KAMA SIYO YESU, NANI TENA?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 74

  • @NeemaDaniel-j3g
    @NeemaDaniel-j3g 2 години тому +5

    Asante baba kweli na Leo kafunga goli ,Mungu amjalie ukawe mwanzo Bora kwake

  • @AmonBambanza
    @AmonBambanza 3 години тому +10

    Tunaompenda apostle , Tuseme Amen ❤❤❤❤❤

    • @benmbwele
      @benmbwele 2 години тому

      Amen

    • @FantaJAY-u2x
      @FantaJAY-u2x Годину тому

      Nimeamini hakuna sehemu nyingine ya kukimbilia mambo yanapokuwa magumu isipokuwa ni mbele za MUNGU TU.

  • @elishapeterbalele3879
    @elishapeterbalele3879 40 хвилин тому

    Eeh MUNGU BABA UTUKUMBUKE NA SIE WA MSIMBAZI...NEEMA NA BARAKA ZAKO KUPITIA CHIEF APOSTLE ZISITUPITE PALE MSIMBAZI KWA JINA LA YESU KRISTO AMEN

  • @martinlinje8625
    @martinlinje8625 4 години тому +5

    Ubarikiwe sana apostle, naomba wafungue vifungo wachezaji wetu wote na ibariki Yanga kwa jjumla wake🙏

  • @josephinemeena2207
    @josephinemeena2207 4 години тому +4

    Be blessed Man of God

  • @gersontibendelana2738
    @gersontibendelana2738 3 години тому +3

    Let brag for our Jesus...🎉🎉🎉🎉Chief Apostle

  • @JacklineIkoki
    @JacklineIkoki 31 хвилина тому

    That's my chief apostle mtalemwa ❤❤

  • @IreneKashasha
    @IreneKashasha 4 години тому +3

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Apostle Apostle

  • @AmonBambanza
    @AmonBambanza 3 години тому +3

    Ubarikiwe sana apostle tena kwa neema Leo kafunga

  • @SaraM-m1d
    @SaraM-m1d 2 години тому +2

    Amen

  • @matrida.lunyilija5196
    @matrida.lunyilija5196 Годину тому

    Mungu hashindwi,asante apostor kwa kumuombea dube na amefunga leo

  • @gambasonDennissonofmajoron6012
    @gambasonDennissonofmajoron6012 3 години тому +1

    Indeed God of Major is great we praise God for what is doing

  • @nesmoskanyuto6715
    @nesmoskanyuto6715 Годину тому

    Amen!!

  • @DAUDILUGUSI-db9vs
    @DAUDILUGUSI-db9vs 12 хвилин тому

    Safi sana umekimbilia kwenye uzima

  • @petermsihi8416
    @petermsihi8416 3 години тому +1

    Glory to God, Mungu AKUBARIKI Mtume.

  • @DeusMwananjela
    @DeusMwananjela 3 години тому +1

    Asante baba ❤ tusaidie tufanye vizuri

  • @Forester__
    @Forester__ 4 години тому +2

    Be blessed Man of God, son of my Father Major 1

  • @lucyopanda6818
    @lucyopanda6818 3 години тому +2

    Glory to God

  • @josephdossantos7316
    @josephdossantos7316 4 години тому +1

    Amen in the name of Jésus christ

  • @upendomsuya4754
    @upendomsuya4754 4 години тому +1

    Glory be to God🔥🔥🔥

  • @mwanimussatv
    @mwanimussatv 2 години тому +1

    Ashukuriwe Mungu Tu 🙌

  • @majormajomjohn3775
    @majormajomjohn3775 3 години тому +1

    Asante mtumishi Kwa ukombozi wa kijana wetu

  • @ilynnehouseofmanywele7806
    @ilynnehouseofmanywele7806 3 години тому +1

    Mungu ametenda asante baba

  • @AnnaMzava-o2j
    @AnnaMzava-o2j 3 години тому +1

    Ameeen

  • @zionembassytv5672
    @zionembassytv5672 3 години тому +1

    What mighty God we serve💪💪💪💞

  • @patricksebastian5617
    @patricksebastian5617 4 години тому +1

    Asante apostle

  • @phiddeschacha3143
    @phiddeschacha3143 2 години тому +1

    Amen kubwa kabisa prophet na kijana ameshafunguliwa na leo amewakanda makunguru weusi huko😂😂😂👏😊

  • @tetri-numz96
    @tetri-numz96 2 години тому +3

    Daah Apostle tunaomba na Azizi ki aombewe

  • @LeonardEdward-fb2bn
    @LeonardEdward-fb2bn 4 години тому +1

    You're the Son of the living God 🙏

  • @isabellakihampa3112
    @isabellakihampa3112 2 години тому +1

    Kila goti na kila ulimi ukiri makuu ya MUNGU

  • @CatherineFrancis-ii7eq
    @CatherineFrancis-ii7eq 3 години тому +1

    GOD IS GOOD ALL THE TIME💥

  • @LucianaSintufya
    @LucianaSintufya 28 хвилин тому

    kumbe Mlizoea kushinda kwa uchawi leo wanashinda wenzenu mnaona wanashinda kwa uchawi, na bado na bado

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 2 години тому

    Asante baba kumbe ulimfanyia maombi Leo katupia

  • @NijimbereBeatrice-vi1ku
    @NijimbereBeatrice-vi1ku 2 години тому +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @LuciLici
    @LuciLici 2 години тому +1

    Ameeen Yan kwel

  • @kudrathmohammed
    @kudrathmohammed Годину тому

    Wachezaji watakuja wengine kuwaombea

  • @BarakaTakara
    @BarakaTakara Годину тому

    Ameni

  • @acariusamos6228
    @acariusamos6228 2 години тому +1

    Asante baba gusa ata max na muda Nao viwango da

  • @kristofuraha
    @kristofuraha 2 години тому +2

    Damu ya Yesu sio kwaajili ya vitu kama hivyo, damu ya Yesu ni kwaajili ya ondoleo la dhambi

    • @patricksebastian5617
      @patricksebastian5617 2 хвилини тому

      @@kristofuraha dube kafunga baada ya kuwekewa mikono na kuombewa hapo unasemaje?

  • @rickyphilemon2623
    @rickyphilemon2623 38 хвилин тому

    Daaaah ila Tanzania wapumbavu ni wengi kwahyo asinge funga asinge postiwa????😅😅😅😅😅

  • @abubakarbajun3503
    @abubakarbajun3503 Годину тому +1

    Hiziiii imani za dunia ya leo mungu na mpiraaa wapiii na wapiii huyo ni mgangaa au anasoma kitabu gani kinatajaa mpiraaa hahahaha

  • @noelswai2660
    @noelswai2660 3 години тому +1

    Naam hakika 🙌

  • @Boniphacetz-w9x
    @Boniphacetz-w9x 3 години тому +1

    Baba muombee na aziz

  • @abubakarbajun3503
    @abubakarbajun3503 Годину тому

    Hahahajaaa😅😅😅😅😅😅

  • @stevenchal9681
    @stevenchal9681 3 години тому +1

    Ungepost kabla ningekuelewa

  • @ShabaniHashim-w7k
    @ShabaniHashim-w7k Годину тому

    wachezaj wote w yanga wapelekwe kanisan kwko uwaombee kw kweli wote wapo hoi

  • @HajiMaliki-y6o
    @HajiMaliki-y6o 2 години тому

    Ndo tumefikia uku jaman

  • @dismassamwel7130
    @dismassamwel7130 3 години тому

    Ndio maana leo kafunga😂😂

  • @Rihannaboniphace
    @Rihannaboniphace 2 години тому

    Kumbe aliombewa na apostle mtalemwa jmn moto ule ule unarudi nawale maadui wake kazi wanayo

  • @musamshema7838
    @musamshema7838 2 години тому +1

    Azam wamefundishwa uchawi na simba
    Yaani simba inaenda kuharibu ligiyetu kwa kuendeleza ushirikina wachezaji wanalogwasana sasa simba imeifundisha Azam kuloga wachezaji

  • @EdwardPaul-bd2fx
    @EdwardPaul-bd2fx 2 години тому

    Yani sio Dube tu timu yote inahitaji maombi kweli

  • @BishiraMunga-ey6jx
    @BishiraMunga-ey6jx 2 години тому

    Walikuwa wanamroga mtoto wawatu,mchungaji endelea hnayo maono

  • @MaikoMamboleo-dv9nn
    @MaikoMamboleo-dv9nn 3 години тому +1

    Mchungaji tunashugulu sana

    • @vedastomfilinge3583
      @vedastomfilinge3583 Годину тому

      Instagram 6 days ago alipost picha ya Dube na ujumbe.... Kwa tunaomfuatilia huyu mtumishi wa Mungu haya mambo sio mageni kufanyika

  • @draxelr-vc9wr
    @draxelr-vc9wr 3 години тому

    Me ni simba dam dam lakin wachezaj wanavofanyiana daaaah bola dube alivostuka mapema

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 3 години тому

    Waende kwenye maombi wote

  • @MustafaMustafa-t4n
    @MustafaMustafa-t4n 4 години тому

    Isaidie timu yetu mchungaji

  • @GilbertAMalisa27
    @GilbertAMalisa27 4 години тому

    Yajayoo Yana furahishaaa ✅ . All the best Dube✊

  • @vedastogulanya5855
    @vedastogulanya5855 2 години тому

    Huu ni uhuni kama uhuni mwingine tu, kwanini huku post kabla ya Mechi? Tukueleweje kwamba maombi Yako ndo yamefanya kazi kwa kuwa leo kafunga?

  • @Kisigino
    @Kisigino 2 години тому

    Ukisia upumbavu wa kichungaji ndio huu sasa Kama huyu mchungaji anaombea mipira na ukiangalia Mungu hawezi changamana na haya mambo ya kimpira bac hata huyu nabii anamtumikia shetani bila kusita

    • @AlmasAbdallah-r3g
      @AlmasAbdallah-r3g Годину тому

      Kila mtu Atapewa na Muumba hapa duniani kutokana na Imani yake.Hivi mzinifu akiwa anaomba kwa Mungu pesa kwa lengo la kwenda kuzini anaweza pata au hatopewa milele kwakuwa anataka kuzini??😁😁

    • @Kisigino
      @Kisigino Годину тому

      @AlmasAbdallah-r3g hiyo ni akili ya kibinadam na sio wazo la kiungu ndani yako

    • @AlmasAbdallah-r3g
      @AlmasAbdallah-r3g Годину тому

      @Kisigino Jibu Swali mtu akiomba kwa namna hiyo anaweza pata?? Na anaempa pesa ni nani??

    • @Kisigino
      @Kisigino Годину тому

      @AlmasAbdallah-r3g Mungu hawezi fungamana na uchafu kwahiyo hicho kitu hakipo

    • @vedastomfilinge3583
      @vedastomfilinge3583 Годину тому

      ​@@KisiginoMungu Hana timu ila wachezaji ni wote ni watoto wake... Sasa kama Kuna kifungo chochote Cha Giza ukimtumaini hakika anakuondolea

  • @isabellakihampa3112
    @isabellakihampa3112 2 години тому

    Ameeen

  • @elizajames2630
    @elizajames2630 Годину тому

    Amen

  • @givenlawi4171
    @givenlawi4171 21 хвилина тому

    Amen