele daima tutakukumbuka daima
Iam sure if magufuli died a natural death ..some gready pple took his life ...i stil cant blv it
Am sure their days are numbered and they can't hide for a long
Sure they will pay for it
Oh the tears that drenched the ground will never dry
How sure are you?? Vitu zingine ni Mungu mwenyewe bwana. Stop complicating issues
Hakuna ajabu yeye pia binadam
Hivi Kibaraka Tundu Lissu anajisikiaje akiona umati wa watu ukimlilia Hayati JPM!???
Ewe Lissu acha kukebehi huu msiba, hao mabeberu wanaokufadhili watakutumia kisha wakikuchoka watakutupa kama toilet paper
Kasema eti ,,huu msiba gani ,mnamzungusha mtu mini yote iko nje ya Katiba,,lishoga linaropoka huko Twitter Kama halina akili..siku ataropoka kuwa amemuua oohoo
Yaani silipendi Hilo jitu sijui ndio kinaitwa lisss😏😏
Simpendi kufa
Thanks to the love u pple showed him
Mungu akulaze peponi jembe letu la wanyonge
Huyu jama makufuli Rais was tanzania kweli alikuwa muchapa kazi sana siotujama wamatusi matharao nakujipigakufua Kama Rais wa Kenya Ruto.
❤️❤️❤️❤️❤️❤️much love 👏
Ai masikini kigogo na lissue wametuweza
Kwa lipi mbwa wale uswaze watakbali
Hawajatuweza tutawezwa na Mungu tu maana yeye ndo aliyeiumba nchi yetu,nawao siku zao ni chache,wao wakifa tutawakumbuka kwa lipi?
Wahuni do wahusika kwa hili nyoko wao.
Hatuna Cha kusema 😭😭
Watanzania wanajua kuomboleza sana...
Kweli manabii walitoka Africa
Dah jamaniiiiii we will remember you always ❤️❤️🇹🇿🇹🇿
This love 😭😭😭😭😭
Salute
Nahitaji sasa dunia ione watanzania tunavyoheshimu misingi iliyowekwa na viongozi wetu undugu,kupendana,kisaidiana katika shida na raha
Raisi wetu magufuli 😭😭 ni kiongozi wa mfano katika Karne hii
Apart from tundu aliangaika damu hata haijakuwa baridi
Wasafi nawapata sana huyo nikijana kutoka katoro geita arimuenzi shupavu wetu kwa pushaph
Wazungu hawajaongea kitu kwa raho zao mbaya, mapenzi yametawala kwa kiongonzi wa wanyonge na maskini
😭😭😭😭😭😭😭Rip our president JM 🙏🙏🙏❤❤❤❤🇩🇪🇩🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nashindwa kukusahau Rais Wangu
Jasiri mtendakazi umeenda
Jasiri mtendakazi umeenda, pumzika kwa amani shujaa wa afrika.
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Kweli tuta mpata kama ww kweli labda miaka mia ijayo
🙏🏼😭😭😭😭😭
I can't stop crying
😭😭🕊💔we miss you president
Such love😪😪😱
Museveni do you copy ???
🤬😤museveni kajifanya mfalme wa Uganda
RIP President Magufuli
🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Wazungu ni adui zetu waliona mazuri magufulli yaliokuwa anafanya na waliamua kueleza dawa za kumua mungu anawaona I know what I said above they can't understand they foolish
Lala salama baba
Hi video imefanya nilie😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Ya mungu mengi
Huyo askari mwenye pikipiki😏any wey lala Salama magu
Chemistry
Remain in our heart
Alikuwa mtu wa watu Endelea kupumzika jpm
Inaliza kuangalia video hii😭😭😭
Chuma tutakukumbuka kama ulivyosema
Magufuri rara salama
The love
Lala salama baba .
Atimae umetuacha daah
😭😭😭😭
Mwanamwema wa Africa
Weee hiyo in noma
Tunalia kila siku kwa ajili yko
Baba pumzika salama
Prezo baba laooooooo.
This is very sad indeed.
Kizur hakidumu
😭😭😭😭😭😭😢
Ulale salama babaa
Hii kuweka nguo barabarani inna nia gani.
Niilimisheni .Mkenya mie
Respect i think tungekuwa na capet kubwa la kutosha barabara zote tungetandika coz tunaona ata kanga hazitoshi he deserves a red capet.
@@alicepatrick2453 Shukran
Baba umetuwacha kamili magufuli
Game
Uchungu roho
Rest easy JPM
Nikiangalia iz vidio ndio napt uchung bola tu nisiwe natazama
😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤦♀️🤦♀️
Anyony
Ila watuu daa
Rip
Û
Eeeeh ulale salama papa africa mungu aweke roho yako mahali ya roho za wema zina POWEKWA.R.I.P Mr hero of africa. Love from Burundi
Well
Amiiin
Ameen 🙏
Pumzika kwahamani kipenzi Cha watu mungu wetu awe pamoja nawe milele daima tutakukumbuka daima
😭😭😭
😭😭😭😭