Wanawake wa herufi "R" hii ndio siri ya maisha yao.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 112

  • @uwimanacitegetse9926
    @uwimanacitegetse9926 Рік тому +2

    That’s why I love this channel❤

  • @SalmaKenyatta-cn8tg
    @SalmaKenyatta-cn8tg Місяць тому

    Namuombea Maam angu Ampe Umri mrefu maan yupo ktuka kipnd ambacho Nikimuona nalia kwa uchungu Anajitahd sana kusaidia watu walin analipwa ubaya SubhanaAllah Nilindie Mama angu❤ Nampenda

  • @rhobiwambura8109
    @rhobiwambura8109 Рік тому +2

    Da km namuona Rehema Charamila.

  • @ChristneNabude-qm6us
    @ChristneNabude-qm6us 16 днів тому

    Mungu anisadie juu iiyote nimimi haki munipeee dawa sasa but kwa ugojwa hapo sikubuki

  • @RaliaMohamed-q8l
    @RaliaMohamed-q8l 3 місяці тому +1

    Asante kaka nikweli kabisa ndoa sina nimepitia hayo ulosema nitihani tu na nimeitwa mchawi na dadangu na kuchukiwa na familia😭

  • @Steward-HO
    @Steward-HO 9 місяців тому +1

    Kweli jamani mm mpaka mahali nimetolewa mm mwenyew nikagaili jamani kweli upo sahihi mimi naitwa mwajabu

  • @Reemysidimaojo
    @Reemysidimaojo 5 місяців тому +1

    Mm niachie kukasirika tu bc na sina yota ya mpnzi bt kwenye kutafta hela mbn nina bahti mie allhamdulilah ❤

  • @RebinaBilaulyLP
    @RebinaBilaulyLP Місяць тому

    Kweli kabisa kaka mm Yani nasumbuliwa sana nakichwa pamoja na miguu alafu kwenye upande wamahusiano ni meachwa mwezi ulio pita na mwanaume mwenye heruf A nandugu wamume hawatak ata kuniona

  • @saimarmuhsin9578
    @saimarmuhsin9578 6 місяців тому +2

    Yaani hapo kwenye uongo nina watoto hao mmoja anazia na R na mwingine F kwanza hawapatani km. Chui na paka na hapo kwenye uongo hapo wanaenza wakachongea kifupi hatari hapo kwenye kuumwa tumbo bint yangu mwenye herefu R anasumbuliea sana na kaumivu ya tumbo hasa kwenye kitovu Allah awanusuru kwa kutokuzaa amiin

    • @antusajoseph9360
      @antusajoseph9360 6 місяців тому +1

      Nina mtoto wa Jina Hilo napiga kisa uongo

  • @RahmaAlly-pe2vb
    @RahmaAlly-pe2vb 10 днів тому

    Kaka najiona mm yooote ni kweli najitahid mm kuliko wezangu lakin mtu mbaya ndo mm Sina jema natajwa ubaya tu hata haki katika family nanyimwa

  • @Reemysidimaojo
    @Reemysidimaojo 5 місяців тому

    Mm mwenyewe niliiungua utoton bt ilikua pumu na sai nko imara kabsa sishikwi na mongojwa hovyo allhamdulilah naeza maliz miaka mitatu bila kushikwa na kuungua hta siku moja nshukuru mungu tu

  • @RehemaKhamis-k8s
    @RehemaKhamis-k8s Рік тому +1

    ❤❤❤❤kweli kamauppo

  • @Steward-HO
    @Steward-HO 9 місяців тому +2

    Wewe ni mkweli mungu akujalie

    • @HamzaBakari-qd4fw
      @HamzaBakari-qd4fw 8 місяців тому

      Kaka nakukubali kaka nimefanya tafiti sana kaka ,nipo mkoa wa lindi wilaya ya ruangwa

    • @Steward-HO
      @Steward-HO 8 місяців тому

      @@HamzaBakari-qd4fw wewe upo rwanga Kaka yangu wewe

  • @VeronicaMwingila-fh8ds
    @VeronicaMwingila-fh8ds 9 місяців тому +2

    Mwanangu feisal aishiwi mago njwa analuhusiwa kubadil jn

  • @OtiliaPius-dr1be
    @OtiliaPius-dr1be Місяць тому

    Nikweli Maalim hao wanaobisha wasamehe ila tunaojua tunakuelewa vzr sana hao hao R wenza wao wanakufa mapema wanawaacha watoto wakiteseka😢

  • @daudijulius4437
    @daudijulius4437 27 днів тому

    Yani wewe baba ubalikiwe sana Yani ulivyo chambua mke wangu kweri yupo hivyo hivyo ubalikiwe sana !

  • @RevianaGodfrey
    @RevianaGodfrey 7 місяців тому +2

    Doctor mm yote hay nakutan nayo. Nn nifanye n mm ni R yup amby nitadum nae jmn

  • @RehemaFesto-ig2zy
    @RehemaFesto-ig2zy 8 місяців тому +1

    Nikweli kaka maana hatamm ninachangamoto kwenye ndowa ya ngu tunagombana sana

  • @Rosefrances-bx4wo
    @Rosefrances-bx4wo Рік тому +1

    Yaaani unavyoongea yoooteee nikweli mtupu kaka Mimi rafikizangu wengi niwanaume,,,, kuumwa nikweli mpk nachokwa,,, yaaani wekaka unaona dah

  • @mkakilwashedrack
    @mkakilwashedrack 5 місяців тому

    Ukweli mtupu kaka hongera

  • @SuleimanMasoud-lq3sj
    @SuleimanMasoud-lq3sj 10 місяців тому +1

    Samahan kaka hiii mbona hizo sifa mbaya sana natamani herufi yangu isingekuwa R duuuu naumia moyoni

  • @rehemasilasi2985
    @rehemasilasi2985 Рік тому +1

    Kaka unajua naunajua tena

  • @RukaiyyOmar
    @RukaiyyOmar День тому

    Ina maan Rukaiyy na mussa haziendan jamn

  • @Jackylmariam-qy6qe
    @Jackylmariam-qy6qe Рік тому +1

    Sheikh ndio Nina ndugu yangu katolewa mahali jina f hajaolewa mpk leo

  • @RehemaAbuu-r4k
    @RehemaAbuu-r4k 6 місяців тому +3

    Kweli namuona dada angu jamani dada angu jamani pole tuh duh kaka unayoyasema nikweli ningemsikiliza hii angelia sasa hivi kapata stoko hee mungu msaidie dada angu yaani hapo kwenye kuchukiwa lahaula walakuata kaka ww kaka nakuita tena mungu akubariki nikweli tupu yaani hakuina uongo yy anaitwa fatime yaani

  • @RoseAthuman-ht9lo
    @RoseAthuman-ht9lo 7 місяців тому +2

    Kwel kabisa doctor

  • @RehemaSimba-kp1gc
    @RehemaSimba-kp1gc 6 місяців тому +2

    Kweli mpaka naogopa

  • @annageorge43
    @annageorge43 Рік тому +1

    Mh ni kweli usio pingwa

  • @RukiaJuma-ol6bm
    @RukiaJuma-ol6bm 6 місяців тому +1

    Kala kweli yan mhhm

  • @rosemarysempombe8559
    @rosemarysempombe8559 7 місяців тому

    Ni kweli mm ni herufi R niliachwa hata sababu siijui mpaka leo, Mbona tunagundu ivyo jamanii

  • @SalmaKhmees
    @SalmaKhmees Рік тому

    Kweli kabisa ndomana napendaga channel yako

  • @SheyFundi
    @SheyFundi 7 місяців тому

    Kwan ww ni nani? Kwan unajuaje jmn jmn jmn jmn mm naliaaaaaa kaka mm naitwa raheli jmn ni nn hiki

  • @RehemaMwakatapa
    @RehemaMwakatapa 8 місяців тому

    Shee mm ilifika miaka 9 ila ni kwa shida sana na maisha yalibadilika sana

  • @rehemagunda1033
    @rehemagunda1033 28 днів тому

    Mimi nabadilisha

  • @Josephine-fw1rv
    @Josephine-fw1rv 2 місяці тому

    Yaani hapo kwa kuona uchawi kaka umenigusa ila naambiwa n mfitinishaji😢

  • @YasminaMkali
    @YasminaMkali 6 місяців тому +1

    Assalam Aleykhum Maalim. Sasa unawasaidiaje hawa watu?😢😢😢

  • @RehemaHassan-j3q
    @RehemaHassan-j3q Місяць тому

    apo sasa kwenye magonjwa ya utoton yasiyoeleweka jaman duh

  • @RukiaJuma-ol6bm
    @RukiaJuma-ol6bm 6 місяців тому +1

    Kwel kk sijui kwa nn

  • @Steward-HO
    @Steward-HO 9 місяців тому +1

    Yani Nina izo tabia zote

  • @Steward-HO
    @Steward-HO 9 місяців тому

    Kweli jamani mm jamani nasema sanaa

  • @IovenessEmaniwell
    @IovenessEmaniwell 5 місяців тому

    Kaka Mimi nashidwa kuelewa.wakati wakuandindika njina sierewi nikiandika erufi L au R au r wanaita tu lakini sierewi erufi ipi niyangu apo .uwa naandika Lovenes.

  • @Raya-d7g
    @Raya-d7g 2 місяці тому

    Yaan mm haruf R nateseka namajiran na femile yaan mtihan ninachofanya chochote hata kiwe kizur kinakuo kibaya yaan mtihan kaka

  • @Rosefrances-bx4wo
    @Rosefrances-bx4wo Рік тому +3

    Sasa Mimi in r ninamahusiano na r ndo ananitunza ananipenda hatarii ila anahasira hivyohivyo naanagubu,,, harafu mindosimpendiii,,, hatar nampenda mwenye,,A Dah nifanyeje sasa

  • @RabieGerard
    @RabieGerard 4 місяці тому

    Yaani ni mimi kabisa ndoa yangu inachangamoto sana😢

  • @RauhiyaOmar-b5g
    @RauhiyaOmar-b5g 4 місяці тому

    Mh We doctor mchawi hish mbona yote yananigusa mimi na ukiangalia kweli yote mimi nimezaa mwanangu analia hatary unatusaidiaje sasa

    • @OtiliaPius-dr1be
      @OtiliaPius-dr1be Місяць тому

      Hapana my huyu siyo mchawi ila kumbuka huyu nimtaalam wa elim na nyota kwamahesabu ya namba ukimsikiliza kwamakin utaebukana namengi nautafaidika na mengi sana niamin mimi my

  • @ReginaMika-f1m
    @ReginaMika-f1m 3 місяці тому

    Me regina daaah ni ukweli

  • @Reema12-v5j
    @Reema12-v5j 6 місяців тому

    Mimi nime batizwa na hili jina nikiwa mdogo ila sio la kuzaliwa na hili la rey ndonime tumia na shule je haya yana nifaa kusikiliza? Au

  • @RukiaJuma-ol6bm
    @RukiaJuma-ol6bm 6 місяців тому +3

    Pete ranging gani

  • @JasminejuliusAmandie
    @JasminejuliusAmandie 5 місяців тому

    Je kama unamajina mawili la kimila na la kidini na yote yametumika kuanzia ukiwa mdogo

  • @RukiaJuma-ol6bm
    @RukiaJuma-ol6bm 6 місяців тому +2

    Kaka kweli mm niliumwa sana yani nilivyokuwa mdogo

  • @fulenkisilivesto
    @fulenkisilivesto 4 місяці тому

    Mimi naitwa Regina ayoyote Mimi yamenitokea sana 😢

  • @rosejulius-uj2gp
    @rosejulius-uj2gp 8 місяців тому

    Naitwa rose naomba no zako boss

  • @Steward-HO
    @Steward-HO 9 місяців тому

    Mimi rafiki zangu wanaume

  • @NuruAwachi
    @NuruAwachi 4 місяці тому +1

    Mm rahma😭😭

  • @RoseSiobe
    @RoseSiobe 10 місяців тому

    Ukwel ukwel kapisa yaan nimekwamini mwalimu yangu ilimaliza 2 yrs 6 months ikavunjika na nindoa nilitolewa bosa hata uliulize jasho za kuvunjika sina jibu hadi leo

  • @ShamsaAlyy
    @ShamsaAlyy 5 місяців тому

    Mwanaume mwenye Her f na s zinaendan wakioan

  • @NasibuAlban
    @NasibuAlban 5 місяців тому

    Pete ya aina gani na jiwe la rangi gani

  • @FatumaRajabu-t8z
    @FatumaRajabu-t8z 10 місяців тому

    Pete ya aina Gani ?

  • @MkiwaMpambanaji-f4g
    @MkiwaMpambanaji-f4g 18 днів тому

    habari sasa mimi mwanaume rakini jinarangu mwara sasa kundi gani ranyota

  • @RuthBohela-xw2uv
    @RuthBohela-xw2uv Рік тому +1

    Dr.unatutisha kwa hiyo tufanyeje sisi wenye herufi R na F?

    • @JimmyGabriel-d7i
      @JimmyGabriel-d7i 7 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @omariputto3315
      @omariputto3315 8 днів тому

      Yaan unaweza kujinyonga watuuwee tufe basi maana kote kugumu😂😂😂 Mungu yupo usisahau kusali sana😂😂😂 kk kiboko

  • @awaahassan936
    @awaahassan936 9 місяців тому +2

    Mimi yangu m

  • @abdallahradhia9972
    @abdallahradhia9972 Рік тому

    Mtu mwenye herufi r anaweza kubadilisha jina akitaka kuolewa?

  • @RahelNicholas-ro4qx
    @RahelNicholas-ro4qx 7 місяців тому

    Mwanangu anaitwa regina anamiaka mitano naomba nimbadilishe jina 😓

  • @EddaBaraka
    @EddaBaraka 8 місяців тому

    Mwalimu je tufanyeje

  • @RaisarashidiRaisa
    @RaisarashidiRaisa 2 місяці тому

    Utusaidie na tiba mana tunateseka

  • @RoseAthuman-ht9lo
    @RoseAthuman-ht9lo 7 місяців тому

    Je mwanamke mwenye herufi r akiwa na mausiano na herufi a Kuna tatizo

  • @ZakariaMbosa
    @ZakariaMbosa Рік тому

    kaka umesema ukweli mkubwa mno, Hilo nimeprove hilo

  • @MichaelTyphoon-je4de
    @MichaelTyphoon-je4de 7 місяців тому

    Sikupingi kaka ni ukweli mtupu

  • @FaustineMseluka
    @FaustineMseluka Рік тому

    Je F na R wanaweza kuowana?

  • @thadeoyohana
    @thadeoyohana 8 місяців тому +1

    Nikwer

  • @RahmaMsagati
    @RahmaMsagati Рік тому

    Sasa mm Nina r na jina lingine m

  • @RehemaPaul-d8g
    @RehemaPaul-d8g 4 місяці тому

    Nikweli unacho kisema Sasa unatusaidiaje

  • @SholeBigsaund
    @SholeBigsaund 10 місяців тому

    Mimi ninamajina mawili ,R,S, nitafanya nini sasa

  • @VeronicaMwingila-fh8ds
    @VeronicaMwingila-fh8ds 9 місяців тому

    Naomba nisaidi v na m kutafusli

  • @lutiak7618
    @lutiak7618 3 місяці тому

    Hivi aiwezikani kubadili hii nyota

  • @AljoodAlarimi-xd1fc
    @AljoodAlarimi-xd1fc 8 місяців тому +1

    Dah ujakosea atanukta

  • @StevenZinga
    @StevenZinga 6 місяців тому +1

    Duuuu

  • @augustinemalimi1819
    @augustinemalimi1819 9 місяців тому

    Mimi naomba mawasiliano yako mkuu

  • @VeronikaKioko
    @VeronikaKioko 11 місяців тому

    Na vile naitwa Riziki ...usema Nina bahaati😔

  • @NasibuAlban
    @NasibuAlban 5 місяців тому

    Hivyo vingoma ulivyoweka havina maana ukituelewesha bila ngoma tunakuelewa tu

    • @NuruAwachi
      @NuruAwachi 4 місяці тому

      Hahaha we mgomvi ww

  • @IqramNasr
    @IqramNasr 5 місяців тому +1

    Kwer kabisa mimi ndio huyo kabisa baadhi ya mambo

  • @StephanoJoseph-j5b
    @StephanoJoseph-j5b 10 місяців тому

    Hili SoMo lingewafikia wote

  • @rehemakarafuu-xi1py
    @rehemakarafuu-xi1py 5 місяців тому

    majina ya mikosi san

  • @MariamuMolleli
    @MariamuMolleli 5 місяців тому

    Jamani mimi nina mtoto anaitwa Rahma nitafanyaje jamani😢😢😢

  • @LeticiaShoka-me2wq
    @LeticiaShoka-me2wq 7 місяців тому

    Baba herufi L na R zimefanana sifa

  • @rebekaabraham8771
    @rebekaabraham8771 7 місяців тому

    Kwahy hatuna lamaana hata moja

    • @wardagogodigo1111
      @wardagogodigo1111 6 місяців тому

      We mwamini mungu huyo binadamu mwenzio tu asikuchachafye😂😂

    • @NuruAwachi
      @NuruAwachi 4 місяці тому

      Kabisaa mama😢

    • @RizikiBikyeombe-v7u
      @RizikiBikyeombe-v7u Місяць тому

      Mungu yupo wakina r wenzangu tumtegemee yeye atakama yapo mbona kuna wengine Wana tabia izo na sio r mpaka sasa awana watoto biashara aziendi tusiogope

    • @omariputto3315
      @omariputto3315 9 днів тому

      ​@warda😂😂😂😂😂

    • @omariputto3315
      @omariputto3315 9 днів тому

      ​@RizikiBikyeombehaswa

  • @rebekaabraham8771
    @rebekaabraham8771 7 місяців тому

    We mchawi wewe hii co bureee

  • @RukiaRobert
    @RukiaRobert 2 місяці тому

    Kweli kabisa kk unatusaidiaje yote hayo uliotaja ninayo

  • @RehemaMohamedi-im4wv
    @RehemaMohamedi-im4wv 2 місяці тому

    Jamani kama unanisimulia maisha yangu

  • @RoseChipasula
    @RoseChipasula 5 місяців тому

    Asa sisiwakina rose ndokabisa

  • @RoseAthuman-ht9lo
    @RoseAthuman-ht9lo 7 місяців тому

    Kwel kabisa doctor

  • @fulenkisilivesto
    @fulenkisilivesto 4 місяці тому

    Mimi naitwa Regina ayoyote Mimi yamenitokea sana 😢