Mungu wa mbinguni awatunze sana watumishi wa Mungu na Pia awape kutunza uwepo huu.msichoke wala kukata tamaa endeleeni kumwimbia Mungu hakika kupitia nyimbo hizi Mungu anawahudumia watu wake zina uwepo mwingi sana kila ninaposikiliza mbarikiwe sana msichoke endeleleni kumwimbia Mungu
please naomba mr and mrs goodluck turudishieni youtube ule wimbo wa hakuna wa kufanana na Yesu.tafadhali nawaomba please.
Mungu wa mbinguni awatunze sana watumishi wa Mungu na Pia awape kutunza uwepo huu.msichoke wala kukata tamaa endeleeni kumwimbia Mungu hakika kupitia nyimbo hizi Mungu anawahudumia watu wake zina uwepo mwingi sana kila ninaposikiliza mbarikiwe sana msichoke endeleleni kumwimbia Mungu
Amen 🙏 thank to you God from Kenya
JESUS JESUS JESUS JESUS we love You so much
Hallelujah hallelujah hallelujah am blessed in JESUS Name
Asante Mtumishi kwa kwa nyimbo hizi zenye mafuta ya Roho be mtakatifu
Amen Amen
Amen, luv ua songs watumishi wa mungu mr & mrs....b blessed
A great song it is, watching from kahawa sukari, Nairobi
Haleluyaaa namtukuza Na kumshukuru Mungu Sana kwa Mambo aliyotenda maishani mwangu hakika Mungu atabaki kuitwa Munguuu
Jina la Yesu
Tusikie eh Yesu
Amen
Nawapenda sana WATUMISHI wa Mungu Nabarikiwa Sana Nyimbo Zenu Zimeshiba Uwepo Wa Mungu Mungu Awajaze Zaidi Na zaidi
Utukufu ni kwa YESU, Amen.
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu, MUNGU wa mbinguni awatunze na kuwabariki sana
Nashukuru, Amen.
Ameeeeeen utukufu kwa Mungu nawapenda sanaaaaaaaaaaaaaa
@@goodlucksandytv3951 Mtumishi Mungu akubariki kwa nyimbo zenye Mgusoooooo
Irene Daniel, Barikiwa sana
Powerfull song i like this
Amen,man and woman of God u blessed my heart
Amen Amen Mercy Atieno
@@goodlucksandytv3951 amen
Amen, Amen awesome..
Powerful song
So powerful!!
Powerful!
Ameeen
Ameen🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Amen