UNATAKA KUWEKA GAME LA MPIRA KWENYE PSPP LAKINI PSPP FOLDER AUONI ANGALIA HII VIDEO
Вставка
- Опубліковано 25 січ 2024
- angalia mwanzo mwisho uweze kuset game lako kwa msaada binafsi WhatsApp 0612111793
• Jinsi ya kuset PES iki...
Jiunge kwenye magroup yetu :linktr.ee/tonygamingtz - Ігри
Yani wee jamaa umenifanya nikusabscrub kwasababu hauna mambo mengi unaelekeza fasta mtu anaelewa asnte kaka sio wengine wanazunguuka kama nn
Asante kaka
E
Kwa watuamiaj wa iphone x
Una pspp kwani
Dh!!! Kaka mm nimejalibu kadili ya uwezo wangu lakini sijafanikiwa kaka nisaidie.
@@ringstone5388 unaseti game gani
@@ringstone5388 maana maelezo yapo clearly mbona kaka
@@tonygamingtz nikweli maelezo yapo vzuri sana ila lakwangu lilikuwa limesetiwa vyema sana na kucheza nalicheza vizuri ila sijui niwapi nilipo kosea likakaa muundo wa kusetiwa tena
@@tonygamingtz naset gem la PPSSPP
@@ringstone5388 la mpira si ndio